Ajali za magari ya serikali sasa zimekithiri.
Watu wanakufa kama kuku na makosa yanalundikwa kwa dereva tu.
Sasa inabidi iwepo uwajibikaji kisiasa kwa makosa ambayo inaelekea usimamizi wa sheria na kanuni za barabarani ni hafifu.
Kuua kwa mpigo watu 14 hawezi laumiwa dereva peke yake.
Mkuu wa...
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya waandishi wa habari iliyokuwa kwenye msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza (RC), Robert Gabriel kugongana na gari ya abiria Hiace katika eneo la Nyamikoma wilaya ya Busega Mkoani Simiyu.
Mkuu wa Wilaya ya Busega (DC), Gabriel Zakaria amethibitisha kutokea...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae kukabidhi crown very soon akiwemo mbabe Mwanza ambaye so far bado anahold title la jiji kubwa after...
Msaada , nataka kwenda Nairobi kutokea Buzuruga stendi.
Maswali yangu ni
Lipi basi zuri?
Nauli kiasi gani?
Safari ni masaa mangapi?
Vipi kuhusu chanjo mpakani?
Nk.
Natanguliza shukrani
Ndege mwenyewe ni huyu, usije ukajaribu kum suicide kivyovyote vile.
serikali inamlinda sana.
Most welcome Jijini Mwanza, Jiji Kubwa sana na lenye heshima kubwa Tanzania baada ya Dar es salaam.
Hiki ni kiwanja cha kujenga Hostel za wanafunzi kinauzwa.
UKUBWA
1. UREFU 28
2. UPANA 25
Kiwanja kipo Mwanza maeneo ya kisesa karibu sana na Chuo kikuu cha Mipango na Maendeleo vijijini-MWANZA.
NB: Mawe yapo around hautahtajika kutafuta gari kwa ajili ya kazi hiyo
BEI TSH. 3,300,000/=...
Kila ikifika asubuhi wanakata Umeme na kuurudisha jioni kwa siku ya 4 mfululizo TANESCO hata kama ni mgao ni mgao gani wa hovyo hivi?
Hili shirika ni la hovyo sana
Wafanya kazi wa usafi wa vyumba wanatakiwa kwenye Hoteli ya Lahe.Maombi kuanzia tarehe 21.12.2021 hadi 15.1.2022. Tafadhali omba kwa namba 0754290084 au 0655290084.
Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
Nimefika Mwanza jioni hii nikitokea Arusha. Kwa wale wenyeji wa hili jiji la miamba ni sehemu gani nzuri naweza kwenda kupata moja moto moja baridi na totozi nzuri za kutosha?
Kiwanja kinauzwa Igoma mwanza.
size ni 30*25 ft
kipo mtaa wa kilimo A, Igoma jijini Mwanza.
Umeme upo kiwanjani, maji yapo hapo pia.
Kiwanja ni kizuri sana njoo uone kwa macho.
Bei 6 million
mawasiliano 0713096076
0713096076
Najiandaa kwenda airport Dar kumpokea mgeni wangu napigiwa simu sasa hivi ndege iliyokuwa iwalete Dar imeanguka ziwa Victoria, uokowaji unaendelea.
Mwenye taarifa zaidi tujurishane maana Jiji zima la Dar na Zanzibar halina umeme.
=====
UPDATE
======
Ndege za Air Tanzania ziko salama hakuna...
Nauza gari, ni min bus yenye usajili wa number C. Aina ya LDV convoy. Gari ipo mwanza kwimba. Linahitaji marekebisho kadhaa na halijatumika muda mrefu. Bei ni 4.7M (mazungumzo yapo).
Kwa mawasiliano na maswali zaidi piga 0769917961. Asante
Kiwanja kinauzwa IGOMA
mtaa wa kilimo msikitini
SIZE YAKE NI HATUA 33*33
Kimepimwa (beacon zimewekwa)
Maji, umeme, barabara vipo tena uhakika muda wote.
kutoka kiwanjani kwenda igoma senta dakika 5-10 tu kwa pikipiki/gari. kwenda machinjioni/kijereshi ni dakika 3-5 kwa boda.
BEI NI 15 mil...
Kwanza nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo ni tunasherehekea miaka 60 ya kumbu kumbu ya uhuru wetu. Kwa masikitiko Mhe. Waziri hapa Mwanza maeneo ya Mwananchi tuna siku ya tatu hakuna tone la maji bila hata MWAUWASA kutoa taarifa.
Nimesikia likisemwa kuwa wewe ni kati...
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
Tunahitaji walimu wa Physics, Chemistry, Biology, History, Kiswahili, Language,Adv Mathematics, Commerce, Accountancy kwa A level na O-level amabao wapo mkoa wa mwanza kwa kazi ya kufundisha part time.
Tuwasiliane pm kama upo tayari.
Mwanza mida ya saa 1&2 usiku mgambo waliingia katka soko la Mbugani walikohamishiwa machinga na akina mama wauza mbogamboga na samaki, na kuwapiga waliokuwa wamepanga mbogamboga pamoja na samaki, na kupigwa pamoja na kumwagiwa bihashara zao pamoja na kunyanganywa samaka.
Katika tukio ilo wawil...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.