mwanza

  1. Ni kwanini sasa miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika iadhimishiwe jijini Mwanza?

    Huku kukiwa na lundo la tuhuma kuwa utawala wa awamu ya tano umegubikwa na ubaguzi wa kikanda hatimaye Rais John Pombe Magufuli atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 58 ya uhuru wa Tanganyika. Sherehe hizo kwa mara ya kwanza zinafanyika nje ya makao makuu ya nchi ukiachilia mbali...
  2. Tetesi: Magufuli kwenda Chato , 9/12/2019 Kuadhimisha Mwanza

    Magufli aliingia kwa mbwembwe madarakani huku akifuta sherehe za uhuru na kuelekeza hiyo bilioni 2 itumike kujenga barabara Mweng Morroco. M Alitoa maneno ya shobo na dhihaka kwa watangulizi wake as if hiyo hela ilikuwa ikiliwa na CHADEMA kumbe ni wanajeshi wasio na chama. Kajisahau sasa...
  3. Msaada wa Lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini

    Wenyeji wa Mwanza naomba msaada wa kujua lodge nzuri ya kufikia Mwanza Mjini. Nina safari ya Mwanza hivi karibuni ila sina uzoefu wa wenyeji wa mjini. Naomba anayefahamu Lodge nzuri anisaidie kujua kufahamu ila iwe mjini au maeneo ya jirani na mjini. Ahsante.
  4. Je, tumekubali na tutahudhuria Sherehe za Uhuru za mwaka huu wa 2019 kama Mgeni Rasmi kwakuwa zitafanyika Mwanza au?

    Kwanini na mwaka huu pia Pesa za Sherehe za Uhuru nazo zisipelekwe/zisielekezwe katika Miradi mikubwa ya Maendeleo ya Wananchi badala yake kwa mwaka huu Sherehe zipo, Mhudhuriaji Mkuu nae atahudhuria ambapo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza? Nasubiri majibu yenu Wakuu.
  5. K

    Mgao wa umeme umeanza hapa Mwanza?

    Maeneo mengi hapa hakuna umeme. Hivi mgao wa umeme umeanza tena? Tulikwisha sahau kama kuna mgao wa umeme. Kama umeanza basi mtuarifu tufufue majenereta yetu.
  6. S

    Rais wetu mpendwa msamaha wako kwa wafungwa ulikuwa ni Mwanza tu?

    Nakumbuka wakati Rais anatoa msamaha kufuta kesi kwa wafungwa aliahidi ifanyike na magereza mikoa mingine lakini hadi sasa bado kiza kinene. Je lilikuwa changa la macho au wasaidizi wake hawakumwelewa????? Au kwa kuwa Mwanza ni kanda atokayo?
  7. F

    TARURA Mwanza na kero ya maegesho - Rais Magufuli tusaidie

    1. Unascaniwa ikiwa haupo 2. Hakuna anayekujulisha kwa mdomo au text message 3. Unafanya jitihada kujua iwapo ulikuwa scanned, unaulizia kwa kutumia simu 152*00, usafiri, TARURA, deni jibu linakuja huna deni 4. Unakaa baada ya masaa kama 4 unajaribu tena jibu ni huna deni, unaachana na suala...
  8. Mwanza: Watu 4000 hufa maji Ziwa Victoria kila mwaka

    Serikali imesema zaidi ya watu 4,000 hufa maji kila mwaka Ziwa Victoria kutokana na sababu mbalimbali, ikiwamo hali halisi ya vyombo vya usafiri, uwezo wa mabaharia, ubebaji mizigo, hali ya hewa, pamoja na ziwa hilo kutofanyiwa vipimo kujua maeneo yenye miamba na kina kirefu tangu ilipofanyika...
  9. Sherehe za uhuru 2019 kitaifa kufanyika jijini Mwanza

    Wakuu habari za wakati huu, kuna taarifa za chinichini japo hazijawa rasmi kuwa SHEREHE ZA UHURU mwaka huu kufanyika kitaifa jijini MWANZA, kiukweli nimeridhishwa na maamuzi haya kuleta sherehe hizi mikoani. Rai yangu kwa SERIKALI isiishie Mwanza tu mwakani waangalie hata KIGOMA huko angalau...
  10. House4Sale Nyumba inauzwa ipo Buswelu Mwanza Tanzania

    Inauzwa: Nyumba kubwa ya kuishi, iko kwenye kiwanja kikubwa cha square meters 2,539 (surveyed area) Mahali ilipo: Wilaya ya Ilemela, Busweru, Mwanza (Kilomita 2 kutoka ofisi za halmashauri ya Ilemela) Vilivyomo: vyumba vinne vya kulala, (master bedroom 1 na vyumba vitatu) Sitting & Dining...
  11. Kwa Wenye uzoefu na jiji la Mwanza.

