Rais wetu mpendwa msamaha wako kwa wafungwa ulikuwa ni Mwanza tu?

shinyangakwetu

JF-Expert Member
Jun 25, 2015
2,452
2,345
Nakumbuka wakati Rais anatoa msamaha kufuta kesi kwa wafungwa aliahidi ifanyike na magereza mikoa mingine lakini hadi sasa bado kiza kinene.

Je lilikuwa changa la macho au wasaidizi wake hawakumwelewa?????
Au kwa kuwa Mwanza ni kanda atokayo?
 
Mbona wafungwa walisamehewa na kwingineko, ofisi ya DPP ikatoa na takwimu. Au huko kwenu hamkuinuliwa?
 
Back
Top Bottom