Wakuu unafanyaje ili dagaa wa Mwanza wasiwe hivi?

matunduizi

JF-Expert Member
Aug 20, 2018
6,571
15,321
I
IMG_20191030_132252.jpg

Kila nikinunua niwatunze ndani ya wiki kadhaa tu wanakuwa na vumbi na kuwa kama nimewaokota

Nipeni mbinu ya kuwahifadhi bila hii changamoto
 
Nakushauri ukishawanunua, waoshe vizuri, waanike juani wakauke maji kisha wakaange kwa mafuta kiasi, limao/ndimu na chumvi unaweza kuweka kitunguu thom na kitunguu maji ukipenda, wakishakauka vizuri kwenye mafuta waache wapoe halafu hifadhi kwenye chombo safi, kazi yako itakua kuchota kiasi na kuunga, watakaa hadi miezi miwili bila kuharibika.
 
Hizi nyuzi zingine bana...!!
Yaani hadi dagaa wa kula nyumbani unakuja kuuliza jf..??
Mkuu, nakushauri tu umuulize mumeo na atakushauri vizuri jinsi ya kuwatunza hao dagaa wenu
haya mkuu dada.
 
Nakushauri ukishawanunua, waoshe vizuri, waanike juani wakauke maji kisha wakaange kwa mafuta kiasi, limao/ndimu na chumvi unaweza kuweka kitunguu thom na kitunguu maji ukipenda, wakishakauka vizuri kwenye mafuta waache wapoe halafu hifadhi kwenye chombo safi, kazi yako itakua kuchota kiasi na kuunga, watakaa hadi miezi miwili bila kuharibika.
ushauri mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom