Hili ndio eneo la soko la ndizi, soko la machinjioni jijini Mwanza. Hali inatisha

Mwita Mtu Mrefu

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
740
1,106
Wana bodi, natumai mko poa

Katika hali ya kusikitisha, wakazi wengi wa jiji la Mwanza wanapata huduma katika hili soko la machinjioni (kitengo cha ndizi na matunda mengine) ingali hali ya mazingira ikiwa hovyo namna hii

Maradhi ya mlipuko yanawanyemelea wateja na wauzaji

IMG_20210427_085002_795.jpg
IMG_20210427_084918_500.jpg
IMG_20210427_084855_509.jpg
IMG_20210427_084816_273.jpg
IMG_20210427_084434_996.jpg

IMG_20210427_084816_273.jpg


IMG_20210427_084801_813.jpg
 
Pamoja na kwamba wananchi wanalipa kodi za vibanda (Tshs 15,000) na vizimba 6000 kwa mwezi, bado mwenye eneo (mtu binafsi) hajataka kufanya maboresho yoyote ikiwemo kumwaga kifusi katika eneo hili

Endapo magonjwa ya mlipuko yatatokea hapa basi eneo zima la machinjioni litakuwa hatarini na biashara zitafungwa

IMG_20210427_084428_028.jpg
IMG_20210427_084422_997.jpg
IMG_20210427_084404_088.jpg
IMG_20210427_084358_477.jpg
 
Mandhari mengine hasa yanayozunguka eneo la machinjionk sio rafiki

Kituo kikubwa cha kuchinjia mifugo jijini mwanza kinawezaje kuwa na soko la hovyo kiasi hiki?
IMG_20210427_085118_575.jpg
IMG_20210428_092656_026.jpg
IMG_20210428_092826_769.jpg
 
Kwanini halijafungwa?
Tuanzie hapo kwanza.

Health inspector gani atapitisha eneo hilo liendelee kutumika kama solo.
 
Tatizo CCM...

Hakuna mipango miji, hakuna usimamizi, hakuna uongozi bora...

Miji mikubwa kama Dar ubovu wa mipango miji ulianza kwenye nyumba/makazi na sasa tunaelekea kuwa na takataka pembezoni mwa barabara kwa kujificha kwenye kichaka cha umachinga (mabanda na vizimba kila mahali)
 
Coco,
Kwa utafiti wangu hapo mwenye eneo anaingiza zaidi ya laki 5 kwa mwezi lakink hajali afya za watu.
Inasikitisha
... what is laki 5 kwa mwezi? Kumbe ndio maana ameshindwa kupaendeleza! Mende moja ya kokoto 1.5+ wewe unazungumzia pato la laki 5 kwa mwezi?
 
Kweli Africa ni moja kila mahali kuna eneo la kujisifia kwa uchafu
Yaani nimeamua kuangalia mawingu tu baada ya kuona picha za hivyo

Halafu unakuta jiji linaendeshwa na viongozi walioteuliwa wakitamba na makaratasi yao ya elimu na kula kodi zetu bure
Hovyo kabisa hao
Wanakera sana hawa viongozi hivi hawaoni uchafu huo?
ingawa uchafu ni jadi kwa % kubwa lakini hapana kwa kweli
Hapo sasa pasipofungwa ipo siku hata moto utawaka ili wajenge upya maana naona wameandaa na majani kabisaaaaa
 
... what is laki 5 kwa mwezi? Kumbe ndio maana ameshindwa kupaendeleza! Mende moja ya kokoto 1.5+ wewe unazungumzia pato la laki 5 kwa mwezi?
Huyo nadhani haijui laki tano labda anadhani ni milioni 50.
 
Masoko ya majiji yanatisha, DSM soko la buguruni ni jalala kabisa, soko la Ilala liko Hatua 50 kutoka ofisi ya RC nalo ni jalala.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom