Dah wazee, kutokuoa ni Bora kuliko kuoa, nimekaa Miaka mingi ya u-bachelor mpaka age ilipoanza kusonga hivi, maisha yangu yote yalikuwa ya furaha isiyo na kifani, sina stress za hovyo hovyo naweza kujiamulia kwenda sehemu yoyote bila stress, mipango yangu Ilikuwa inaenda sawa kidogo nachokipata...
Habari JF, mke wangu mimba yake ilitoka ikiwa na mwezi mmoja. Lakini tangu itoke ni mwezi sasa na bado anatema mate mengi sana. Je inaweza ikawa ni dalili ya nini?
Ni mimba au inaweza ikawa tatizo lengine?
Hello bosses and rosses...
Leo nmekaa mahala fln nikakumbuka pilikapilika za COVID-19. Kipindi hicho yalitokea mengi sana kwenye historia ya uchumi wa dunia, likiwemo lile ya bei ya mafuta ghafi(crude oil) kufikia zero hadi negative. Hapa nchini kwetu nakumbuka the rate Magufuli (RIP) alipeleka...
Ile mobilisation aliyoianzisha rais Tshisekedi ni kama inaanza kuzaa matunda, vijana wanaonekana kuwa na morali na hasira kali sana. Japo sijajua uiamara wa mafunzo yao, ila kwa kinachoendelea, nadhani at some point Kagame itabidi afanye reassessment ya alichokuwa anakifanya Congo.
Kama vita...
Moja kwa Moja.
Nina line tatu kila nikichungulia hakuna uafadhali, nilikuwa najiunga halotel kufushi cha Halotel Royal 5K kwa mwezi napata dakika na Mb ambazo zilikuwa zinanifaa kusongesha maisha lakini cha ajabu leo nimekuta wameondoa na cha bei ya chini sio elfu tano tena bali ni elfu Kumi...
Kwa skyrocket hii ya kukopa na misaada naanza kumwelewa Spika Mstaafu Job Ndugai kuwa kuna siku nchi itapigwa mnada.
October 1: Billion 978 Kutoka Abu Dhabi.
October 11: Trillion 4.9 Kutoka Benki ya Dunia.
October 26: Billion 380 Kutoka Umoja wa Ulaya (EU).
October 27: Billion 310 Kutoka Korea...
Vurugu zinazoendelea Kaskazini mwa Msumbiji zikihusisha mapigano ya wenyewe kwa wenyewe zimesababisha zaidi ya watoto 30,000 kukimbia makazi yao hadi kufikia mwishoni mwa Juni, 2022.
Hiyo ni idadi kubwa kuwahi kurekodiwa ndani ya mwezi mmoja katika mapigano hayo. Mashambulizi mengi yametokea...
September 28 ,2019 nikiwa nimekosa uelekeo wa maisha ya kimahusiano nilikuja hapa jukwaani ,Nikasema natafuta Mume ,kiukweli uhitaji nilikiwa nao lakini sikuwa naamini kama huku nitapata mtu,pili niliogopa ningeonekana kuhuni au kutoaminika so ilikuwa kama njia TU ya kujiondolea stress walikuja...
Wadau habari za majukumu
Napenda nianze kwa kumpongeza Rais wetu Samia kwa kuona changamoto ya upungufu wa madarasa nchini
Na ndiyo maana alipo pata pesa za IMF Kupambana na COVID-19 akazipeleka mashuleni kila wilaya kujenga madarasa mapya sasa maagizo ndo tatizo.
Madarasa hayo yameamuriwa...
Wakuu naamini umu kuna manguli wa utafutaji.
Nina shida na million 3 baada ya mwezi mmoja ili nifanyie uwekezaji fulani.
Kwa sasa nna laki tano nataka izae million 3 ndani ya mwezi mmoja kwa kuwa sikopesheki inabidi nipambane mwenyewe.
Nisaidieni uzoefu mbinu gani naweza tumia ya halali ili...
Series Ya Squid Game Imefanikiwa Kuingiza Takriban Dola Za Kimarekani Milioni 900 Ikiwa Ni Zaidi Ya Trilioni 2 Tshs Ikiwa Na Mwezi Mmoja Tu Tangu Itoke Rasmi.
-
-
Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa Bloomberg Series Hiyo Imetazamwa Na Watu Milioni 132 Kwenye Siku 23 Za Mwanzo Ilipoachiwa Na Hii Kuvunja...
Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine.
Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu.
Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
Habari ndugu wapendwa katika imani! natumai mmeamka salama na mpo kwenye majukumu ya kila siku.
naomba nielekee kwanye hoja au maombi ya kimawazo, ushauri au tiba kwa aliyekutwa na hili tatizo na kufanikiwa kulimaliza kwa namna yoyote.
Mtoto wangu tatizo la kufura kwa mafua yasiyoka puani...
Serikali imekuwa ikijinasibu kufanya biashara mbalimbali kwa lengo la kujenga uchumi, kusaidia raia wake, uzalendo n.k. Tumeshuhudia serikali ikejenga hotel za kitalii, ikimiliki mashamba, viwanda vya dawa, ikinunua korosho,na ikiendelea kwa kasi kununu ndege kuendelea na biashara ya usafiri wa...
Je, nchi inaendaje? Kwa sasa maana ni mwezi sasa hatuna Waziri wa Ulinzi tangu Kwandikwa Atutoke.
Wataalamu wa mambo mnaweza shea chochote kwenye hili.
Soma TANZIA - Elias Kwandikwa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa afariki dunia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.