Halmashauri ya Rungwe: Katika upandishaji madaraja, Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisa

Mtyela Kasanda

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
554
818
Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy.

Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbalimbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwa watumishi kabisaa. Kuna majina ya watu ambao hawapo kabisa duniani.

Kuna majina ambayo yamerudiwa mara mbili na mara ya pili yakabadilishwa jinsia. Majina haya yote yana namba tofauti tofauti za utumbalisho wa mtumishi.

Idara iliyoongoza kwa majina feki ni idara ya elimu msingi. Ukifika kwenye ubao wa matangazo wanakataza kupiga picha majina haya, sababu wanazijua wenyewe.

Inasemekana, mchongo huu umepangwa na AFISA UTUMISHI, AFISA WA NMB, WAKUU WA IDARA na Mkurugenzi Bi. LOEMA PETER. Mkurugenzi analijiua hili lakini ana exit strategy. Fununu zinasema atakae pata shida dili likigundulika ni wakuu wa idara, ila mkurugenzi na afisa utumishi watakua salama.

Maoni yangu, zoezi la upandishaji madaraja liendeleee sambamba na uchunguzi, ikigundulika kuna wizi huu ambao utaendelea kila mwezi kama hatua zisipochukuliwa, wahusika wasimamishwe.

Tunaipenda nchi yetu, hatutaki irudi kule ilikokua.

Hili lisipofanyiwa kazi, waziri itaonekana ndio fisadi na alihusika moja kwa moja. HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE IMEOZA. UPIGAJI IMEKUA TAMADUNI ILIYOHALALISHWA.
 
Watumishi wanajulikana kwa parameter kama tatu nne hivi
Majina matatu
Jinsi
Check No.
Tsc No.
No. ya Simu
Shule anayofundisha
Idara yake
Yaani hivi vyote havipo sasa hao si hewa??
 
Mkuu acha kuchonganisha wakuu wako Wa idara na waziri,huku nilipo kuna watu wameonekana kuwa watapanda madaja ili khali hawajawahi kuwepo kwenye vituo vya kazi kwa miaka kadhaa,kitakacho waondoa ni vile viambato ambavyo wasimamizi wanavihitaji, navyo ni barua ya ajira,barua ya kuthibitishwa kazini nk.

Sioni haja ya wewe raia kujifanya unajua zaidi kuwaliko maafisa wanaosimamia zoezi hili

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Kwako waziri Mchengerwa na Mh Ummy.
Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbali mbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kua watumishi kabisaa. Kuna majina ya watu ambao hawapo kabisa duniani. Kuna majina ambayo yamerudiwa mara mbili na mara ya pili yakabadilishwa jinsia. Majina haya yote yana namba tofauti tofauti za utumbalisho wa mtumishi.
Idara iliyo ongoza kwa majina feki ni idara ya elimu msingi.
Ukifika kwenye ubao wa matangazo wanakataza kupiga picha majina haya, sababu wanazijua wenyewe.
Inasemekana, mchongo huu umepangwa na AFISA UTUMISHI, AFISA WA NMB, WAKUU WA IDARA na Mkurugenzi Bi. LOEMA PETER. Mkurugenzi analijiua hili lakini ana exit strategy. Fununu zinasema atakae pata shida dili likigundulika ni wakuu wa idara, ila mkurugenzi na afisa utumishi watakua salama.
Maoni yangu, zoezi la upandishaji madaraja liendeleee sambamba na uchunguzi, ikigundulika kuna wizi huu ambao utaendelea kila mwezi kama hatua zisipochukuliwa, wahusika wasimamishwe.
Tunaipenda nchi yetu, hatutaki irudi kule ilikokua.
Hili lisipofanyiwa kazi, waziri itaonekana ndio fisadi na alihusika moja kwa moja. HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE IMEOZA. UPIGAJI IMEKUA TAMADUNI ILIYOHALALISHWA.
Yaani hujawahi kuwa mtumishi halafu unapandishwa cheo? Andiko lako linaonesha wewe ni mwongo.
Si rahisi kumwelewa lakini Tanzania inawezekana.

Nikupe uzoefu. Kabla ya mwendazake wizi ulipangwa hivi: waandaaji wa mishahara wanakuwa na payroll 2. Moja halisia na moja fake. Fake inakuwa na majina zaidi ya halisia.

Kule hazina wanajuana na kuwekeana mikataba ya percentage kwa huo wizi kupitia payroll fake.

