mwanza

  1. Ni lini Serikali itajenga Chuo Kikuu mkoa wa Mwanza?

    Kwa kuzingatia umuhimu na ukubwa wa jiji la Mwanza kunatakiwa kuwe na Chuo Kikuu cha Serikali ambacho kitatoa elimu kwa ukanda wote wa Ziwa. Kulingana na matawi yaliyopo ya vyuo mbalimbali lakini bado hayajakidhi mahitaji na matakwa ya watu wa Mwanza. Kunatakiwa kuwepo na chuo kikuu ambacho...
  2. Tuhuma za kufanyika kwa ‘madudu’ dhidi ya fedha za kujikimu(Meals and accommodation) kutoka HESLB ndani ya Chuo Kikuu St. Augustine Mwanza

    Nimegundua kuna madudu na ubabaishaji mkubwa sana wa malipo ya fedha za Kijikimu(Meals and Accomodations) kwa wanafunzi wa Chuo kikuu cha ST. AUGUSTINE MWANZA, ambazo kimsingi ni fedha wanazokopeshwa wanafunzi Ili baadae wazilipe. Serikali inaingiza hela kwenye account ya chuo mapema tu, alafu...
  3. Nini tofauti ya muundo wa Jiji la Mwanza na Jiji la Dar?

    Mheshimiwa Rais Magufuli leo ametangaza rasmi mchakato wa kulifuta jiji la Dar ambalo linatokana na manispaa tano za mkoa wa Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni) ili kuunda jiji jipya (jiji la Ilala?) ambalo litatokana na manispaa moja tu ambayo ni ilala. Sababu kubwa aliyoitoa...
  4. Bei ya dagaa mkoa wa Mwanza iko juu kuliko mikoa mingine kwa ajili ya kupima kwa kutumia vitini/visado

    Habari zenu wote, na poleni na changamoto za maisha zikiwemo maradhi. Kwa utafiti wangu usio rasmi nilioufanya, nimebaini bei ya dagaa wa Mwanza katika mkoa wanakotoka iko juu kuliko mikoa mingine Tanzania kwa sababu ya matumizi ya makopo maarufu kama vitini/visado. Baadhi ya mikoa ikiwemo...
  5. Watu Wasiojulikana wafunga ofisi ya serikali ya mtaa Jijini Mwanza

    Zaidi ya wakazi 3,000 wa mtaa wa mwananchi kata ya Mahina jijini Mwanza kwa miezi miwili sasa, wamekuwa wakihangaika kupata huduma za kiserikali bila mafanikio, baada ya kundi la watu wasiojulikana kuifunga ofisi ya serikali ya mtaa huo kwa madai ya kutoridhishwa na hatua ya kurejeshwa kwa...
  6. Hofu yatanda Jijini Mwanza, wakazi wajifungia ndani ya nyumba zao siku nzima ya leo

    Katika hali ya kustaajabisha siku ya leo jumamosi, jiji la Mwanza hasa maeneo ya Buzuruga, Nyasaka, Mahina, Mhandu, Gedeli na maeneo mengine ya jirani hali imekuwa tofauti na ilivyozeleka. Katika maeneo tajwa katika siku nzima ya leo anga limekuwa kama lina vumbi au ukungu au vyote kwa pamoja...
  7. Mafundi feniture wengi wa Mwanza si wabunifu wanazidiwa na wa Morogoro

    Nikifanya mlinganisho kati ya mafundi feniture wa Mwanza na Morogoro naona kabisa wale wa Mwanza ni zero. Yaani mtu anatumia mninga sijui, una makovu mara brown imekoza kwingi sehemu nyingine haijakoza sasa anachonga kitanda sijui meza alafu anapiga vanish kisha anauza kitanda kina mabaka...
  8. Hospitali ya macho Mwanza

    Wakuuuu poleni na majukumu, Naombeni msaada wa hospital nzuri ya macho Mwanza inayotibu kwa bima ya afya, asanteni.
  9. J

    David Kasesela kinara wa biashara ya kusafirisha Wahamiaji haramu akamatwa jijini Mwanza

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh Mongela amesema Idara ya uhamiaji mkoani humo imefanikiwa kumkamata David Kasesela ambaye ni master mind wa biashara ya kusafirisha biashara haramu. Mongela amesema kwa muda mrefu wamekuwa wanamsaka Kasesela na leo wamefanikiwa kumtia mbaroni akiwa na kundi la...
  10. N

    Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Jiji limekushinda, Jitafakari! Ni pachafu sana

