mwenyezi mungu

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo huwa ninautukuza utukufu wa Mwenyezi Mungu

    Unanunua viatu unavaa vinakwisha lakini hii ngozi iliyoumbwa na Mungu inaishi.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

    Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema. Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa...
  3. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Nawatakieni heri ya mwaka mpya 2021

    Bandugu, Heri ya mwaka mpya 2021, Mungu awatunze mfikie malengo yenu. Kama una povu siyo mbaya ukalimwaga Stay blessed.
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Mkongwe Mohammed Fungafunga (Mzee Jengua) afariki Dunia

    MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani. Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya Kiharusi. Enzi za uhai wake, Mzee Jengua alikua akiigiza Maigizo kama vile Kidedea, Handsome wa...
  5. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Mwenyezi Mungu msaidie Trump ashinde uchaguzi kesho

    Mzuka wanaJF! Baba Muumba wa mbingu na nchi na mkambidhi President Donald Trump achaguliwe tena muhula wake wa pili. Silaha aliyoishika ni hatarii na ndio itamrudisha tena White House. Die hard Trump supporter!
  6. V

    JamiiForums Tanzania Tumuombe Mwenyezi Mungu

    Amani iwe nanyi, Kwa kuwa tumemaliza uchaguzi na umepitia katika hali ya kushangaza pale matokeo yalipotangazwa kuona chama tawala kikishinda katika chaguzi zote za uraisi, ubunge na udiwani kwa "kishindo", ni vyema tukajifariji kwa pande zote zilizoshinda na kushindwa kwa haki kwa Kumuomba...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar nguvu yenu Dua, amkeni usiku Tahajjud mumshitakie Mwenyezi Mungu

    Wazanzibar mnaodhulumiwa, enyi mnaoonewa, mtume Muhammad alishafundisha, silaha ya muumini ni dua!. Amkeni usiku, Tajeni lile jina kuu la Mwenyezi Mungu ambalo mtume alifundisha kuwa ukiomba kwalo Mungu anajibu. Amkeni usiku mswali Tahajjud, mumlilie Mwenyezi Mungu kwa dhulma hii mnayofanyiwa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika 'Kifo' huwa hakina 'Hodi' na ikipangwa imepangwa tu, usiihusishe 'Siasa' na Kazi ya Mwenyezi Mungu

    "Jumla ya mawakala wa chama watano wamefariki katika hekaheka za kukimbizana na haya marekebisho yaliyotolewa usiku na asubuhi kuambiwa sasa hamuapishwi hapa mnatakiwa mkimbilie kwenda kuapishwa hapa na unapewa muda mfupi wa kwenda kwenye eneo la tukio".Mnyika. ITV Tanzania Hata kama hawa...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

    Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake) 2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara...
  10. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania E Mwenyezi Mungu, natumai mke wangu atatokana na uzi huu. Natafuta mke

    Sasa leo ni zamu yangu kutangaza nia ya dhati ya kutafuta mke kupitia JF. Ninachoamini mke wangu huenda akatokea humu au tukaunganishwa na mke wangu mtarajiwa na mtu anayeishi ndani ya jiji la JF. MIMI. Umri 24 Muislam halisi Diploma ya civil engineering. Maji ya kunde Zanzibar Ninayemuhitaji...
  11. okiwira

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mume wangu asipokunywa pombe, akimaliza kukojoa lazima matone madogo ya damu yatoke

    Ni baba wa watoto 3 tangu ameoa amechepuka mara 4. Kwa sasa ametulia kama miaka 2 bila kuchepuka. Ila kuna tatizo ameliona yeye ni mnywaji wa konyagi na bingwa. Akinywa pombe hizo halioni tatizo hilo ila asipokunywa analiona. Shida ni nini hasa? Asipokunywa siku tatu na kuendelea kila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kutumia jina la Mwenyezi Mungu kisiasa ni kujitafutia balaa

    Imekuwepo tabia katika nchi hii hivi karibuni, serikali au viongozi wakitaka kuungwa mkono na umma katika mambo kadha wa kadha wanakimbilia kwenye dini. Tabia hii ya ajabu kwa kiasi kikubwa ilianzishwa na aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda smbaye kila alipokuwa akipata...
  13. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kila siku ninamwomba Mwenyezi Mungu Tume ya Uchaguzi ya CCM isimteue Tundu Lissu!

