ARMs
Member
- Aug 3, 2021
- 17
- 16
Habari ndugu wajumbe?
Mkurugenzi wa jiji la Mwanza amekuwa ni kikwazo kuweza kupitisha malipo ya watumishi wa umma wa jiji la mwanza.
Katika kufuatilia suala la malipo haya nilikuwa najua kuwa kikwazo ni wahasibu lakini ndugu zangu wajumbe Mkurugenzi huyu ni kikwazo sana maana hataki kusaini mafaili ya watumishi hawa hasa walimu.
Faili za watumishi wanaodai stahiki zao mbalimbali zipo ofisini kwake ni zaidi ya wiki mbili sasa lakini kuzisaini inakuwa shida akiulizwa anajibu eti ana kazi nyingi za kufukuzana na wamachinga
Hivyo kwa siku anapitisha faili 10 tu sasa unajiuliza kuna fail zaid ya 600 je mkurugunzi huyu atachukua siku ngapi kumaliza ilhali faili zingine zinaingia ofisini?
Ndg Mkurugenzi wa jiji la mwanza hebu saini hizo faili za malipo ya watumishi wenzako ona aibu basi jua hio ofisi unapita tu.
Kuna watumishj wa jiji hapa mwanza wameshajaza vendor form zaid ya miezi 2 lakini mpka sasa hujazisaini faili zao. Hivi kiukweli kabisa kwa kufanya hivi watumishi watakuwa na ari ya kufanya kazi?
Mkurugenzi malipo hasa likizo ni haki ya watumishi na hupendeza zaid kama malipo haya yatalipwa kwa wakati na si hivyo unavyofanya kama upo bize sana mpe mwngine asaini kwa niaba yako.
Ndg Mkurugenzi angalia kilio cha watu sio kizuri ni laana. Najua uzi huu utausoma nakuufanyia kazi kwa wakati sahihi.
Afadhali alipokuwa Kibamba alikuwa mwepesi kusaini faili but huyu mkurugenzi wa sasa hivi hakuna kitu.
Wasalam.