TFF wamezingua hii ligi itaisha lini watani mwezi wa saba kweli?

IBRA wa PILI

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
1,448
2,289
Yani simba na yanga kukutana terehe 3 ya mwezi wa saba muda huo ligi si inatakiwa iwe imeisha jamani ina mana wameshindwa kubalance muda hapa katikati kuna hatari ya kutokea mazingaombwe mengne utasikia mechi imeludishwa nyuma Ngoja tuone.

Alafu hapo ligi inaenda mpaka tarehe 18 mwezi wa saba kasoro siku chache kutimia mwezi wa 8 mida huo timu zinakua zipo na maandalizi ya msimu ujao na hata kambini kabisa du
Screenshot_20210516-223848.jpg
Screenshot_20210516-223848.jpg
 
TFF haijielewi kabisa.
Hii ligi haifai hata kuitwa ligi kuu. Ingeitwa ligi ya ridhaa tu.

Karia na wenzake wajiengue tu. Aibu gani hii. Ligi ina timu 18 na inachezwa hadi mwezi wa 7😂😂😂
Hatari sana hii imenishangaza mno
 
Yani simba na yanga kukutana terehe 3 ya mwezi wa saba muda huo ligi si inatakiwa iwe imeisha jamani ina mana wameshindwa kubalance muda hapa katikati kuna hatari ya kutokea mazingaombwe mengne utasikia mechi imeludishwa nyuma Ngoja tuone.
Alafu hapo ligi inaenda mpaka tarehe 18 mwezi wa saba kasoro siku chache kutimia mwezi wa 8 mida huo timu zinakua zipo na maandalizi ya msimu ujao na hata kambini kabisa duView attachment 1787821View attachment 1787821
Hii TFF ni kituko, sidhani hata watu wa pale wanajua au kufuatilia mpira! Mwezi wa 7 timu karibia zote duniani zipo preseason kujiandaa na msimu mpya wa ligi, Wachezaji nao ni binadamu wanahitaji muda pia wa kukaa na familia zao angalau mwezi 1! Sishangai timu zetu kufeli kimataifa kama tunakuwa na uongozi kama huu kwenye mpira!
 
TFF haijielewi kabisa.
Hii ligi haifai hata kuitwa ligi kuu. Ingeitwa ligi ya ridhaa tu.

Karia na wenzake wajiengue tu. Aibu gani hii. Ligi ina timu 18 na inachezwa hadi mwezi wa 7😂😂😂
Jamani au wamekosea walitaka kuandika June 3? maana mwezi wa 6 wote na nusu ya May hii nini kinachezwa mbona kama sielewi na je ratiba ya mwanzo original league ilikuwa inaisha lini? wenzetu watabadilisha yote lakini sio siku ya mwisho sababu mwisho wa league ni maandalizi ya team kwa msimu mpya. Nahisi kama wamekosea walitaka kuandika June 3.
 
Huyu Karia na uongozi wake wamefeli kuongoza soka.
Ajabu anataka kugombea tena
 
Yaani TFF wanawaza mapato tu na si mustakabali wa soka letu. Wamepeleka mbali mechi ya simba na yanga kwamba ili mashabiki wasahau sahau ule uzushi wa kuailishwa mechi, tena wameipanga jmosi, kwamba wanaijengea msimsimko hiyo mechi ambayo inapelekea kuzitesa klabu zingine, ila kiufupi hiyo mechi haina msisimko tena.

Kiuhalisia hii mechi ilitakiwa ipigwe hata jumatano wiki ijayo yaani ilimradi tu mechi ichezwe.
TFF ni jipu yaani wanavuruga ratiba sababu tu ya yanga na simba.
 
Sahihi kilichotokea pale uingereza mashabiki wa Manchester kusababisha mechi ya man u na Liverpool kuhairishwa akitifautiani sana na hiki lakini mechi ikapangwa fasta na wakacheza lakini uku wameirusha wameshindwa kuibalance tu ndani ya mwez huu ipigwe aisee
 
Yaani TFF wanawaza mapato tu na si mustakabali wa soka letu. Wamepeleka mbali mechi ya simba na yanga kwamba ili mashabiki wasahau sahau ule uzushi wa kuailishwa mechi, tena wameipanga jmosi, kwamba wanaijengea msimsimko hiyo mechi ambayo inapelekea kuzitesa klabu zingine, ila kiufupi hiyo mechi haina msisimko tena.

Kiuhalisia hii mechi ilitakiwa ipigwe hata jumatano wiki ijayo yaani ilimradi tu mechi ichezwe.
TFF ni jipu yaani wanavuruga ratiba sababu tu ya yanga na simba.
Hii mechi ilitakiwa ichezwe wakati bingwa hajajulikana lakinimpaka kufika mwisho wa mwezi huu bingwa atakuwa tayari kapatikana.
Tff walifanya makosa kusogeza ile mechi mbele kwani kikanuni hairuhusiwi ilitakiwa kabla ya kuisoge waite viongozi wa timu zote mbili wakubaliane kwanza
 
Kweli kabisa, kiuhalisia hii mechi ndani ya msimu huu ishapoteza msisimko hata wafanyeje.
 
Back
Top Bottom