Msaada: Nataka Bus la Dar - Mwanza linalofika mapema zaidi

Cytotoxic

JF-Expert Member
Apr 14, 2020
267
320
Habari ya wakati huu wanajukwaa?

Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
 
panda Allys hutajutia saa moja linakua shinyanga by saa tatu nne hiv unakula zako sato,hufuta Happy nation then Dar lux
 
Habari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
Isamilo
 
Kama ni muumini wa mwendokasi kula flight.

2hrs upo Mwanza Airport unakunywa supu ya Sato!
 
Habari ya wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba msaada kwa uzoefu wenu. Nimepata safari ya Dar - Mwanza wiki ijayo na natamani kupanda bus ambalo linafika mapema kuliko yote kwani mimi ni muumini wa mwendokasi but wa kistaarabu. Je nipande bus gani?
Panda Basi la Allys ila uwe na Roho ngumu.
 
Chakorii upo wapi nakutafuta sikuoni mda sana, ni mekumis jitokeze angalau,nikuone niweze kula ugali wa mhogo na dagaa nyasa.
 
kwa nini unapenda magari yanayokimbia sana, mwendo mkali ni hatari, unaua, wewe ni mmoja wa watu mnaochochea "ligi" za barabarani, mabasi yasiyokimbia sana yanaonekana hayafai
 
Naona wengi mnakomaa Na Ally star Sidhani Kama mna uzoefu sana na hiyo njia, Tanzanite anaikalisha Ally star daily, mimi ni nasafiri Sana wa hiyo njia naongea Kwa uzoefu wa sasa.
 
Back
Top Bottom