Mabasi ya Mwanza - Mbeya

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,256
9,743
Salaam.

Nina Safari ya kutoka Mwanza kwenda Mbeya hivi karibuni. Natambua hii ni moja Kati ya Safari ndefu zaidi Kwa mabasi Tanzania.

Naomba kupata taarifa updated kuhusu usafiri wa njia hii , hasa hasa nauli, basi zuri na muda wa kufika Mbeya.
 
Bus Zipo Nyingi Sana
Premium Bus
Fikoshi Bus

Nauli Wengine Watakuja Kukupa
Nilizokutajia Mwanza Via Dodoma ~Mbeya
 
Hiyo route ina mabus ya company tatu
Premier line
Isamilo
Fikoshi
Bus nzuri binafsi panda premier angalau yanajitahidi kuwahi.
Nauli andaa 60,000/=
Kufika mbeya utafika alfajiri .

NB . Route haina bus za kimayai mayai
 
Kuna
Fikosh
Isamilo
Premier
Basi zote ni kama zinalingana uzuri, na andaa 50,000
Muda wa kufika ni kuanzia saa10 usiku mpaka saa11 alfajiri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom