Dada huyu atakuwa dada wa mwezi huu kwa hili alilolifanya

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946

Rosemary Kweka

1tSpons5faohrendfg ·

Nikiwa kama Mgeni rasmi wa Mahafali ya 10 Shule ya Sekondari Kiloleli October 31/2020. Ni heshima ambayo inakuja na majukumu.
💁Unaambiwa mafanikio na changamoto za shule. Na hutoi tu ahadi kama wanasiasa, unatakiwa kuzitatua hizo changamoto.
💁Nashukuruni kwa heshima na nilifanya wajibu wangu. Nilichangia Meza ya Ofisi na Kabati la vitabu kwaajili ya mkuu wa shule vyenye thamani ya 1.2mil kama Mkurugenzi Mtendaji wa Furniture Designer
💁Marafiki wa faida walionisindikiza ikiwemo Maheshi Dhondri- Rais wa Lions Club International- Mwanza (kushoto kwangu), Mrs. Chegeni- Mkurugenzi Mtendaji wa Isamilo Lodge- Mwanza, Mrs. Zongii -Mkurugenzi Mtendaji wa Zongii Molders na dada yangu kipenzi Beatrice Samson Ngwalida walinisaidia kusapoti meza 5 za walimu na kuendelea kuichangia shule ktt changamoto mbalimbali zinazoikabili.
💁Asanteni sana Desk and Chair Foundation kwa kusapoti ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi. Vyoo 10 vya kike, 10 vya kiume na 5 vya walimu.
💁Unapokuwa na mapenzi ya dhati na nchi yako na unajua unao wajibu kama mwananchi (si lazima uwe mwanasiasa). Unajitoa kwa hali na mali kuisapoti jamii yako.
💁Mafanikio ya watoto wote ni faida kwa jamii nzima. Wakiwa wazuri tutanufaika wote, tukiwaacha waangamie au wakose elimu bora tutakuja kuumia wote. Tutekeleze wajibu wetu kwa pamoja.
🙋🙋🙋🙋TUSHIRIKIANE KUIJENGA NCHI YETU NA JAMII YETU KWA HALI NA MALI. TUWEKE KIPAUMBELE CHA KUWAINUA WATOTO WOTE.
💁MIMI NI SHUHUDA, WALIONIPA MSAADA WA KUSOMA SIO NDUGU ZANGU WALA SINA UKOO NAO. ILA WALIJUA MANUFAA YAKE NI KWANGU, NDUGU, JAMAA NA TAIFA LANGU KWA UJUMLA.
Image may contain: 4 people
Image may contain: 2 people
Image may contain: 5 people, people sitting and people standing

4040

11 C
 
Unaambiwa mafanikio na changamoto za shule. Na hutoi tu ahadi kama wanasiasa, unatakiwa kuzitatua hizo changamoto.
Nashukuruni kwa heshima na nilifanya wajibu wangu. Nilichangia Meza ya Ofisi na Kabati la vitabu kwaajili ya mkuu wa shule vyenye thamani ya 1.2mil kama Mkurugenzi Mtendaji wa Furniture Designer
Marafiki wa faida walionisindikiza ikiwemo Maheshi Dhondri- Rais wa Lions Club International- Mwanza (kushoto kwangu), Mrs. Chegeni- Mkurugenzi Mtendaji wa Isamilo Lodge- Mwanza, Mrs. Zongii -Mkurugenzi Mtendaji wa Zongii Molders na dada yangu kipenzi Beatrice Samson Ngwalida walinisaidia kusapoti meza 5 za walimu na kuendelea kuichangia shule ktt changamoto mbalimbali zinazoikabili.
Asanteni sana Desk and Chair Foundation kwa kusapoti ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi. Vyoo 10 vya kike, 10 vya kiume na 5 vya walimu.
Unapokuwa na mapenzi ya dhati na nchi yako na unajua unao wajibu kama mwananchi (si lazima uwe mwanasiasa). Unajitoa kwa hali na mali kuisapoti jamii yako.
Mafanikio ya watoto wote ni faida kwa jamii nzima. Wakiwa wazuri tutanufaika wote, tukiwaacha waangamie au wakose elimu bora tutakuja kuumia wote. Tutekeleze wajibu wetu kwa pamoja.
TUSHIRIKIANE KUIJENGA NCHI YETU NA JAMII YETU KWA HALI NA MALI. TUWEKE KIPAUMBELE CHA KUWAINUA WATOTO WOTE.
MIMI NI SHUHUDA, WALIONIPA MSAADA WA KUSOMA SIO NDUGU ZANGU WALA SINA UKOO NAO. ILA WALIJUA MANUFAA YAKE NI KWANGU, NDUGU, JAMAA NA TAIFA LANGU KWA UJUMLA.

Hongera kwa uzalendo
 
Watapenya mpaka wakufikie kisha wakupindue uwe mwanasiasa, rejea yule kiongozi mkubwa wa injili aliyesema ni mkubwa kuliko mkuu wa nchi sasa amezama kwenye shimo la wanasiasa amdanganye Muumba wake
 
Rosemary Kweka

1tSpons5faohrendfg ·

Nikiwa kama Mgeni rasmi wa Mahafali ya 10 Shule ya Sekondari Kiloleli October 31/2020. Ni heshima ambayo inakuja na majukumu.
Unaambiwa mafanikio na changamoto za shule. Na hutoi tu ahadi kama wanasiasa, unatakiwa kuzitatua hizo changamoto.
Nashukuruni kwa heshima na nilifanya wajibu wangu. Nilichangia Meza ya Ofisi na Kabati la vitabu kwaajili ya mkuu wa shule vyenye thamani ya 1.2mil kama Mkurugenzi Mtendaji wa Furniture Designer
Marafiki wa faida walionisindikiza ikiwemo Maheshi Dhondri- Rais wa Lions Club International- Mwanza (kushoto kwangu), Mrs. Chegeni- Mkurugenzi Mtendaji wa Isamilo Lodge- Mwanza, Mrs. Zongii -Mkurugenzi Mtendaji wa Zongii Molders na dada yangu kipenzi Beatrice Samson Ngwalida walinisaidia kusapoti meza 5 za walimu na kuendelea kuichangia shule ktt changamoto mbalimbali zinazoikabili.
Asanteni sana Desk and Chair Foundation kwa kusapoti ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi. Vyoo 10 vya kike, 10 vya kiume na 5 vya walimu.
Unapokuwa na mapenzi ya dhati na nchi yako na unajua unao wajibu kama mwananchi (si lazima uwe mwanasiasa). Unajitoa kwa hali na mali kuisapoti jamii yako.
Mafanikio ya watoto wote ni faida kwa jamii nzima. Wakiwa wazuri tutanufaika wote, tukiwaacha waangamie au wakose elimu bora tutakuja kuumia wote. Tutekeleze wajibu wetu kwa pamoja.
TUSHIRIKIANE KUIJENGA NCHI YETU NA JAMII YETU KWA HALI NA MALI. TUWEKE KIPAUMBELE CHA KUWAINUA WATOTO WOTE.
MIMI NI SHUHUDA, WALIONIPA MSAADA WA KUSOMA SIO NDUGU ZANGU WALA SINA UKOO NAO. ILA WALIJUA MANUFAA YAKE NI KWANGU, NDUGU, JAMAA NA TAIFA LANGU KWA UJUMLA.
Image may contain: 4 people
Image may contain: 2 people
Image may contain: 5 people, people sitting and people standing

4040

11 C
Ndo umekuja kututangaza huku kwamba umetusaidia ! Khaa
 
Rosemary Kweka

1tSpons5faohrendfg ·

Nikiwa kama Mgeni rasmi wa Mahafali ya 10 Shule ya Sekondari Kiloleli October 31/2020. Ni heshima ambayo inakuja na majukumu.
💁Unaambiwa mafanikio na changamoto za shule. Na hutoi tu ahadi kama wanasiasa, unatakiwa kuzitatua hizo changamoto.
💁Nashukuruni kwa heshima na nilifanya wajibu wangu. Nilichangia Meza ya Ofisi na Kabati la vitabu kwaajili ya mkuu wa shule vyenye thamani ya 1.2mil kama Mkurugenzi Mtendaji wa Furniture Designer
💁Marafiki wa faida walionisindikiza ikiwemo Maheshi Dhondri- Rais wa Lions Club International- Mwanza (kushoto kwangu), Mrs. Chegeni- Mkurugenzi Mtendaji wa Isamilo Lodge- Mwanza, Mrs. Zongii -Mkurugenzi Mtendaji wa Zongii Molders na dada yangu kipenzi Beatrice Samson Ngwalida walinisaidia kusapoti meza 5 za walimu na kuendelea kuichangia shule ktt changamoto mbalimbali zinazoikabili.
💁Asanteni sana Desk and Chair Foundation kwa kusapoti ujenzi wa vyoo vya walimu na wanafunzi. Vyoo 10 vya kike, 10 vya kiume na 5 vya walimu.
💁Unapokuwa na mapenzi ya dhati na nchi yako na unajua unao wajibu kama mwananchi (si lazima uwe mwanasiasa). Unajitoa kwa hali na mali kuisapoti jamii yako.
💁Mafanikio ya watoto wote ni faida kwa jamii nzima. Wakiwa wazuri tutanufaika wote, tukiwaacha waangamie au wakose elimu bora tutakuja kuumia wote. Tutekeleze wajibu wetu kwa pamoja.
🙋🙋🙋🙋TUSHIRIKIANE KUIJENGA NCHI YETU NA JAMII YETU KWA HALI NA MALI. TUWEKE KIPAUMBELE CHA KUWAINUA WATOTO WOTE.
💁MIMI NI SHUHUDA, WALIONIPA MSAADA WA KUSOMA SIO NDUGU ZANGU WALA SINA UKOO NAO. ILA WALIJUA MANUFAA YAKE NI KWANGU, NDUGU, JAMAA NA TAIFA LANGU KWA UJUMLA.
Image may contain: 4 people
Image may contain: 2 people
Image may contain: 5 people, people sitting and people standing

4040

Natumai walengwa wamekuskia mkuu asante
 
Hata YESU alipomponyesha yule mkoma alimwambia usiwaambie habari hizi watu wa Galilaya kuwa nimekuponya.Yuko mfanyi biashara maarufu ni RIP sasa alikuwa anatoa sana misaada ila tatizo moja akitoa alikuwa anahakikisha lazima vyombo vya habari vimtangaze.Yuko tajiri mmoja hapo dar anatoa sana misaada kwa masikini hata asiowajua siku ya ijumaa wengine anawasaidia hata hawajui.Sasa mungu huwa anatoa points au dhawabu kwa watu wa hivyi sio unasidia mtu unatangaza.Inanikumbusha yule mama aliyetoa kipande kidogo cha fedha na matajiri walikuja na vibunda vyao YESU akamuona akasema huyu mama ndiye aliyetoa kikubwa kuliko wote.Tajiri kuingia mbinguni ni ngumu sana maana hatoi kwa moyo
 
Back
Top Bottom