Kwa Wenye uzoefu na jiji la Mwanza.

Delight

JF-Expert Member
Nov 2, 2019
360
413
Wakuu heshima kwenu.

Kama kichwa cha thread kinavyosema nahitaji kujua kama jijini Mwanza kuna vacation house. Nafahamu kwa majiji makubwa kuna vacation house/apartment lakini sina uzoefu na Mwanza. Pls kama unafahamu itaje na location ilipo.
 
Unataka kuanzia lini? Na utakuwepo kwa muda gani?
 
Wakuu heshima kwenu.

Kama kichwa cha thread kinavyosema nahitaji kujua kama jijini Mwanza kuna vacation house. Nafahamu kwa majiji makubwa kuna vacation house/apartment lakini sina uzoefu na Mwanza. Pls kama unafahamu itaje na location ilipo.
Andika airbnb Mwanza na kusearch utapata nyingi tu.
 
Sawa mkuu, nimesearch hata booking.com sijaona hata TripAdvisor hakuna any recommendations! Nikasema nijaribu kuuliza JF
 
Fully fully na swimming pool nje

Pls unaweza niambia exactly zinaitwaje kama naweza kuziona kny mtandao. Maana nimeangalia kadhaa zilizopo airbnb ni cheap lakini chini ya kiwango saana.
 
Sikumbuki zinaitwaje ila jamaa wa migodini ndio huwa wanapanga humo sana.
Pls unaweza niambia exactly zinaitwaje kama naweza kuziona kny mtandao. Maana nimeangalia kadhaa zilizopo airbnb ni cheap lakini chini ya kiwango saana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom