mwanza

  1. Choosen85

    JamiiForums Tanzania Mradi usioeleweka Mwanza

    Wakuu kuna rafiki yangu alikuwa anafanya kazi mkoani Mbeya sasa alipigiwa simu na kaka ake kwamba kuna mradi upo Mwanza huko atalipwa vizuri sana. Huyo kaka mtu akamwambia anatakiwa awe na passport ya kusafiria, achome chanjo ya manjano jamaa akapambana akakopa mpk kwa jamaa zake ili akamilishe...
  2. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Unahitajika mkopo wa Tsh 5 mil. Dhamana ni nyumba

    Habari za mida hii wakubwa? Naomba kuleta ombi hili kwenu mwenye uwezo asaidie. Kuna mama mmoja (kamshirikisha mume wake) hapa anahitaji fedha kiasi cha Tsh milioni 5 (mkopo), anaweka dhamana nyumba yake (hati ya nyumba ipo). Mtaandikishana kwenye vyombo vya sheria na taratibu zote...
  3. Lyetu

    JamiiForums Tanzania Tujadiri kuhusu wakazi wa Mwanza wanaoishi milimani kuhamishwa

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana. Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema. 98% ya...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Nilivyoibiwa chaja ya simu Mwanza kizembe

    Juzi juzi tu niliwasili mkoani Mwanza usiku sana nikitokea mkoa fulani. Nikasema isiwe kesi ngojea nikapumzike kabla asubuhi sijakwenda uko nilipotaka kufika. Kweli nikapata guest moja karibu na stend ya mabasi ya Buzuruga, nikalala hapo mpaka asubuhi. Asubuhi nilichelewa kuamka, nikaamshwa na...
  5. Mpwayungu Village

    JamiiForums Tanzania Waishio milimani Jijini Mwanza watakiwa kuondoka kupisha mwekezaji

    Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake. -------- Wawekezaji hao wanatarajia kuwekeza kwenye sekta ya miundombinu, viwanda na utalii katika maeneo ya Igogo, Isamilo na...
  6. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rocky City Mall Mwanza yageuzwa madarasa ya vyuo

    Kwa msiofika Mwanza, Rocky City Mall ndio Mlimani City ya Mwanza. Cha kushangaza mwitikio wa wafanyabiashara wa Mwanza kwa jengo hili umekuwa mdogo sana mpaka kufikia kukodishwa kwa vyuo vikuu nchini kukodi floor za juu kuwa madarasa yao, vyuo zaidi ya vinne vikiongozwa na IFM vipo jengo hili...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Mwenye usafiri binafsi wa kutoka DSM kwenda Mwanza wiki hii

    Wakuu habari! Naulizia Kama Kuna mwenye usafiri wa private kutoka DSM kwenda MWANZA ndani ya wiki hii tuchekiane PM,Nina kiasi Cha kuchangia mafuta na ninahitajika kufika Mwanza kabla au siku ya Alhamisi. Ahsante!
  8. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja jijini Mwanza kwa laki 6 tu

    Kiwanja Fumagila Kishili Jijini Mwanza Bei: Laki 6 tu punguzo hakuna Size: hatua 18 kwa 16 za miguu Mawasiliano: 0713096076 Kiko karibu na barabara kuu ya Kishili-Nyanama-Fumagila-Bujingwa Huduma za kijamii zote zipo senta ya nyanama Mawe, mchanga simenti nondo vyote vipo senta ya karibu...
  9. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mwanza kutamu asikwambie mtu

    Dahh sijui nianzie wapi...ila naomba kwanza nianze kwa kuwasalimia. Basi bwana .... Nimegundua kwamba nilikuwa nakosa vingi kwa kutokupajua mwanza.....yani ukiondoa dar es salaam naweza kusema mkoa unaofwata kwa uzuri ni Mwanza...(ni maoni yangu). Najua mtasema Arusha. Arusha pia nimeishi ila...
  10. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tabia ya ajabu niliyojifunza kwa wanawake wa Mwanza

    Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui umuhimu wa simu, demu ukimuomba namba hakatai ila sasa ujue utapiga sana simu hutapokelewa. Mbinu...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makada 19 wa CHADEMA waachiwa huru Mwanza

    Viongozi na wanachama 19 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walioshtakiwa kwa madai ya kufanya fujo wakati wa ibada katika Kanisa Katoliki Parokia ya Kawekamo Jijini Mwanza wameachiwa huru. Wana CHADEMA hao wameachiwa huru leo Jumatano Juni Mosi, 2022 na Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  12. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Mwanza: San LG kwa milioni 1 tu nauzia shida za dunia

    Haina shida yoyote kabisa. cc 150 gia 5. Mtaa wa Kilimo A, Igoma. Milioni 1, price fixed 0713096076
  13. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Igoma Mwanza: Kwa milioni 1 tu, unapata San LG 125

    SAN LG 125 GIA 5 IPO MWANZA IGOMA HAINA SHIDA YOYOTE MILIONI 1 TU 0713096076
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

    Taarifa 132 zimepokelewa na TAKUKURU Mkoani Mwanza kati ya Januari - Machi 2022, na 89 zinahusu vitendo vya Rushwa huku 43 zikiwa hazihusiani na Rushwa Kwa taarifa 89 za Rushwa, Majalada ya uchunguzi yalifunguliwa ambapo Uchunguzi wa Majalada 22 uchunguzi wake umekamilika, na 67 uchunguzi bado...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Watoto waliofanyiwa ukatili wa Kingono na baba yao mzazi, mmoja asema "NATAMANI BABA AFE"

    Bashiru Abdallah Mkazi wa Buswelu Jijini Mwanza anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwafanyia ukatili wa kingono watoto wake wanne, ambao inadaiwa amekuwa akiwafanyia kwa miaka kadhaa sasa. Mtuhumiwa alishikiliwa baada ya wananchi kutoa taarifa kwa Taasisi ya Nitetee (NITETEE...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Tunawaomba DIT waweke tawi lao hapa Mwanza kwa ajili ya kujaza gesi kwenye magari yetu

    Gharama ya mafuta ya magari ni ghali sana kwa hivi sasa na nimesikia kuwa DIT wana utaalamu wa kukarabati magari na kuyawekea gesi asilimia ili itumike badala ya mafuta ya diezeli na petroli. Nimesikia utaratibu huu tayari umeanza kule Dar es Salaam na hivyo na sisi wananchi wa Mwanza tunaomba...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Nguvu ya Umma yalidhibiti Jeshi la Polisi kuzuia fulana za Katiba Mpya Uwanjani

    Jeshi la Polisi leo limeshindwa kwa mara nyingine tena kuwazuia wananchi waliovalia fulana nzuri zenye neno Muhimu la KATIBA MPYA waliotaka kuingia uwanjani kujionea mchezo wa soka wa Yanga na Simba. Haijulikani kilikotokea Jeshi hilo kuzuia wananchi wenye fulana za Katiba mpya kuingia...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Ukivaa nguo ya CHADEMA au yenye Maandishi "Katiba Mpya" huruhusiwi kuangalia mpira wa Simba na Yanga

    Polisi wamepiga marufuku Wafuasi wa Chadema kuingia CCM Kirumba kuangalia mpira wa Simba na Yanga. Wameambiwa Wavue nguo zilizoandikwa KATIBA MPYA au Wasiingie Uwanjani Viongozi wa BAVICHA wakiongea na Polisi Tanzania ili Wawaruhusu Wafuasi wa Chadema waungie uwanjani. Polisi bado wamedinda...
  19. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kudadeki Simba wametuwahi, mvua inanyesha mida hii

    Mikia noma tayari wametutime, mvua sijui hata imetokea wapi. Wazee wetu wameshindwa kabisa kuleta jua. Lakini hamna namna lazima mikia wafungwe hata kama ikinyesha ya mawe.
  20. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond yupo Mwanza leo; watu wote wa jiji la Mwanza wana furaha...

    Msanii namba moja Africa, Diamond Platnumz aka Simba anapiga expensive show ndani ya Mwanza leo. Basi watu wote ndani ya Mwanza wamejawa na furaha. Kama una ndugu au jamaa yupo Mwanza mpigie simu atakupa majibu ya balaa la Diamond ni mji umesimama.
Back
Top Bottom