Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.
Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.
Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.
Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila...
Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu .
Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza.
Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko.
Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi.
Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023.
Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha.
Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥.
This time around nitatamani kuona vivutio...
Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake.
Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri,
Kwanza kabisa mimi na raia mwema na sina nia ya kukwepa ushuru wa tarura tena ukizangitia fees zao ni ndogo sana kwa sasa (reasonable).
Niendelee, leo nimeangalia ushuru wa maegesho kwenye website ya TARURA nakukuta nadaiwa nilipoangalia maelezo ya Tiketi...
Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa.
Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi".
Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza
(kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara)
Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa pikipiki
Miguu kumi kwa kumi tu
Bei laki 4. Dalali nipe 50k
umeme upo tayari
barabara kuu ipo...
Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu?
Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo.
Hayati Magufuli kwa...
daraja
hayati magufuli
january
january makamba
jina
jpm
magufuli
makamba
mradi
mshauri
mstaafu
mwanza
mwinyi
rais
rais samia
sababu
samia
ufisadi
wenyewe
Hii kampasi majanga yanazidi kuongezeka na wahusika msipo chukua hatua hamtutendei haki wanafunzi.
Leo jumapili sisi wanafunzi wa BIRM 3 tukiwa tunafanya mtihani wa strategic management lecture 7, tukiwa dakika za mwishoni ghafla aliingia mfanyakazi wa computer lab Mr Swai huku kashika remote...
Mchezo umemalizika
Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama
GOOOOOOOOOOOOOOOOO
85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo
Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake
75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
74' Geita...
Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia.
BAADHI YA KERO:
1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA
Kwa muda sasa, kampasi hii imepoteza mwelekeo. Tupo wanafunzi zaidi ya 1000 hapa Mwanza na tunalipa ada isio pungua milioni moja...
Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.