mwanza

  1. Ramon Abbas

    Plot4Sale Karibu Galilaya nikuuzie kiwanja. 10Kms from Mwanza city centre

    Karibu sana Kiwanja kiko Jijini Mwanza. Kata: Muhandu wilaya: Nyamagana mtaa: Galilaya kiwanja kimepimwa, beacon tayari zishawekwa ukubwa wake ni 28 by 18 hatua za miguu. Miundombinu yote ipo kiwanjani. Kiko Barabarani kabisa. Bei ni 10million Tshs karibu tuwasiliane 0713096076
  2. beth

    Tanzania kupokea dozi 500,000 za chanjo ya Pfizer

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Tanzania inatarajia kupokea Dozi 500,000 za Chanjo dhidi ya COVID19 ya Pfizer kupitia Mpango wa COVAX. Imeelezwa, Dozi hizo zitachanjwa mara mbili Akitoa Taarifa ya Wiki Jijini Mwanza amesema, "Hizi Pfizer ni sehemu ya Chanjo Dozi 3,700,000 ambazo...
  3. Planet Open School

    Mwalimu wa Accountancy na Commerce anahitajika Mwanza

    Shule hulia ya Planet inahitaji mwalimu wa kufundisha masomo ya Accountancy na Commerce kwa level ya O-level na A-level. Plaet inapatikana jijini Mwanza karibu na Nyanza shule ya msingi barabara ya Balewa mtaa wa Nera. Kwa mawasiliano zaidi: 0737-988 897 au e-mail: planetopenschool2@gmail.com...
  4. Bugududu Sududu

    Tunahitaji taa za Barabara ya Makongoro kuelekea Airport Mwanza

    Habarini wana jamvi, Ujumbe kwa mkuu wa mkoa wa mwanza,mkurugenzi wa jiji pamoja na uongozi wote wa mkoa,Tatueni kero hii ya ukosekanaji wa mataa katika barabara ya makongoro kuelekea Airport awali kabla ya upanuzi barabara hii ilikuwa na taa baadhi ya sehemu. Serikali ilipoa amua kuifanyia...
  5. twende wote

    TARURA Mwanza, Daraja la Mwasonge lilikabidhiwa kwenu na mkaridhika?

    Nimebahatika kupita barabara moja inatoka buhongwa Kuna daraja nimeuliza linaitwa MWASONGE, bridge. Swali langu ni je Hilo daraja lilikabidhiwa kwa TARURA? Thamani ya pesa iliyotumika iko sahihi? Jamani kuweni na huruma na Kodi za wananchi, daraja mvua ikinyesha inayonyesha ya maana hakuna...
  6. Kurunzi

    Kama wewe unayo Degree na hauna ajira chukuwa vyeti vyako kamuone Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Chap kwa Haraka

    Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
  7. ARMs

    Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza acha ukiritimba wa kutosaini mafaili ya watumishi

    Habari ndugu wajumbe? Mkurugenzi wa jiji la Mwanza amekuwa ni kikwazo kuweza kupitisha malipo ya watumishi wa umma wa jiji la mwanza. Katika kufuatilia suala la malipo haya nilikuwa najua kuwa kikwazo ni wahasibu lakini ndugu zangu wajumbe Mkurugenzi huyu ni kikwazo sana maana hataki kusaini...
  8. Ramon Abbas

    INAUZWA Bajaj ya Abiria Inauzwa, Jijini Mwanza

    Bajaj Hii inauzwa. Bajaj inafanya kazi vizuri haina Shida yoyote. Haina tatizo lolote la kiufundi Haidaiwi. Engine nzima kabisa. Karibu Kijereshi, Ukague mzigo Bei: 5million mawasiliano: 0713096076
  9. Benno Bongo

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Mwanza

    Kiwanja kinauzwa Mwanza karibu na Dolphin Lodge. Note: hizi picha ni za zamani kidogo sasa hivi majirani wamejenga. Kwa mawasiliano zaidi pamoja na kuuliza maswali ili kujiridhisha piga simu namba 0753155934
  10. Nyanswe Nsame

    Shilingi Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza,wanaolipwa CD, DC na wenzao

    Milioni 251 zatengwa kulipana posho kuondoa machinga Jiji la Mwanza. Wanaolipwa CD, DC na wenzao KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida jiji la Mwanza limetenga Sh. milioni 251 kwa ajili ya kulipana posho watumishi wake kwa siku 10 ili kusimamia zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo maarufu...
  11. T

    Pato la kila Mkoa: Dar es Salaam yazidi kuongoza ikifuatiwa na Mwanza, Njombe na Katavi zashika mkia

    Ofisi ya taifa ya takwimu imetoa pato la kila mkoa nchini Tanzania, mkoa wa Dar es salaam wazidi kuongoza ukifuatiwa na Mwanza. Mikoa ya Katavi na Njombe imeshika mkia kwa kua na pato dogo sana ukilinganisha na mikoa mingine. Kwenye kumi bora kanda ya ziwa imeingiza mikoa 3, Mwanza, Shinyanga...
  12. MSAGA SUMU

    Baada ya mauaji ya ajabu kutokea Kangaye Mwanza, sasa wananchi kufunga siku tatu mfululizo

    Baada ya watu watatu kufariki wakati wa mazishi na hivyo kusababisha misiba kufika minne, wakazi wa Kangaye Mwanza wameamua kufunga kwa siku tatu mfululizo kuomboleza misiba hiyo pamoja na kuombea amani katika eneo lao. Itakumbukwa siku sio nyingi wakati mazishi yakiendeleaa, mtu mmoja alitoa...
  13. Grand Canyon

    Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  14. Suley2019

    Sengerema, Mwanza: Fisi ajeruhi wawili wakiteka maji

    Watu wawili wamejeruhiwa na fisi sehemu mbalimbali za miili yao katika Kijiji cha Nyamabano, Halmashauri ya Buchosa Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza wakati wakiteka maji kwenye lambo. Akizungumza na mwandishi wa habari hizi leo Oktoba 4, Ofisa Mtendaji kijiji hicho, Mathias Njoluli amesema...
  15. M

    Anahitajika: Supplier wa Samaki(awe Mwanza)

    Wadau, Nahitaji Supplier wa uhakika wa samaki wabichi (Sato na Sangara) kutoka Mwanza kwa bei ya Jumla. Anaitajika awe Mwanza na aweze kituma mzigo Dar es salaam. Karibuni.
  16. vnn

    Inadaiwa kuanzia Jumatatu hatakiwi kuonekana machinga yeyote mjini Mwanza

    Leo wamepitisha matangazo jijini Mwanza kwamba kwanzia jumatatu hawataki kuona machinga yoyote mjini, lakini hatujui wanataka watuone wapi, wanaotangaza haya wao ni watumishi wa serikali wanatembelea magari, kipato chao ni serikalini, Sisi kipato chetu ni mtaani kwanini mtufukuze? Tukale...
  17. Waterbender

    kiwanja kinaitajika mwanza

    Habari za sahizi. Kuna jirani yangu anahitaji kiwanja jijini mwanza kisiwe cha milimani.
  18. Edsger wybe Dijkstra

    Internet service provider mkoani Mwanza

    Habari zenu wanajukwaa, naulizia kwa anayefahamu internet service provider anayepatikana jijini Mwanza, nahitaji huduma ya internet iwe ni ya point to point au fiber connection. Internet iwe yenye kasi ya kutosha angalau 10Mbps na kuendelea.
  19. Entim

    Msaada: Nataka kuanza biashara ya miti ya mbao na Mrunda Njombe na Buchosa (Mwanza)

    Wakuu, miaka 6 hadi 5 familia yangu enzi za uhai wa mzazi wetu tulikuwa na biashara Mkoani Mtwara, mtaji ulikuwa annual turnover around 0.78 billion. Baadaye tuligawagana mirathi na kila mmoja anawaza biashara zake. Binafsi ninapenda kuwekeza kwenye kilimo cha miti ya mbao maeneo haya; 1...
  20. nover

    Maduka ya jumla ya vifaa vya umeme kwa mkoa wa Mwanza

    Habari wadau. Nategemea kufungua kibanda cha kuuza vifaa vya umeme maeneo ya Mkuyuni Mwanza hivi karibuni. Kwa mnaojua machimbo ya kupata mzigo wa uhakika kwa bei nafuu naombeni msaada wenu. Asante.
Back
Top Bottom