    Uamuzi huo ndiyo utakuwa mwanzo wa kuufanya upinzani kushinda Uchaguzi wa Mwaka huu. Kaijage shime shime kazana Jaji wangu - hakikisha Tundu Lisu hapiti. Kamanda Sirro nilikuelewa ulivyosema kuwa utampatia Tundu Lissu ulinzi kana kwamba una uhakika atateuliwa. Kama ndivyo big up kwako! Lakini...
  14. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Watanzania tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Nchi nzuri na yenye kila kitu

    Tunayo mito, maziwa na bahari. Tunayo Madini ya aina karibu zote na mengine hayapatikani popote hapa Ulimwenguni. Raia tunaishi kwa amani na raha kabisa! Tumejaaliwa ustaarabu wa kiwango kisicho elezeka! Shime wana siasa yawapasa nyote muisaidie Nchi yetu kusonga mbele daima kwa kutumia...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Salum Jecha Mwenyezi Mungu hataniwi, umelipwa kwa kadri ya matendo yako, sasa subiri makubwa zaidi

    Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako limekatwa kinyama bila hata kujadiliwa, wewe Jecha ndio mtu wa kwanza kufyekwa bila huruma. Mwenyekiti...
  16. Mzukulu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mama aua wanae wanne, asema Mahakamani kuwa alivamiwa na nguvu za giza

    Mwanamke mmoja nchini Kenya Betrice Mwende, anayeshikiliwa kwa tuhuma za kuwaua watoto wake wanne, amekiri Mahakamani kuwa ni kweli alifanya tukio hilo na alilitekeleza kwa kumnyonga mmoja baada ya mwingine na kwamba alikuwa anajisikia vizuri wakati anatenda unyama huo. Ndiyo maana Sisi wengine...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Alinusurika kifo kwa kudra ya Mwenyezi Mungu

    Hili ni tukio la kweli kabisa lililotekea mwaka 1988, kuna Jamaa mmoja alitokea Tanzania kwenda Msumbiji kwa kupitia border mmoja inaitwa Congress au mkenda.kipindi hicho haikuwa njia rasmi sababu kulikuwa hakuna ofisi za uhamiaji kwa pande zote mbili yaani TZ na MOZ. Jamaa alikuwa anaenda...
  18. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Ernie Chambers mwanasiasa aliyefungua kesi mahakamani kumshtaki Mwenyezi Mungu

    Katika Jimbo la Nebraska nchini Marekani, Ernie Chambers akiwa mgombea wa Kwanza mweusi ngazi ya useneta na kuwa seneta wa Kwanza mweusi katika Jimbo Hilo. Pia akiwa seneta wa kwanza kutawala Jimbo Hilo kwa muda mrefu Sana. Kwa kile alichokitambua na kukiamini katika sheria Ni kuwa kila mtu...
  19. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kwa Maelezo ya Tundu Lissu dhidi ya ' Makahaba wa Kisiasa ' ni dhahiri shahiri kuwa ' Wameshalaanika ' vibaya mpaka kwa Mwenyezi Mungu

    Kama kuna Siku ambayo nimeyasoma Maelezo ya Tundu Lissu kwa umakini wake kabisa huku nikiwa nimetulia kabisa mpaka Mzukulu nikajikuta nashindwa Kujizuia kwa Uchungu na kujikuta natokwa na Machozi basi ni haya aliyoyatoa leo kwa wale ' Makahaba wa Kisiasa ' wanaoihama CHADEMA. Na kama kuna...
  20. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Kampuni kama hii kamwe haiwezi kuacha Kubarikiwa na Mwenyezi Mungu kwa Matendo yake mema kabisa

    Mfanyakazi wa @Google akifariki, kampuni hiyo humlipa mwenza-wake 50% ya mshahara wake kwa miaka 10. Pia mtoto/watoto wako watapokea USD 1,000 (Tsh. Milioni 2.3) kila mwezi hadi watakapofikisha umri wa miaka 19 (au miaka 23 kama ni mwanafunzi). Makampuni ya Kitanzania ( Kibongo ) nanyi pia...
Back
Top Bottom