Wanapofika bank, huko nako wanajuana mambo yao. Hapa payroll halisi hutumika kulipa mishahara. Kile cha juu wanaondoka nacho wanaohusika kupitisha payroll hizo.

Kwa sahizi mbinu inayotumika ni kupeleka hazina majina ya watumishi hewa verified na akaunti wanazo. Tena sikuhizi ni rahisi kwa kuwa ni straight hazina. Wanaohusika kuona orodha ndo wenye mgao.

Hadi mwendazake anaenda, hajawahi kumaliza watumishi hewa. Alichofanya ni kupunguza sana idadi yao.
 
Mh...!!Ngoja tufuatilie kwa kina hili suala...!!

Ila kuhusu kukataza kupiga picha ni sahihi nyaraka za serikali haziruhusiwi kusambazwa ovyo ovyo.....
 
nimeambiwa hiyo halmashauri haina hata barabara moja ya lami tokea uhuru. Wezi hao wakamatwe
 
Watumishi wanajulikana kwa parameter kama tatu nne hivi
Majina matatu
Jinsi
Check No.
Tsc No.
No. ya Simu
Shule anayofundisha
Idara yake
Yaani hivi vyote havipo sasa hao si hewa??
Achana na mpigaji huyo. Hiyo inaitwa employmet scheme fraud. Sasa sijui kama analijua hilo.
 
Kwako Waziri Mchengerwa na Mh Ummy.

Katika upandishaji madaraja, majina yaliochapishwa Halmashauri ya wilaya ya Rungwe, yakipendekezwa kupandishwa madaraja idara mbali mbali Halmashauri hii, kuna majina ya watu ambao hawajawahi kuwepo kwenye vituo walivyoonesha. Kuna majina ya watu ambao hawajawahi kua watumishi kabisaa. Kuna majina ya watu ambao hawapo kabisa duniani.

Kuna majina ambayo yamerudiwa mara mbili na mara ya pili yakabadilishwa jinsia. Majina haya yote yana namba tofauti tofauti za utumbalisho wa mtumishi.

Idara iliyo ongoza kwa majina feki ni idara ya elimu msingi. Ukifika kwenye ubao wa matangazo wanakataza kupiga picha majina haya, sababu wanazijua wenyewe.

Inasemekana, mchongo huu umepangwa na AFISA UTUMISHI, AFISA WA NMB, WAKUU WA IDARA na Mkurugenzi Bi. LOEMA PETER. Mkurugenzi analijiua hili lakini ana exit strategy. Fununu zinasema atakae pata shida dili likigundulika ni wakuu wa idara, ila mkurugenzi na afisa utumishi watakua salama.

Maoni yangu, zoezi la upandishaji madaraja liendeleee sambamba na uchunguzi, ikigundulika kuna wizi huu ambao utaendelea kila mwezi kama hatua zisipochukuliwa, wahusika wasimamishwe.

Tunaipenda nchi yetu, hatutaki irudi kule ilikokua.

Hili lisipofanyiwa kazi, waziri itaonekana ndio fisadi na alihusika moja kwa moja. HALMASHAURI YA WILAYA YA RUNGWE IMEOZA. UPIGAJI IMEKUA TAMADUNI ILIYOHALALISHWA.
haiwezekani, sababu check no. anayetoa ni utumishi na siyo mkurugenzi,kuna taarifa za benki, majina halisi , vituo vyq kazi n.k,acha kuishi kwa kuvizia ndugu kama haupo ktk list pambana awamu ijayo uwepo
 
Mkuu acha kuchonganisha wakuu wako Wa idara na waziri,huku nilipo kuna watu wameonekana kuwa watapanda madaja ili khali hawajawahi kuwepo kwenye vituo vya kazi kwa miaka kadhaa,kitakacho waondoa ni vile viambato ambavyo wasimamizi wanavihitaji, navyo ni barua ya ajira,barua ya kuthibitishwa kazini nk.

Sioni haja ya wewe raia kujifanya unajua zaidi kuwaliko maafisa wanaosimamia zoezi hili

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Duh Povu la nini wakati kila mtu ana uhuru wa kuongea?

Taarifa ndo hiyo, Wenye Mamlaka wafuatilie sasa.
 
haiwezekani, sababu check no. anayetoa ni utumishi na siyo mkurugenzi,kuna taarifa za benki, majina halisi , vituo vyq kazi n.k,acha kuishi kwa kuvizia ndugu kama haupo ktk list pambana awamu ijayo uwepo
kuna Lawson utapita wapi, labda anataka ile kitu yao"UHAKIKI"
 
Back
Top Bottom