Je, tumekubali na tutahudhuria Sherehe za Uhuru za mwaka huu wa 2019 kama Mgeni Rasmi kwakuwa zitafanyika Mwanza au?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Kwanini na mwaka huu pia Pesa za Sherehe za Uhuru nazo zisipelekwe/zisielekezwe katika Miradi mikubwa ya Maendeleo ya Wananchi badala yake kwa mwaka huu Sherehe zipo, Mhudhuriaji Mkuu nae atahudhuria ambapo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza?

Nasubiri majibu yenu Wakuu.
 
Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .
 
Kuna watu wanawasema Dotto James na Makonda awamu hii wanawasahau Mzee Joseph Butiku na Nyirabu awamu ya kwanza.
 
Akifuta mnasema, akiruhusu mnasema pia. Endeleeni kusema

Mwakani yakitakiwa Kufanyika Mkoani Kilimanjaro au Arusha yatakubalika na atakubali kuwa Mgeni Rasmi? Na kwanini kwa mwaka huu yasifutwe tena ili Pesa zielekezwe katika Miradi ya Kimaendeleo? au Shida zinazohitaji Pesa ili Kuzitatua kwa Watanzania zimeisha na kwamba Tanzania sasa ni Paradiso Mkuu?
 
Mwakani yakitakiwa Kufanyika Mkoani Kilimanjaro au Arusha yatakubalika na atakubali kuwa Mgeni Rasmi? Na kwanini kwa mwaka yasifutwe tena ili Pesa zielekezwe katika Miradi ya Kimaendeleo? au Shida zinazohitaji Pesa ili Kuzitatua kwa Watanzania zimeisha na kwamba Tanzania sasa ni Paradiso Mkuu?
Kufuta sherehe mwaka fulani hakuwi ni kielelezo cha kupoteza maana na umuhimu.

Kama umechunguza hata hii miaka ambayo sherehe zinafanyika gharama zake zimepunguzwa sana.

Somo ni moja tu huwezi ukakesha bar unakunywa bia za laki mbili halafu kesho asubuhi unakopa hela ya supu.
 
Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .

Una uhakika wa 100% kwa wakati wa Awamu ya Kwanza ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Jeshi lilijaa Watu kutoka Mkoani Mara? Labda kwa Kukusaidia tu na tena yakupasa Ushukuru ni kwamba Tanzania nzima hakuna Wanamume wa kweli kama watokao Mkoani Mara ( Musoma ) na unavyoona nchi hii imetulia hasa Kiusalama na Kijeshi jua ni kwasababu ya Wanamume wa Mkoani Mara hivyo unatakiwa uwashukuru sana tu.

Kwahiyo ulitaka Jeshi lisiwe na Watu wengi kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) na liwe na Watu wengi kutoka Mkoani Kagera, Singida, Kigoma, Kondoa Dodoma na Ukerewe Mwanza Mkuu? Tena ukiendelea Kuwasema vibaya Watu ( Wanamume ) kutoka Mkoani Mara tutaacha Kuwalindeni Watanzania kisha mpigwe vizuri na Rwanda, Malawi na Kenya ndipo mtuheshimu na mjue Umuhimu wetu.

Jamani hiyo Mikoa niliyoitaja hapo na maeneo yake ni ya Watani zangu Wakubwa na huwa napenda Kuwatania / Kuwacharura mno.
 
Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .
Umenena vyema!
 
Kufuta sherehe mwaka fulani hakuwi ni kielelezo cha kupoteza maana na umuhimu.

Kama umechunguza hata hii miaka ambayo sherehe zinafanyika gharama zake zimepunguzwa sana.

Somo ni moja tu huwezi ukakesha bar unakunywa bia za laki mbili halafu kesho asubuhi unakopa hela ya supu.

Natokea Kanda ya Ziwa ( anakotoka Yeye Mr. Kujimwambafai Daima ) na sina Desturi ya Unafiki ambao nakuona unao na unaudumisha hapa. Ukweli ni kwamba Mheshimiwa anaendekeza Ukabila na Kupendelea mno Mkoa au Maeneo atokayo kitu ambacho ni Hatari na Kibaya kwa Ustawi wa Umoja wetu kama Watanzania. Kwakuwa una IQ za ' Punje za Mchele ' hutoweza Kunielewa katika hili ila ukituliza vyema Akili zako utanielewa.

Tena kama Mimi ndiyo ningekuwa Yeye Mheshimiwa katika ' Kuwazuga ' Watanzania kuwa sina ' Ukabila ' ningekataa Kushiriki Sherehe za mwaka huu ambazo Kitaifa zitafanyika Mkoani Mwanza ambako ana DNA nako ' Kiukabila ' na badala yake ningekuwa wa Kwanza Kukubali Kushiriki kama zingefanyika Kisiwani Pemba au Mkoani Singida au Lindi.

Katika hili hata mumtee vipi au mjitetee vipi hii Hisia ya ' Ukabila ' na ' Ukanda ' wake haiwezi Kufutika ndani Vichwa vya Watanzania wenye IQ's Kubwa ambao kila Kukicha ndiyo wanazidi tu Kuongezeka hapa nchini Tanzania. Namalizia kwa Kusisitiza bila haya, uwoga wala aibu kuwa Mheshimiwa apunguze Ukabila na Ukanda ataiharibu hii nchi.

Nimemaliza.
 
Aiharibu mara ngapi ??
 
Unaonekana ww ndo Una ukabila,
 
Hakuna binadamu anayeweza kufanya mambo Kwa usawa , kuna kitu huwa kinamcontrol mtu na ni ngumu kupingana nacho , nacho ni ubinafsi , anaanza kujiangalia yeye kama yeye, inafata familia yake , unafata ukoo, kisha kabila na kisha taifa , na hatimaye bara , na vipo Kwa mfuatano huwez kuruka kimoja et upendelee kinachofata, mfano uache kunufaisha familia ili unufaishe taifa ni ngumu Sana, Nyerere pamoja na utaifa wake lakn jeshi lilijaa watu wa Mara .
Si jeshi tu na usalama wa taifa pia.
 
Back
Top Bottom