mwanza

  1. Wafiwa wazika nguo tu baada ya kushindwa kulipa gharama za matibabu na Mochwari Hospitali ya Bungando

    GTs, Imetokea huko Mwanza, familia moja ilipata majanga ya mtoto kuungua moto, akapelekwa hospitali Bungando na kulazwa kwa siku kadhaa na bahati mbaya akafariki. Uongozi wa Hospitali ya Bungando walizuia mwili na hivyo kupelekea familia kwenda kuzika nguo tu. Na hili limetokea mwezi huu, na...
  2. Lini Viwanja vinavyomilikiwa na CCM vitakuwa chini ya umiliki wa Serikali Kuu au Halmashauri husika?

    Uwanja wa CCM Kirumba ambao unamilikiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) Enzi za chama kimoja, majengo na maeneo yote ya umma yalikuwa chini ya Serikali. Ujenzi na uendelezaji wa maeneo hayo ulifanya na Serikali kupitia kodi za wananchi, michango, fedha za wafadhili na wahisani mbalimbali. Kwa...
  3. Mnaokaa Mwanza, mnaoifahamu Mwanza vizuri msaada wenu tafadhari kwa mdogo wenu

    Habarini za asubuhi hii ndugu zangu, poleni na miangaiko ya hapa na pale kwa jumatatu hii ya leo. Niende kwenye maada moja kwa moja. Baada ya kuangaika kutafuta ajira kwa mda mrefu atimae nime-bahatika kupata sehemu ya kujishikiza kwa muda mfupi kidogo (ni project), Niliachoamua mpaka sasa ni...
  4. F

    Rais Magufuli jenga viwanja vya michezo kama vya majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya

    Nimewaza na kuona ni vema tumuombe RAIS wetu wa JMT, pesa kwa ajili ya ujenzi wa viwanja vya michezo kwa majiji ya Mwanza, Arusha, Tanga na Mbeya. Najua DODOMA tulipata ofa za wahisani. Naomba na kushauri hivyo maana namna ya kukuza michezo kwa ngazi za kimataifa ni kuwa na miundo mbinu...
  5. Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora Wapelekwa Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma Kulima Michikichi

    Wafungwa 150 kutoka katika Mikoa ya Mwanza, Shinyanga na Tabora wamepelekwa katika Gereza la Kwitanga Mkoani Kigoma ikiwa ni mkakati maalumu wa Serikali kuliteua gereza hilo kuwa Kituo Kikuu cha Uzalishaji wa zao la mchikichi nchini. Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi...
  6. Dr. Abbas: Tenda ya ujenzi wa reli ya SGR kutoka Mwanza-Isaka itatangazwa wakati wowote

    Shirika la Habari la Kimataifa la CNBC Africa tarehe 29 Februari, 2020 limerusha kwa zaidi ya nchi 100 duniani makala inayoeleza mafanikio ya Tanzania katika sekta mbalimbali Ripoti ya RMB ya mwaka 2020 imeitaja Tanzania imekuwa ya 21 duniani, Afrika imekuwa ya 4 na Afrika Mashariki imekuwa ya...
  7. GE2020 Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji, anayewania Ubunge Bunda Mjini Watishana kuuana kwa Risasi, Mmoja awekwa Rumande

    Wafuasi wa Mgombea Zury Nanji maarufu kama Mwanza Huduma, wametupiana maneno na kutishana kuuana kwa Risasi, Wafuasi hao ni Mkiti wa CCM Wilaya ya Bunda Justine Lukaka ambae ni mbeba mikoba ya Muhindi huyo na amenukuliwa kila mara akisema "anae Mgombea wake kichwani mwenye ngozi nyeupe"...
  8. Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu Mwanza akamatwa kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili kwa risasi

    Mfanyabiashara wa madini ya dhahabu jijini Mwanza, Salum Othuman (44) anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita kwa tuhuma za kuwajeruhi watu wawili, akiwemo mpenzi wake Happiness Israel (32). Anadaiwa kumpiga risasi ya mguuni mpenzi wake baada ya kutokea ugomvi wakati wakiwa chumbani...
  9. Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora

    Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora HIKI ni kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa nchi baada ya wanawake kujiunga katika vikundi vidogo vya maendeleo na kuanza kuwajengea waume zao nyumba bora, ikilinganishwa na maeneo mengine ya Tanzania tulivyozoea kuona wanaume ndio...
  10. N

    Ni aibu kusema Mwanza ni jiji la pili, limechoka, linachekesha, halmashauri hazina hela

