mwanza

  1. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Polisi na mahabusu wapoteza maisha ajalini Mwanza

    Watu wanne wakiwemo askari polisi wawili na mahabusu wawili - waliokuwa wakituhumiwa kwa makosa ya kujihusisha na vitendo vya kigaidi pamoja na mauaji, wamepoteza maisha kwa ajali ya gari iliyotokea jana Jumatano jioni Aprili 27, 2022 katika Kijiji cha Ibanda barabara ya Geita-Sengerema...
  2. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Shabiby, baadhi yetu tunazipenda huduma za magari yenu, kwanini hamna route ya Dar/Dom - Mwanza? Hamtutendei haki

    Wakuu bila kupoteza muda. Kama mnavyojua, gharama za ndege, miaka michache hapo nyuma zilipanda kwa speed ya mwendokasi. Basi kama ujuavyo sisi wazee wa uchumi wa kuunga unga tunakuwa hatuna option nyingine zaidi ya kupanda ma-bus. Nipo hapa nafanya plan yangu ya safari zangu za Dar - Mbeya...
  3. Ibrahim daud

    JamiiForums Tanzania Mfamasia wa kike nipo Mwanza, natafuta kazi

    Habari JF, NAITWA ZAMDA IBRAHIM. Nina diploma ya pharmacy, Bugando College. Naishi mwanza Any chances pls, Available 24hrs PM ME
  4. comte

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa RC Mwanza na Viongozi wa jiji la Mwanza juu ya Mgambo ni uonevu na kukosa msimamo

    Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji. Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mgambo Waliowapora Machinga ndizi wasimamishwa, Waziri aingilia, Halmashauri yaomba radhi

    Kufuatia Video iliyosambaa mitandaoni ikionyesha Mjasiriamali mdogo wa ndizi akichukuliwa bidhaa zake na mgambo wa Halmashauri ya Mwanza, kuna matamko kadhaa yametolewa, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa WAZIRI AAGIZA MKUU WA MKOA AINGILIA "Nimeona video inayosambaa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa halmashauri, DC na RC Tanga na Mwanza kupangiwa kazi nyingine?

    Tumeona Mhe. Waziri akionyeshwa temporary houses zisizoendana na Bei Lakini pia tumeona mateso ya machinga Mwanza. Handeni na Mwanza Jiji wameonyesha Haina ya viongozi tulionao wasiowajibika Hadi wawajibishwe. Je kuwatumbua ni adhabu tosha kwao?
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Polisi wawaambia Bodaboda "acheni kudanganya wanafunzi kwa chipsi"

    Mwenyekiti wa Umoja wa Waendesha Pikipiki Kanda ya Mjini Kati, Ramadhan Jacobo amewaasa waendesha pikipiki wenzake kujiepusha na tabia ya kutongoza pamoja na kujihusisha na mapenzi na wateja wao. “Asilimia tisini ya abiria tunaowabeba na wanaotulipa fedha ni wadada, na nyie ni mashahidi...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Walimu 250 waandamana kudai malipo ya kazi ya anwani za makazi

    Walimu 250 kutoka Wilaya ya Nyamagana mkoani Mwanza wameandamana hadi ofisi za Halmashauri ya Jiji la Mwanza kudai posho zao za kazi ya kuweka alama za anwani za makazi waliyoifanya kwa siku tano. Watumishi hao waliandamana jioni ya Aprili 8, 2022 ambapo malipo hayo ni Sh 100,000 kwa siku tano...
  9. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wanafunzi watoro Shule za Msingi (19,133), Sekondari (7,594)

    Serikali Jijini Mwanza inatarajia kuanza zoezi la kuwaondoa watoto wanaoishi mitaani ambao wamekithiri hususani katikati ya Jiji kuhakikisha wanarejea katika familia zao na kupata haki yao ya msingi ya kurejea shule. Zaidi ya asilimia 90 ya watoto walio mitaani Jijini Mwanza wana umri wa kwenda...
  10. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza jiji: wanafunzi wa shule ya Msingi Kasota wakipata Elimu chini ya Miti

    Wakuu Kwa mujibu wa Mkuu wa Shule hii, Hii Shule ina madarasa ambayo hayakidhi mahitaji kabisa. Shule iko katika manispaa ya jiji la Mwanza, ina eneo kubwa tu ambalo wangeweza kuongeza madarasa matatu ama manne kabisa ambayo yangekidhi mahitaji ya shule.
  11. Ndebile

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Usalama Barabarani Jiji Mwanza chukua Tahadhali Mapema

    Hizi gari ndogo za abiria aina ya Toyota Hiace za njia ya Mwaloni - Shibula kupitia Kiseke PPF ni hatari na zitamaliza watu....mwendo Kasi, madereva na kondakta wote wanakuwa wamelewa kuanzia asubuhi, gari ni mbovu Sana (ni Hiace mbili tu zenye unafuu) njia hii hakuna trafiki hata mmoja...
  12. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Mchele mzuri sana unauzwa

    Mchele huu ni wa Daraja la kwanza kabisa. Hauna Chuya Hauna Punje za mchanga hauna chenga unapatikana kwa ubora wa hali ya juu sana Bei yetu ni 2200 Tsh kwa Kilo Tunauza kuanzia Tani 1 na usafiri juu yetu. Tupo Mwanza Mkuyuni 0713096076
  13. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mizigo Mwanza - Dodoma

    Wakuu habari. Nina Shida ya usafiri wa mizigo yangu kidogo pamoja na mimi mwenyewe kutoka Mwanza kwenda Dodoma. Nikipata gari ya mizigo inayoenda Dodoma nitashukuru. Naomba connection
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jijini Mwanza: Mfalme zuma anauza pikipiki yake King Lion 1,800,000

    Pikipiki ni King Lion Cc 150 Gia 5 ametembea mwaka mmoja Hana shida yoyote njoo na hela yako tu Engine nzima kabisa 1,800,000 Nipo Nae machinjioni hapa 0713096076
  15. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mwanza: Watu watoa shukrani zao kujumuishwa kwenye FOA World Tour ya Diamond Platnumz

    Baada ya msanii namba moja Africa Diamond Platnumz kutoa part one ya FOA WORLD TOUR na kujumuisha mkoa wa Mwanza, watu mbalimbali wamejitokeza na kutoa shukrani kwa heshima aliyowapa watu wa Mwanza. Nimetoka Mwanza hivi juzi kila kona kuanzia Bwiru, Ilemela, Igoma, Nyegezi na maeneo yote...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Nuru ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani yaelezwa Mwanza

    Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka Mmoja. Katika Kongamano lililofanyika leo Jumamosi 26 Machi 2022 na Seneti ya Vyuo na vyuo vikuu Kuu...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wanavyuo Mwanza watoa kongole kwa Rais Samia

    WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka...
  18. B

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki used TVS 125 Gia 4 Kwa 1.3m

    TVS hio. Cc 125 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.3mil. Iko Nyakato Mwanza Piga 0623865841 tuongee biashara.
  19. alaksh natena

    JamiiForums Tanzania Kufariki kwa mwanafunzi wa Kidato cha Nne Thaqaafa Sec Mwanza usiku wa kuamkia tarehe 20/03/2022, uzembe wa shule hii umulikwe

    Kichwa cha habari hapo juu chahusika. Mimi ni mzazi ambaye watoto wangu kadhaa wanasoma shule tajwa iliyopo jijini Mwanza. Kwa huzuni kubwa naandika ujumbe huu kulaumu uongozi wa ThaqaafseSec kwa uzembe ambao umekuwa ukitokea mara kwa mara watoto wakiumwa nyakati za usiku kwa wale wa bweni...
  20. danmarc

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza pata usafiri wa fuso za kubeba mizigo yangu kutoka Singida hadi Mwanza, baada ya kuhamishwa kikazi

    Habari nimehamishwa KIKAZI kutoka mkoa wa singida kwenda mwanza , na ninauhitaj kuhama na vitu vyangu vyote kama meza ,vitanda ,sofa , TV ,friji NK , Naomba kujua Kwa wenyeji wa singida Mjini wapi naweza nikapata ma FUSO yatakayonibebea hivi vitu vyote Kwa pamoja kutoka hapo singida Hadi mwanza
Back
Top Bottom