    Wakuu, John Mongella kawa mkuu wa mkoa wa Mwanza kwa muda sasa, lakini cha ajabu hakuna jipya lolote aliloonyesha hususa ni Mwanza jiji ambapo ndio kioo cha Mkoa mzima wa Mwanza. Jiji la Mwanza kwa sasa lipo hovyo hovyo sana halina mpangilio wowote ukilinganisha na lilivyokua kipindi cha...
  11. Bujibuji leo niko Mwanza

    Bhing'hwe, mwo misha mola? Weekend hii nipo Mwanza, kabla sijachomoka jumatatu asubuhi na bundi wa Chato. Sii mbaya nikikutana na mwana JF hata mmoja, akiwa wa ile jinsia pendwa itakuwa poa zaidi, huenda tukaperuzi ule uzi wetu pendwa wa KULA TUNDA KIMASIHARA
  12. TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa

    TASAF Mwanza ni kichaka cha wajanja kupigia pesa Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa nchini yenye watu wanaoishi katika mazingira magumu na maisha duni. Mkoa huu ni kati ya mikoa nchini ambayo imeingizwa katika mpango wa kusaidia kaya zinazoishi maisha duni. Agosti 2012 Serikali ilizindua...
  13. Nahitaji kazi ya Tax Accountant - Mwanza

    Habari wakuu, naamini JF ina watu muhimu na makini sana kwa nchi hii. Mimi nafanya kazi katika Auditing firm hapa dar es salaam kama Tax Accountant, lakini pia nafanya external Audit maana ukiwa firm ndogo unafanya majukumu mengi zaidi. Kwasababu za kifamilia nalazimika kuwa Mwanza. Hivyo...
  14. K

    Utapeli wa biashara ya kuwekeza unaofanywa na kampuni ya FX Fire iliyopo mkoani Mwanza

    Naomba watanzania muwe makini sana na kijana anaitwa Peter Kasanga aliyeko mkoani mwanza mwenye kampuni ya fx fire, anafanya biashara ya uwekezaji yaani unawekeza pesa na mwisho wa mwezi unalipwa 60% ya kiasi cha pesa ulicho wekeza, alikuwa akifanya hii biashara ya uewekezaji tangu mwaka jana...
  15. Umoja ni nguvu: CHADEMA wachangishana fedha ili kumtoa jela kiongozi wao aliyehukumiwa kifungo huko Mwanza

    Ili kuweka kumbukumbu vizuri , Mwenyekiti wa Chadema wilaya ya Nyamagana Mkoa wa Mwanza Kamanda Mwakihaba alishitakiwa kwa makosa ya mtandao baada ya kusambaza taarifa za ofisa kipenyo aliyeonekana karibu na Hospitali aliyolazwa Mh Tundu Lissu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwenye eneo...
  16. Mwanza: Mvua kubwa ya mawe

    Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
  17. Mji wa Mwanza umekuwa na Joto kali sana

    Wajomba na mashangazi hamjambo? Natumaini mko poa. Ivi wakazi wa mwanza pamoja na wale ambao mmeutembelea mji huu siku za karibuni hamjagundua kuwa jua limekua kali sana likiambatana na joto la kufa mtu katika mji huu? Nimeishi Mwanza toka mwaka 2000 hali haikua ivi , kuna mabadiliko makubwa...
  18. Kiwanja kizuri cha kula bia Mwanza

    Wakuu poleni na maumivu ya january, Ndugu zangu sina mengi ijumaaa nimeagizwa kikazi mwanza na ofsi na sijawahi kula bata Mwanza nawaomba mnipe ramani ya kiwanja kizuri kilichochangamka chenye watoto classic ambacho ntakula bia huku nimebambia mtoto classic wa jiji la mwanza Shukrani.
  19. Kwa Waziri wa Mambo ya ndani, RPC & RTO Mwanza: Kwanini vijana wenu (Traffic Police) wanatubambakia faini madereva bila kujua..?

    Hii siyo haki na kamwe siyo halali hata kidogo. Sisemi kwamba madereva hawafanyi makosa ya usalama barabarani, yanafanyika lakini hata hivyo siku hizi kwa kiasi kikubwa madereva wengi wanajitahidi kuwa makini. Hili hata mimi nakubali. Hii haijaja hivihivi bali ni kwa sababu idara ya Polisi -...
  20. K

    Naomba kufahamishwa kuhusu fuel consumption toka Dar es Salaam mpaka Mwanza

    Hi, Naomba msaada kwa anayefahamu. Naomba kufahamu roughly ni Diesel/Petrol kiasi gani naweza kutumia kutoka Dar es Salaam kwenda Mwanza kwa kutumia Gari lenye Engine Capacity (cc) 3000. Aina ya Gari ni LAND CRUISER 200 VX Wagon V8 DIESEL AUTOMATIC 4WD. NB NAHIYTAJI UHALISIA NA UZOEFU ZAIDI...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…