Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

haszu

JF-Expert Member
Oct 10, 2017
837
1,550
Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi.

Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia.

Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia?

Je mimi nitakua nakosea nikimuacha huyu cha uongo?
 
Back
Top Bottom