mwezi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Jamani niko mitaa ya Korogwe, Same na Moshi mwezi na ila treni siioni wadau mna taarifa zozote?

    Sina hakika na badiliko lolote la ratiba lakini Treni kwa sasa inatakakuwa kama wagosi wa kaya walivyoimba, "tulizoe kusikia vijihoni". Yale makelele ya lile limashine na vijioni kama vinadisiapia hivi, hebu wadau tupeni taarifa zozote, au wanafanya sevisi kidogo.
  2. JamiiForums Tanzania Posho za Wizara ya Fedha mwezi Machi, Aprili na Mei

    POSHO ZA WIZARA YA FEDHA MWEZI MARCH,APRIL NA MEI. Tarehe 31/03/2021 Shilingi 251,000,000/= (kazi maalum) Siku hiyo hiyo tena tarehe 31/03/2021 Shilingi 198,000,000/= -Mwezi April ilikuwa balaa. Tarehe 08/04/2021 Shilingi 44,500,000/= Tarehe 13/04/2021 Shilingi 155,295,000/= -Tarehe 30...
  3. JamiiForums Tanzania Ni marekebisho gani hayo ya mfumo yanayoendelea mwezi mzima?

    Habari za jioni wataalamu..... Ni mwezi sasa mambo ya ankra yamekwama....maafisa utumishi wanasema hawajui, wengine wanasema jibu kutoka Dodoma ni "mfumo umefungwa kwa ajili ya maboresho". Maafisa wa bank hawatoi mikopo kwasababu makato hayawezi kuingizwa, mfumo umefungwa, jamani mwezi...
  4. JamiiForums Tanzania Mwezi wa 6 na 7 (2021) ningekuwa na uwezo ningeifuta kwenye Calender

    Mwezi unaofata wa 6 na 7 nataka uwishe fasta yaani kama ningekuwa na uwezo ningeli Edit Calender nifute mwezi wa 6 na 7. Hivi wapi kuna Time Machine nifanye Time Travel From Today to August.
  5. JamiiForums Tanzania Hujuma? Mwezi sasa wafanyakazi hawapewi mikopo yao kisa mfumo haufanyi kazi

    Ni takribani mwezi sasa wafanyakazi walioomba mkopo benki hawapewi pesa kwa kile kinachodaiwa ni mfumo wa mawasiliano kati ya benki na mwajiri kuwa na hitilafu. Hoja hapa ni je, huo mfumo pia umechezewa ili kumchonganisha mama na wafanyakazi? Na kwanini mamlaka inayohusika na mfumo huo haitoi...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini TRA sasa hawatangazi mapato ya kikodi ya kila mwezi kama ulivyokuwa utaratibu?

    Mazoea yana tabu na ukikosa kitu ama jambo ulilolizoea pia huja maswali. Mimi jitombashisho nataka kujuzwa na TRA ni kwanini takribani miezi miwili sasa hamtoi taarifa juu ya mapato ya kila mwezi?!
  7. JamiiForums Tanzania Sherehe za mwezi uliojaa damu, nitazianza 09 Agosti to 10 Novemba 2021. Anguko la masalia wa adui zangu

    Kwema Wakuu!! Masalia wa adui zangu mjiandae. Katika sherehe za Mwezi wa Damu, ambazo zitaanza 09August na kuisha 10November. Sherehe zitavurumushwa Kwa miezi mitatu mfululizo. Masalia wa adui zangu mjiandae, code zenu zipo tayari, mafaili yenu yapo juu ya meza hapa. Sare zitakuwa mavazi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Probably mwezi ninateuliwa uDC au UDED then ninaacha kuja kuja JF

    Nina matarajio makubwa sana. Ndugu yangu Afisa kipenyo kanitonya jina langu lipo kote kote - kwenye UDC au kwenye UDED. Mwezi huu huu tunatolewa kwenye Press Release ya Msigwa - Ikiniangukia UDED basi tena JF nitakuwa ninakuja kusoma tu. Ikija kwenye UDC angalau nitakuwa ninachangia mada kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Mishahara Mwezi Huu Kwa Watumishi Kuna Nini

    Si kawaida mshahara kupitiliza tarehe, ilikuwa tar 23 ikiangukia weekend mnapewa siku ya kazi ya mwisho wa weekend, mfano tar 23 itakuwa Juma pili mshahara ulikuwa unatoka tar 21 ya Ijumaa. Huenda mpaka ijumaa mfuko ulikuwa haujatuna. Tumpe muda tuone.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mliodaka mwezi huu vipi kuna mabadiliko ya bodi ya mkopo

    Kwa wale wanufaika wa bodi ambao hazina imecheka ofisini kwenu, vipi kuna tofauti yeyote kwenye deni la HESLB? Au imekuwa kama vifurushi serikali inasema hivi mitandao inafanya vile.
  11. JamiiForums Tanzania TFF wamezingua hii ligi itaisha lini watani mwezi wa saba kweli?

