mwenza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kujiandaa pale mwenza wako apatapo Mimba Kwa Vijana Masikini; ili Kupunguza Ugumu siku ya kujifungua na uzazi!

    JINSI YA KUJIANDAA PALE MWENZA WAKO ANAPOPATA MIMBA KWA VIJANA MASIKINI ILI KUPUNGUZA HALI NGUMU WAKATI WA KUJIFUNGUA NA UZAZI na MALEZI KWA MIAKA 10 Anaandika, Robert Heriel. Andiko hili lawafaa Sana Vijana wa Aina zote hasahasa Vijana Masikini. Andiko hili halitamuumiza yeyote, hivyo mtu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania "Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

    Wakuu Kwema! Leo sina mengi! Ujumbe huu unawahusu zaidi wasomi hasa kutoka dini ya kikristo. Vijana acheni kusubiri Embe kwenye Mnazi! Msichelewe, ikiwa Una mwenza wako, na una miaka 27-30 amueni kuzaa ikiwa mnaona mambo Yenu bado hayajakaa Sawa. Msisubiri embe dodo kwenye mnazi. Safari ya...
  3. Rakims

    JamiiForums Tanzania Nitajie tarehe yako na ya mwenza wako nikwambie mpo vipi na hatima yenu, siri yake n.k

    Habari zenu wana ndoa na wenye ndoto za ndoa, Yawezekana umewahi kusikia kauli maarufu sana inasema; "Kosea yote usikosee ndoa" Katika thread hii nitakupa maana halisi na siri iliyojificha nyuma ya kauli hiyo hivyo ukiweza kunitajia tarehe yako na ya mwenza wako na herufi zenu za...
  4. May Day

    JamiiForums Tanzania Hivi wapo wanaofanikiwa kupata wenza makini (serious) mitandaoni?

    Kwa siku za karibuni kwenye mitandao mbali mbali kumeshamiri maombi ya kuhitaji Wenza...natamani kujua kama kuna utafiti umefanyika kujua mafanikio ya mfumo huu. Maombi haya yamekuwa yakiambatishwa na vigezo lukuki huku vingi ya hivyo ni ngumu hata kupatikana kwa Mtu mmoja. Pia...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mwenza wangu amegoma kuachana na BodaBoda wake

    Wakuu hali ni mbaya sana kiupande wangu, Baada ya kuona Boda Boda amekua ni kiungo kikubwa kwenye maisha yetu, nilianza kutumia njia za busura kumshauri mwenza wangu aache ku deal nae, Nilivyoona Busara haifanyi kazi nikalazimika kujaribu kutumilia nguvu, ILa hapa kwa kweli nimezidi kuvurugika...
  6. Leak

    JamiiForums Tanzania Kiongozi analazimika kufuatana na Mwenza wake kwenye safari za kikazi na shughuli za Kitaifa nje na ndani ya nchi?

    Hili swali nimekuwa nikijiuliza ikiwa ni lazima au ni busara kiongozi kufuatana au kuambatana na mwenza wake akiwa kwenye shughuli muhimu za kitaifa ndani na nje ya nchi, hili ni jambo la busara au la lazima? Yani Viongozi wenzio uko duniani wanakuona kila leo kama uko single wanashindwa kujua...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwekezaji mwenza anahitajika: Pata Faida ya Laki 5 kila mwezi

    Wadau, Niko kwenye hatua ya mwisho za kuanza mradi wa biashara ya Mboga Mboga, hii ni baada ya kufanya utafiti na majaribio kwa muda wa miezi 6 na kuwa na uhakika wa uwepo wa soko la Mboga Mboga( kwa jumla) katika eneo la Bunju B, Dar es salaam. Naitafuta mwekezaje mwenza(Partner) atakaewekeza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Karma: Ipo siku Mama atakuja shuhudia mwanae, mjukuu au hata Mwenza wake akienda Jela au Mahabusu

