mwanza

  1. Plot4Sale Kiwanja kinauzwa, Igoma Mwanza

    Kiwanja kinauzwa IGOMA mtaa wa kilimo msikitini SIZE YAKE NI HATUA 33*33 Kimepimwa (beacon zimewekwa) Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote. kutoka kiwanjani kwenda igoma senta dakika 5-10 tu kwa pikipiki/gari. kwenda machinjioni/kijereshi ni dakika 3-5 kwa boda. BEI NI 15 mil...
  2. K

    Kwako Waziri wa Maji: Tatizo la maji eneo la Mwananchi jijini Mwanza

    Kwanza nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo ni tunasherehekea miaka 60 ya kumbu kumbu ya uhuru wetu. Kwa masikitiko Mhe. Waziri hapa Mwanza maeneo ya Mwananchi tuna siku ya tatu hakuna tone la maji bila hata MWAUWASA kutoa taarifa. Nimesikia likisemwa kuwa wewe ni kati...
  3. Wakenya mna Balaa Nyie: Eti mji wa Nakuru ni mkubwa kuliko baadhi ya majiji ya Marekani kama Atlanta

    Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's. Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine? .... Hii ndio Nakuru mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
  4. M

    Mabasi mazuri kwenda Mwanza

    Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na nauli zao. Natanguliza shukrani
  5. Wanahitajika walimu kufundisha part time mkoa wa Mwanza

    Tunahitaji walimu wa Physics, Chemistry, Biology, History, Kiswahili, Language,Adv Mathematics, Commerce, Accountancy kwa A level na O-level amabao wapo mkoa wa mwanza kwa kazi ya kufundisha part time. Tuwasiliane pm kama upo tayari.
  6. Mwanza: Mgambo wawapiga wafanyabiashara katika Soko la Mbugani

    Mwanza mida ya saa 1&2 usiku mgambo waliingia katka soko la Mbugani walikohamishiwa machinga na akina mama wauza mbogamboga na samaki, na kuwapiga waliokuwa wamepanga mbogamboga pamoja na samaki, na kupigwa pamoja na kumwagiwa bihashara zao pamoja na kunyanganywa samaka. Katika tukio ilo wawil...
  7. Rais Samia aagiza vyanzo vikuu vyote vya maji kuwekewa ulinzi. Asema, "Hatuwezi kuweka rehani maisha ya Watanzania"

    Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza Wakuu wa Mikoa yote pamoja na Kamati za Ulinzi za Mikoa na Wilaya kuhakikisha Ulinzi unawekwa kwenye Vyanzo vyote vikuu vya Maji, na kutosita kuchukua hatua za Kisheria Amesema, "Utekelezaji wa Agizo hilo unaanza mara moja, hatuwezi kuweka rehani maisha ya...
  8. Mwanza: Rais Samia asisitiza Tafiti kubaini chanzo cha Saratani Kanda ya Ziwa

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesisitiza umuhimu Tafiti kujikita zaidi katika kubaini kwanini Kanda ya Ziwa inaongoza kwa Waathirika wa Saratani, ikielezwa Wanawake ni wahanga wakubwa wakikumbwa na Saratani za Kizazi na Matiti Ameeleza hayo leo Novemba 18, 2021 Mkoani Mwanza wakati...
  9. L

    Mwanza kiwingu cha mvua kimetanda. Rais Samia Suluhu karibu sana

    Katika kuazimisha miaka hamsini ya Hospitali ya Rufaa ya Kanda Bugando, tumeshuhudia ugeni mkubwa wa Mh. Rais Samia S. Hassani, watu wamejitokeza kwenye viunga vya Jiji la Mwanza kumpokea. Tunaomba uongeze nguvu katika hospitali yetu ya Bugando iweze kutoa huduma bora zaidi kwa wananchi wa...
  10. Plot4Sale Ukihitaji kiwanja/shamba Jijini Mwanza usisite kunitafuta

    Habari JF? Mimi nahusika na kutafutia watu viwanja na mashamba, nawaunganisha na wauzaji kwa bei nafuu kabisa. Kwa sasa nina kiwanja maeneo ya kisesa karibu na round about ya usagara, mita 200 kutoka lami. Size yake ni 25*30 Miundo mbini yote ipo, umeme na maji yapo karibu Bei yake ni...
  11. Lodge / Hotel nzuri Mwanza

    Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
  12. K

    Marekebisho yafanyike kwenye tawi la NMB Buzuruga - Mwanza

    Nianze kwa kusema kuwa NMB ni Benki inayopendwa na Watanzania wengi kuliko Mabenki mengine yote. Katika Tawi la NMB - Buzuruga kuna matatizo makubwa. (1) Kuna madirisha 6 ya kuwahudumia wateja lakini madirisha 2 au moja ndiyo kila siku inafanya kazi. Mteja anaweza akapanga foleni kwa muda wa...
  13. Mwanza: Watu watano wa familia moja waungua moto na kufariki dunia

    Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ramadhani Ng'anzi amethibitisha vifo vya watu watano wa familia moja walioungua moto ndani ya nyumba yao katika eneo la Mandela jijini Mwanza. Chanzo: Nipashe
  14. Songea to Mwanza: Mwamba katoa chuma na kaanzisha hii route

    Hakika ubora wa miundombinu ya barabara ikiwa mizuri hakuna kinachoshindikana. Muda huu ni saa 22:30 basi la kampuni ya Super Feo limeondoka Singida kuelekea Jiji la miamba Mwanza. Wale wadau wa usafirishaji mnaionaje na imekaaje hii..? 🧭 Yule anayetaka kujua umbali kwa mfumo wa picha...
  15. Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza

    Anayefahamu bei ya dagaa mafuta Mwanza. Msaada hapo
  16. Rushwa yatawala SGR Mwanza

    Habari za muda huu wanajukwaa. Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Katika mradi wa SGR katika kituo cha Fela katika wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, kumekuwa na tabia ya mafomeni kupokea rushwa ili kuwapa kazi watu ambao wapo nje ya kampuni. Kitendo hicho kimepelekea watu kufukuzwa kazi...
  17. R

    Kwa mlio Mwanza tafadhali nisaidieni case law hii

    Ipo kwenye TanzLii lakini kuna some missing pages page no.6 and 13.. Naomba tafadhali kama kuna aliye Court of Appeal Mwanza anisaidie kuniwekea complete judgement. Pia ikiwezekana na High Court Judgement. Please and please IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA...
  18. Ni basi gani zuri la Dar - Mwanza?

    Naomba kuuliza ni bus gani zuri luxury lenye choo ndani linalo toka Dar kwenda Mwanza. Asante
  19. Kuhamisha Wamachinga kwa kuvunja miundombinu yao na kupora mali zao ni uhalifu kwa DSM na Mwanza

    Ni takribani wiki mbili sasa wafanyabiashara ndogo-ndogo (wajasiriamali au wamachinga) waliagizwa na serikali za mikoa mbalimbali kuhama kutoka katikati ya miji mikubwa na ama kuelekezwa wapi waende au bila kupewa eneo mbadala na rafiki kwa biashara. Wamachinga walitoa mawazo yao ili...
  20. Mahakama Kuu imemteua Jaji Joachim Tiganga kutoka Kanda ya Mwanza kuendelea kusikiliza Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

    Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Mahakama Kuu kwa vyombo vya habari Yeyote mwenye wasifu wa Jaji huyu mpya atuwekee hapa ili tupate kumfahamu , Bali taarifa za awali zinaonyesha kwamba ALIAPISHWA KUWA JAJI NA RAIS WA AWAMU YA 5 , HAYATI JOHN MAGUFULI ------ Jaji mpya katika kesi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…