    Kama anakuja mgeni mwanza unamuambia eti mwanza ndilo jiji la pili Tanzania atakushangaa sana,last time nilikuwepo huko 6 years ago kulikuwa na ahueni,nipo huku sasa kwa miezi kadhaa tangu mwaka jana Ndugu zangu ambao hamjaja mwanza muda mrefu hali ya huku ni kichekesho,ngoja niseme machache...
  11. New Internship Opportunities at FHI 360 MWANZA: Project Interns

    Position: Project Interns - Mwanza, Tanzania Location: Mwanza FHI 360 is a non-profit human development organization dedicated to improving lives in lasting ways by advancing integrated, locally driven solutions. Our staff include experts in Health, Education, Nutrition, Environment, Economic...
  12. K

    Natafuta shamba au kiwanja Mwanza/ Sengerema

    Natafuta kiwanja au shamba eneo la Busisi / Kigongo feli Mwanza au upande wa kuelekea Sengerema. Eneo liwe barabarani Ukubwa wowote kuanzia nusu hekari hadi hekari 2. -Eneo liwe barabarani linaweza kuwa na hati au halina. -Linaweza kuwa limepimwa au halijapimwa. Uaminifu ni muhimu malipo...
  13. Mwanza: Moto wateketeza vibanda vya biashara zaidi ya 30

    Vibanda zaidi ya 30 vya wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga wapatao 200 vimeteketekea kwa moto ulioanza majira ya saa 10 usiku katika eneo la Makoroboi jirani na msikiti wa Wahindi jijini Mwanza. Vyanzo vya habari vinaeleza kwamba moto huo umesababishwa na hitilafu ya umeme na...
  14. Kenyan Girl Running Multi-million Online Empire

    Fortune favours the bold and Ivy Kungu is one girl who decided to go after her fortunes from a tender age. Born in Baltimore, Maryland, her everyday looks and creative makeup concept have made her a huge hit across all her social media platforms. According to networthstats.com, the young...
  15. J

    RAS mpya wa Mwanza yawezekana ndiye Mbunge mtarajiwa wa Kigoma mjini atakayemrithi Zitto Kabwe

    Kama ilivyokuwa kwa Harmonize yawezekana kabisa huyu RAS mpya wa Mwanza ndiye chaguo la CCM kwa Kigoma Mjini. Wakati wa kumuapisha, Rais Magufuli amesema anampeleka kijana huyo mtaalamu wa masuala ya fedha jijini Mwanza ambako ni jirani na kwao Kigoma lakini hategemei kama atatumia ukaribu huo...
  16. M

    Ushauri: Kampuni ya Twiga ijenge jengo la Makao Makuu Jiji Mwanza waliite Madini House

    Serikali na kampuni ya barrick wameunda kampuni inayoitwa TWIGA ambayo ni ya ubia kati ya hizo pande mbili. Ushauri wangu kampuni ya TWIGA badala ya kukodi jengo LA kufanyia shughuli zao, ingekuwa vyema wangejenga jengo la kudumu na kuliita MADINI House kama kumbukumbu ya makubaliano hayo!
  17. S

    Hivi gari za kutoka Mwanza kwenda Mbeya zinafika saa ngapi Mbeya

    Nauliza basi za Mwanza kwenda Mbeya zinafika huku saa ngapi na huwa zinalala njiani au ni moja kwa moja? Ikiwezekana nipatieni na mawasiliano yao hapo Mwanza.
  18. Sasa Mwanza tuigeuze ,,Egoli“ yetu!

    Mji wote wa Johannesburg nchini AK ulijengwa na dhahabu ya nchi hiyo, hivyo sasa tumeanza ukurasa mpya nimesikia makao makuu ya Kampuni yetu ya Dhahabu ya Twiga yatakuwa Mwanza City, hivyo hiyo ndiyo ,,Egoli“ yetu, kazi ni kwetu tu sasa, ... Egoli, AK, Mji wote wa Johannesburg ulijengwa na...
  19. Champion Investment matapeli Mwanza

    Habari za kazi wanajamvi. Nimetapeliwa na kampuni inaitwa CHAMPION INVESTMENT ipo Mwanza wanajinasibu wamesajiliwa kisheria. Nitaambatanisha nyaraka zao hapa chini. Wanachofanya ni kukuunganisha kwenye group lao la Whatsapp halafu wanakwambia uwekeze kuanzia laki moja na na kuendelea baada...
  20. Jipatie dagaa safi wa Mwanza waliokaangwa

    Kwa wale wapenzi wa dagaa safi waliokaangwa kutoka Mwanza wakati ndo huu sasa wa kuchukua mzigo unaohitaji. Tunapima kulingana na mahitaji ya mteja na mzigo ambao mteja anauhitaji. Wanaohitaji mzigo mkubwa zaidi utahudumiwa, hata kwako wewe unayehitaji mzigo kidogo utapata kuanzia sh 1000 tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…