    Kwasababu malipo ni hapa hapa duniani, basi hilo litakuja kutimia huku Mama akishuhudia na wakati huo akiwa hana tena Mamlaka na nguvu alizonazo leo hii. Kama si Mama, basi ni wale walio nyuma ya dhambi hii kwa kutumia nafasi zao. Ukweli ambao wengi hamkuwahi hata kuufikiri ni kuwa, bora watu...
  9. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kufanya mapenzi na mwenza kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya kufanya mapenzi kama majaribio kabla ya kuoana na kufunga ndoa na hii inahusisha jinsia zote mbili. Mwanaume wakati mwingine anajaribu kujiridhisha kama mwanamke anaendana na vigezo vyake hali kadhalika kwa wanawake pia. Vijana wengi wamekuwa wakitumia...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ndoa ni kitanzi. Yaani mwanandoa ananuna mwenza akitoka kitaa na kupitiliza bafuni??!!!

    Jamani ndoa ngumu sana. Mfano umeolewa/umeoa halafu ikatokea siku umetoka zako mishe umefika home halafu ukapitiliza bafuni kuoga, inakuwa nongwa. Tena nongwa kweli kweli. Kwanini?? Shout out kwa singles wote
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania GSM amwaga bilioni 2.1 kuwa mdhamini mwenza wa ligi kuu

    Kampuni ya GSM imesaini mkataba wa miaka miwili na Shirikisho la Soka Tanzania wenye thamani ya TSH. 2.1 Billion kwa ajili ya kuwa mdhamini mwenzanwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Engineewr hersi "Tunadhamini timu za Yanga sc, Namungo na Coastal union,, tumeona ni vyema kudhamini pia ligi kuu...
  12. Underthesea

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini utaoa/olewa na mtu asiye sahihi

    (usomaji wa dakika 7) Wangapi wanaweza kukiri kuwa wanahisi wameoa/wameolewa na mtu asiye sahihi? Basi mimi nipo hapa kutoa ushauri nasaha pamoja na faraja kwenu. Unajua watu wengi tuna hasira tulizozibeba ndani yetu juu ya mahusiano yetu ya kimapenzi, jinsi mahusiano yetu yalivyoenda. Leo...
  13. elvis richard

    JamiiForums Tanzania Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

    Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano. Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi ya kuwa nao inakuwepo kama utaamua kufanya hivyo. Hii kitu imekaaje wataalamu?
  14. Pamoja tunaweza

    JamiiForums Tanzania Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako

    Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao. Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote Kila jambo huwa na uzito wake, hasa mambo ya kheri huwa na uzito sana ukizingatia kuwa sheitwani naye ana mchango...
  15. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu azua mjadala, adai anapenda kupigwa na mwenza wake

    Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇 “Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na...
  16. haszu

    JamiiForums Tanzania Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

    Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi. Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia. Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia? Je mimi nitakua nakosea...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Unaweza kudumu na kuishi maisha ya furaha na mwenza wako

    Hivi unakumbuka mara ngapi ulishawahi kumwambia maneno mazuri mwenza wako na yakamkosha hadi akafurahi? Hakuna Siri ya kwanini fulani amedumu na ana furaha katika maisha yake ya mapenzi. Unaweza kufanya vitu mbalimbali ili kuhakikisha unakuwa na unaishi kwa furaha na kudumu katika mapenzi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kutafuta mchumba. Weka Wasifu wako hapa upate wa kuanza naye maisha (njoo tuishi/tuyajenge)

    Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mwenza wako kabla ya kufanya maamuzi?

    Je, ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mke wako au mme wako mara unapogundua anatoka na mme/mke wako kabla ya kufanya maamuzi ya kutoa hukumu?
  20. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Hivi jamii zinawaonaje vijana wanaokaa muda mrefu bila kuwa na mwenza

    Nataka kujua huwa jamii huwa wanamchukuliaje kijana wa kiume ambaye amekaa muda mrefu bila mwenza pengine tangu amalize chuo atakaa ata miaka 3 - 5 hana demu wala mke hata mtoto wakuzingiziwa yeye hana Nilishawahi kwenda mahali fulani mizunguko ya hapa na pale sasa kuna nyumba moja Kuna jamaa...
Back
Top Bottom