GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,544
- 108,878
"Kiuumbaji na hata Kisaikolojia tu Mwanaume ni Mtu ambaye anakuwa amebeba mambo mengi Kichwani na Akilini mwake tena mazito mazito na makubwa makubwa kuliko Mwanamke. Hivyo basi moja ya Tiba ya haraka ili kumuepusha akae vyema Kifikra na Kuhimili mambo anatakiwa ajitahidi kila Wiki awe analia tena kwa kutoa Machozi kabisa vinginevyo utahaira hautakuwa mbali nae, " amesema Mtaalam.
Wale mliosoma Moja ya Gazeti la Kiswahili la Wiki hii Siku ya Jumatatu au Jumanne la Nipashe au Majira nadhani mmekutana nayo hii Taarifa tata.
Wale mliosoma Moja ya Gazeti la Kiswahili la Wiki hii Siku ya Jumatatu au Jumanne la Nipashe au Majira nadhani mmekutana nayo hii Taarifa tata.