    Yani simba na yanga kukutana terehe 3 ya mwezi wa saba muda huo ligi si inatakiwa iwe imeisha jamani ina mana wameshindwa kubalance muda hapa katikati kuna hatari ya kutokea mazingaombwe mengne utasikia mechi imeludishwa nyuma Ngoja tuone. Alafu hapo ligi inaenda mpaka tarehe 18 mwezi wa saba...
  12. JamiiForums Tanzania Kuvunja utata kwa wanaosema ule mwezi ni wa jana.

    Katika mambo yanayonishangaza ni hii kaulii ya kusema kuwa "ule wa jana kabisa ulee sio wa leo" Wengine husema waleo hauwezi kuchelewa vilee ule mkubwa huutafuti. Binafsi nafuata mwezi wa kimataifa lakini hii haimaanishi nikubali kila linalosemwa na wenzangu kuwaponda wa mwezi wa kitaifa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Tumeona mwezi hapa Dar-es-Salaam

    Hatimea mwezi umejitokeza muda huu hapa Dar-es-Salaam. Nimeona mwezi ila sijatangaza chochote hivyo msininukuu. Kazi kwenu wahusika.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je, sherehe zinazotegemea Muandamo wa Mwezi haziwezi kuharibu ratiba za watu na hata saikolojia yao pia?

    Naomba kujua Faida na hasara (hasa Kijamii na Kiustawi) za Sherehe ambazo zinajulikana katika Kalenda na zile zinazotegemea Kuandama (Kuchomoza) kwa Mwezi Congo, Kigoma, Mombasa, Tanga, Zanzibar na Mtwara.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Sayansi na Teknolojia isitumike kufahamu mwezi utaandama siku gani?

    Jumuia ya Waislamu duniani kote imekuwa katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Hapa Tanzania na Afrika Mashariki nzima sikukuu ya Idi inatarajiwa kuwa Alhamisi au Ijumaa, kutegemea na kunadama kwa mwezi. Swali langu ni kwamba kwa nini sayansi na teknolojia isitumike kufahamu mwezi...
  16. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Rungwe: Katika upandishaji madaraja, Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisa

    Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy. Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi

    Serikali iruhusu kuanzishwa mifuko binafsi ya Pension kwa ajili ya watu wasio na kipato cha kila mwezi kama Contractors, consultants, wakulima, wachimbaji wa madini ,freelancer jounalists nk wenye vipato vya msimu. Serikali iruhusu uanzishaji wa private pension funds wataoshughulikia na...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bandari ya Lamu kuanza majaribio mwezi ujao, ifahamike hii bandari itakuwa baba lao kwa bandari zote ukanda huu

    Kwa mwendo huo huo..................... Officials will start testing operations of the new Lamu port at the end of next month ahead of the June 15 commissioning. The first batch of equipment including low load trailers, extension cargo handlers and trailers to be used at the...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Sasa ni takribani mwezi mmoja na siku kumi baada ya Tanzania kumpoteza Dkt. Magufuli

    Ni mwezi mmoja sasa Baada ya kumpoteza JPM Rais wa Awamu ya Tano wa Serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Sasa imepita mwezi mmoja na siku karibu kumi na moja kwa Serikali ya awamu ya sita chini ya mama yetu Samia Suluhu Hassan lakini ni wazi kabisa kwamba mfumo wa kuongoza na kuendesha...
  20. JamiiForums Tanzania Mwezi jana nilitembea na ndugu wa mke wangu ambaye pia kaolewa, alikuwa analipiza kisasi kwa mke wangu

    Habarini wana jamvi. .. Siku chache zilizopita kuna binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoa wa Mara (kaolewa Dar es salaam)alinitumia friend request,nikawa nimeaccept.Basi ikawa kila nikipost picha anacomment ba mdogo umependeza!Basi siku moja nikamchek inbox akajitambulisha yeye anamuita wife...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…