Sasa Mwanza tuigeuze ,,Egoli“ yetu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...

Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
1579934467691.jpeg
 
Tukianza huu upuuzi wa "Mwanza yetu" tutafika pabaya sana! Mmekataa madini yasiuzwe nje ya huko, sasa kila MTU akisema tuwe na cha kwetu mtaigawa nchi nyie mburula

View attachment 1333815

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una matatizo wewe siyo bure, mimi kila Mkoa ni wetu, Iringa yetu, Rufiji yetu, Mbeya yetu, Arusha yetu, Tanga yetu, Moro yetu, Singida yetu, Kigoma yetu, Ruvuma yetu, Lindi yetu, ... sasa sijui wewe umetafsiri vipi, mimi siko huko mliko, mimi Tanzania yote ni yetu.
 
Unaota dogo, chini ya ccm hii?
 
Ipo?
 
Ukisikia KUCHAMBA KWINGI ndio uku
 
Una matatizo wewe siyo bure, mimi kila Mkoa ni wetu, Iringa yetu, Rufiji yetu, Mbeya yetu, Arusha yetu, Tanga yetu, Moro yetu, Singida yetu, Kigoma yetu, Ruvuma yetu, Lindi yetu, ... sasa sijui wewe umetafsiri vipi, mimi siko huko mliko, mimi Tanzania yote ni yetu.
Acha uboya ushakua MTU mzima; yaani kwenye hizo pumba zako niambie ni wapi umeandika haya unayonijibu sasa hivi? Hebu kuwa na aibu kidogo
 
Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ...

Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na Dhahabu, Mwanza yetu sasa wakati wake umewajia.
View attachment 1333815
Twiga itakuwa Mwanza kwa jina tu. Kutakuwa na ofisi zitakazoitwa ofisi ndogo ya DSM pale Bagamoyo Road au Masaki au Msasani au Oysterbay. Na zitakazokuwa practically head ofisi halafu ya Mwanza itakuwa practically representative office.
 
Barrick wajiulize sana! Kwa nini wanafanya maamuzi bila kuuliza kwanza?
Mji wa kimkakati ni Chato, kwa nini wasifungulie HQ yao kule maana na kiwanja cha kussfirishia dhahabu directly to Toronto kipo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom