Tunapoendelea na msiba huu hasa leo tunapofanya rasmi maziko. Nikitoka huku ntakuwepo Mwanza kwa siku Mbili tatu. Mpaka Jumatatu ntaondoka na ndege. Sikuja na gari Binafsi.
Nataka kujua kuna Car Rentals wenye Magari hapa Mwanza? Naweza pata RR ,BMW,Mercedes Benz,Jeep au VW ya kuanzia mwaka 2018...