Afisa mauzo wa METL (Mo Dewji) pale Liberty, Mwanza ni janga

Rog chimera

JF-Expert Member
Apr 28, 2018
347
546
Huyu Afisa Mauzo wa METL pale Liberty Mwanza ni hovyo kabisa. Asubuhi wateja wakienda kununua mzigo unamkuta anavuta sigara na kutafuna ugoro, anamajibu ya hovyo hovyo tu kwa wateja na kiburi juu, bahati yao hakuna sehemu nyingine ya kupatia mzigo tungeshawahama.

Ujumbe huu uwafikie wahusika wa kampuni ya METL kama wamo humu, huyo Mhindi mwenzenu mliemuweka pale ni boya kabisa, ipo siku mtasikia kapigwa hata ngumi kwa majibu yake ya hovyo na dharau.
 
Mkuu tuambie ni bidhaa gani hiyo mnayohitaji hii ni nafasi adimu sana kuipata. Haswa pale unamgundua mtu udhaifu wake uchochoro huo huo unapatia nafasi ya kumuovertake kwenye biashara.

Please share it boss. Wapo watu wengi sana wanaweza kulifanyia kazi na mkapata huduma nzuri mpendavyo.
 
Back
Top Bottom