Kanisa la SDA la Kirumba jijini Mwanza lawafuturisha waislamu!

Kweli MATAGA Mmeishiwa Futari na siasa wapi na wapi?

Kinachofuata mtaanza kuingia jikoni kujipiga mapicha kama haya mtengeneze habari

2525477_120041101_3360033017421700_256927606636531134_o-1-650x450.jpg
 
Hivi kwanini Wakristo tunapenda sana kujikomba kwa waislam? Mbona sionaji kinyume chake???

Mjinga ni wewe unayedhani mkristo na muislam ni maadui..

Km wote wanamuabudu Mungu na Mungu wa hawa wote wawili anafundisha upendo.

Shida yako ni nini???ulitaka wakatane mapanga???

We bora ukae nyumbani tu hata kanisani usiende hujajua kwanini unaabudu unapoteza mda
 
Katika kuonyesha Upendo na mshikamano Kanisa la SDA la kirumba jijini Mwanza limewafuturisha waislamu.

Sheikh wa kirumba amemshukuru mchungsji wa Kanisa hilo kwa Upendo waliouonyesha.

Source: Star tv
Wenyewe wanasemaje, inaswihi kulishwa ftari na mtu yoyote?.
 
Back
Top Bottom