mwezi

  1. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Selemani Jafo ashauri kuanzishwa kwa wiki ya nyungu katika kupambana na Corona

    Waziri wa Tamisemi amesisitiza watanzania waanze kujifukiza kama namna ya kujenga kinga katika kupambana na corona. Ili jambo liwe na ufanisi amependekeza kuwe na wiki ya nyungu kwa maana ya wiki ya kujifukiza. Kama ambavyo mh Rais alipendekeza hivi karibuni. Amesema...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Jike shupa afumaniwa mwezi Huu mtukufu

    Mwanadada aliyepata umaarufu kupitia kuwa video queen kwenye ngoma ya nuhu mziwanda ya " Jike shupa" nakupachikwa jina Hilo na mashabiki wa mziki amejikuta matatani baada ya kufumaniwa na Mume wa mtu clip hiyo imekuwa ikisambaa sana mtandaoni na kujikuta anapigana na mke wa mtu baada ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Tanzania ndio tunaratibu mapambano ya Corona kwa nchi za SADC na Waziri Ummy aliongoza kikao cha kupanga mikakati mwezi Machi

    Akiwasilisha hotuba ya makadirio ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika mashariki Prof Kabudi amesema Tanzania ndio mratibu wa mipango ya kudhibiti Corona kwa nchi za SADC. Prof Kabudi amesema mwezi March mwaka huu waziri wa afya mh Ummy Mwalimu aliongoza kikao cha mawaziri wa afya...
  4. JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  5. JamiiForums Tanzania Huu mwezi wa 5 naona kama hauendi...

    Huu mwezi wa 5 mbona naona kama hauendi yaani leo ndo kwanza tarehe 6? Au kwa kuwa ndo nimefunga na Ramdhani hii, maana napata wazimu hela nishamilza
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tukio la kijiografia la mwezi mpevu sana (Supermoon) litatikea Nchini Tanzania siku ya Alhamisi tarehe 7/5/2020 saa 13:45

    Inafakamika kila baada ya miaka kadhaa kutokana na njia ya mwezi angani kuna wakati mwezi kupita karibu sana na na Dunia. Hali hiyo ya mwezi kupita karibu na Dunia ndiyo inayoitwa mwezi mpevu sana ambapo mwezi huonekana kwa karibu na kwa uku wa zaidi kuliko nyakati nyingine. Tukio hili...
  7. JamiiForums Tanzania Umebaki mwezi mmoja kwa CHADEMA kuwa chama kikuu cha upinzani, wanavyopingana na Watanzania hata kata moja hawatapata

    Walianza kuwa watetezi wa wahalifu yaani majambazi, mafisadi, wala Rushwa na mabeberu. Wengine wakaenda mbali zaidi na kuwa wakawa watetezi wa wezi wa madini yetu. Yaani savimbiLissu akaungana na majambazi kuihujumu Tanzania Limetokea janga la Corona mheshimiwa anayejua uhalisia wa maisha ya...
  8. JamiiForums Tanzania Corona kuisha mwezi wa sita? Data driven predictions...

    Kulingana na utafiti wa kukusanya data. Chuo kikuu cha Singapore wametoa matokeo ya utafiti juu ya gonjwa la COVID19. Utafiti huu unatokana na ukusanyaji wa data toka nchi mbali mbali ambazo wanaweka tafiti na takwimu zao wazi. Utafiti huu unaonyesha kuwa hadi mwezi wa sita tukiendelea...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

    Habari zenu Wakuu, Jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja. Kuwa mshahara was mwezi April, mwaka 2020 umeshatoka. Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank Je, kuna ukweli au uhakika wa taarifa hii? Kama ni ya kweli, kongole kwa Rais Magufuli!
  10. JamiiForums Tanzania Mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi (Spageti) msaada wako unahitajika

    Habari wadau. Naomba mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi za Kula (Spageti) bila mashine maana Mwezi Mtukufu unakaribia. Kuna kipindi niliona pale Buguruni wanatengezeza.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwezi wa Ramadhani vyakula vinapanda sana bei wakati walaji wa mchana wanapungua?

    Nimewasikia baadhi ya viongozi wa Bakwata mkoani Shinyanga kupitia ITV wakilalamika kupotea kwa sukari na mfumuko wa bei za vyakula wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Viongozi hao wanadai wafanyabiashara wasio waaminifu wameficha sukari ili waje waiuze kwa bei ya juu pindi mfungo utakapofika...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Asante sana JamiiForums, naingiza zaidi ya 50,000 kwa mwezi

    Wakuu habari zenu, Naomba nitoe shukrani zangu za dhati kwa uongozi mzima wa JamiiForums maana nimekuwa nikifaidika kila mwezi kwa kupata kipato cha kununulia vocha mjini. Niliweka post humu JF inayohusu kupeleka watu kwenye machimbo mbalimbali original ya bidhaa kwa bei ya jumla nikasema...
  13. JamiiForums Tanzania Ni lini nchi yetu itaanza kulipa watumishi kwa masaa badala ya malipo kwa mwezi?

    Serikali inatakiwa ibadili mfumo mzima wa maisha ya nchi hii na kwa wananchi wake. Hiyo mambo ya mwisho wa mwezi ni zilipendwa. Tumeshiklia kanuni za mkoloni zile zile kubadilika hatutaki. Serikali haina plan B miaka nenda miaka rudi. Sasa hivi watu wanajifanyia kazi kwa mazoea tu na si kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Nabii Malisa: Mungu ameniambia Corona ni April tu, May hakuna Corona na hakuna atakayekufa!.

    Wanabodi, Heri ya Pasaka. Naangalia Live ya Pasaka kwe Wasafi TV, kipindi kinaendeshwa na Mtangazaji mahiri Lilian Mwasha ila kiukweli somo la social distancing bado halijaeleweka. Kama hii ndio media iliyopaswa kuonyesha mfano wa social distancing, lakini wao ka Studio kadogo wanarundikana watu...
  15. JamiiForums Tanzania Marekani wameongoza kwa vifo vya Covid-19 ina watu 20466 wamefariki 1731 Jumamosi ya 11/4/20

    CORONAVIRUS 🇺🇸 The United States became the world leader in coronavirus deaths Saturday, a grim indicator of the country’s status as the global epicenter of the pandemic. As of Saturday evening, the U.S. had recorded about 526,396 COVID-19 cases and 20,577deaths, according to Johns Hopkins...
  16. JamiiForums Tanzania Japan: Waziri Mkuu, Shinzo Abe atangaza hali ya dharura kwa mwezi mmoja

    Waziri Mkuu Shinzo Abe ametangaza hali ya dharura kwa muda wa mwezi mmoja katika Mji Mkuu wa wa Japan, Tokyo pamoja na miji mingie sita ya Osaka, Kanagawa, Saitama, Chiba, Hyogo na Fukuoka Abe amesema Japana itakuwa na mkakati tofauti na nchi za Ulaya. Ameeleza kuwa ali ya dharura iliyotangazwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Tanzania kwenda total lockdown mwezi April

    Wakuu huu ni utabiri tu si kama ile ndoto ya mheshimiwa Lema hivyo nadhani si haba kuuweka hadharani. Utabiri huu unazingatia ukweli kuwa serikali ya awamu ya tano imesheheni wasomi wazamivu na wasomi wabobezi kweli kweli. Kwa ma PhD na ma Profesa wote wale chini ya mkuu mwenyewe ambaye pia ni...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CoronaVirus: Mgonjwa wa kwanza wa corona apona Kenya. Watumishi wa Serikali akiwemo Rais kupunguziwa mishahara

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta ametangaza kuwa mtu wa kwanza amepona kabisa ugonjwa wa corona. ''Hii inamaanisha kuwa ugonjwa huu unaweza kukabiliwa''alisema rais Kenyatta katika hotiba yake kwa taifa. Idadi ya walioambukizwa ugonjwa wa corona nchini Kenya imefikia 28. Rais pia ametangaza hatua...
  19. JamiiForums Tanzania Televisheni za kimataifa: CNN, BBC, Aljazeera nk zinaleta taharuki, zifungiwe kwa muda wa mwezi mmoja!

    Watazamaji wengi wanapata taharuki toka kwenye vituo hivi. Wana equate madhila ya nchi za nje na kufanya kwamba hali hiyo ndivyo ilivyo hapa nchini. Sasa maofisi mengi yanafungwa kwa kasi ya mwanga maana waangaliaji wa vituo hivi ni watu wakubwa kwenye taasisi na mashirika mbali mbali ambao...
  20. JamiiForums Tanzania Mshahara wa mwezi March upo tayari

    Wapendwa mshahara umetoka nendeni mkachote hela mje mlipe madeni ya maji, na vibanda vya chakula. Msisahau nauli za watoto kurudi shule maana tarehe 17 imekaa kushoto.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…