mwenyezi mungu

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwisho ama vifo vya Mitume na Manabii wa mwenyezi Mungu

    Uzi huu ni maalumu kuelezea kuhusu mwisho wa maisha ya Mitume na Manabii mbalimbali WA MWENYEZI MUNGU. Namna walivyo kamilisha safari Yao ya maisha Yao hapa duniani. Sababu zilizo pelekea vifo vyao. 1. YESHUA AMASHIACH ama YESU. Wakristo watanishambulia Kwa kumuweka katika moja na Manabii na...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Musa Salum: Rangi ya Kijani inayotumiwa na CCM ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu

    Sheikh wa mkoa wa Dsm Alhad Musa Salum amesema CCM imepewa upendeleo na mwenyezi Mungu kwa sababu wanatumia rangi ya kijani ambayo ndio rangi pekee iliyobarikiwa na Mungu. Alhad Musa amesema hayo wakati akiiombea dua CCM katika katika sherehe za miaka 43 ya chama hicho inayofanyika kitaifa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili upumue na nuksi zinazoanza Kukuandama sasa Wewe kama Baba na Mwanao Mjeuri fanya yafuatayo

    1. Ondoa Takataka Sugu iliyopo Ilala Boma inayopendwa sana na Mazingira ya Magogoni/ Kivukoni 2. Mtumikie Mungu kweli wa Ibrahim, Isaka na Yakobo na acha Kupenda Ushirikina kupitia Lucifer 3. Usikubali na usipende sana kupokea Ushauri wa ' Matege Mbanio ' na ' Mimacho Mimate ' unaowaamini 4...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Awali: Erick Kabendera mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi inaendelea leo Mahakama ya Kisutu. Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi, Utakatishaji Fedha na kujihusisha na genge la uhalifu. UPDATES MAHAKAMA YAOMBWA KABENDERA KUMUAGA MAMAKE HOJA SITA ZA...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Laana ya Mwenyezi Mungu kwa kuwaonea Wapalestina imempata Trump

    Kuingia madarakani kwa Donald Trump ilikuwa kwa nguvu na njama za Israel ili kukamilisha agenda zao za kuimeza Palestina. Na kweli tangu kuingia madarakani matarajio yote ya Israel yametimia. Amehamisha ubalozi ya Marekani kuupeleka mji wa Jerusalem ambao Wapelestina katika makubaliano yao ya...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili Kutomuudhi sana Mwenyezi Mungu sasa Wanaume ' hatuui ' tena Wapenzi wetu bali tunachoma tu Moto ' naniliu ' zao pekee

    Katika hali inayoonyesha kuwa Wanaume wa sasa tumeshachoka na Vitendo vya ' Uchepukaji ' na ' Dharau ' nyingi kutoka kwa Wanawake zetu ambao huwa wakianza tu Mahusiano ya Kimapenzi na Wanaume wengine sasa umekuja ' Ubunifu ' mpya ambapo Wanaume wa sasa ' hawauwi ' tena na badala yake wanachoma...
  7. Econometrician

    JamiiForums Tanzania Kama Mwenyezi Mungu aliyetuumba ana upinzani(shetani) sisi binadamu nani tusiwe na upinzani-CHADEMA maamuzi yenu ni sahihi kabisa!

    Uongozi wa CCM hasa mwnyekiti wwtu anayebariki kila wazo ndani ya chama-upinzani unafaida nyingi kuliko hasara. Hata raisi wetu mpendwa kuwa katika nyazifa hiyo haikuwa bahati mbaya ni kutokana na upinzani uliokuwepo ndani ya chama uliofanya mapaungufu ya wenzake kuonekana wazi wazi mbele ya...
Back
Top Bottom