    Wakuu heshima kwenu. Kama kichwa cha thread kinavyosema nahitaji kujua kama jijini Mwanza kuna vacation house. Nafahamu kwa majiji makubwa kuna vacation house/apartment lakini sina uzoefu na Mwanza. Pls kama unafahamu itaje na location ilipo.
  12. Wanataka Uwanja wa Mwanza uitwe Magufuli international Airport

    Heshima kwenu, Praise team (PT) wameanza fujo zao, wameanza kupiga Kelele kwamba Uwanja wa ndege wa Mwanza ubadilishwe jina uitwe MIA. Kwamba kwa mambo makubwa aliyofanya Rais Magufuli, anastahili apewe jina na Uwanja huo. Hivi, vitu vyote majina wanapewa wanasiasa tu tena wa CCM, watoto wetu...
  13. R

    Afisa mauzo wa METL (Mo Dewji) pale Liberty, Mwanza ni janga

    Huyu Afisa Mauzo wa METL pale Liberty Mwanza ni hovyo kabisa. Asubuhi wateja wakienda kununua mzigo unamkuta anavuta sigara na kutafuna ugoro, anamajibu ya hovyo hovyo tu kwa wateja na kiburi juu, bahati yao hakuna sehemu nyingine ya kupatia mzigo tungeshawahama. Ujumbe huu uwafikie wahusika wa...
  14. Mwanza: Mkurugenzi wa Jiji anusurika kupigwa na Wamachinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba

    Wafanyabiashara wadogo maarufu machinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba na mtaa wa Sokoni jijini Mwanza, ambao wanatakiwa kuhamia soko kuu la muda eneo la kata ya Mbugani, wamezua tafrani baada ya kutaka kumshambulia mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo Kiomoni Kibamba wakati akitoa...
  15. J

    Kigwangalla, Shonza na mchungaji Msigwa kwa pamoja wakagua mabanda katika tamasha la Urithi Wetu jijini Mwanza

    Inapendeza kwa kweli viongozi wetu wanapoweka itikadi zao za vyama pembeni na kushiriki kikamilifu katika shughuli za kijamii na maendeleo. Hongereni sana Dr Kigwangalla, Juliana Shonza na mchungaji Msigwa Maendeleo hayana vyama cc: Wakudadavuwa
  16. G

    Rock City ( Mwanza) vs Mlimani City & City mall ( Dar es Salaam)

    Nimekuwa mtu wa kuja Dar es salaam na kuondoka mara kwa mara bila kufanikiwa kufika ndani ya majengo mawili yaliyondani ya jiji hili la dar es salaam( MLIMANI CITY & CITY MALL). Nashukuru awamu hii nimefanikwa kufika na kutembea ndani ya majengo hayo. kiukweli ni majengo ya kawaida sana katika...
  17. Wakuu unafanyaje ili dagaa wa Mwanza wasiwe hivi?

    I Kila nikinunua niwatunze ndani ya wiki kadhaa tu wanakuwa na vumbi na kuwa kama nimewaokota Nipeni mbinu ya kuwahifadhi bila hii changamoto
  18. N

    Video: Kocha wa Yanga Zahera akizomewa na kutupiwa chupa za maji huko Mwanza

    Wasukuma sasa hivi wako juu ya sheria kuanzia Bashite hadi kule makao makuu, ni noooma duuh halafu majinga ya Jangwani yakasema yakapeleke mechi uskumani. Weweeeeee jinga kabisa mngepeleka Chato stadium bora
  19. Hivi ni nani aliyewadanganyeni kuwa ukimuhamisha ' Taahira ' toka Muhimbili Dar es Salaam ataenda ' Kuponea ' Bugando Mwanza?

    Wewe tumekuambia mapema sana kuwa tibiwa Hospitali ya Muhimbili Mkoani Dar es Salaam utapona haraka dhidi ya Ugonjwa wako wa ‘ Pyramid Mwarabu Fever ‘ ukatuona wenye Akili akina GENTAMYCINE ni ‘ Mapopoma ‘ na ukasema kuwa unataka kwenda Kutibiwa Hospitali ya Bugando Mkoani Mwanza ambapo sasa...
  20. Mchezaji mahiri na muhimu Yanga SC Kelvin Yondan akosa mazoezi kisa 'chai' huko mkoani Mwanza

    Tukisema kuna 'njaa' mnakasirika na kununa. Chanzo: Gazeti la Mtanzania la 26/10/2019, ukurasa wa 21.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…