Nimecheka sana ITV karne hii kuna watu hawajui Kiswahili.
Karani wa sensa amekuwa katika wakati mgumu leo kuelewana na mwananchi.
Kila akiulizwa anajibu nahene jawiza mayo. Hapo ni Kisesa, ndani ya manispaa kabisa; nauli 600 kwenda mjini, sio kijijini.
Habari zenu?
nauza nyumba yenye kiwanja cha ukubwa 25 kwa 20
Nyumba ni ya Chumba na Sebule
Ipo kishili (mtaa wa chadema) bei ni milioni 4
kwa mawasiliano zaidi nipigie kwa 0767-733-555
KISA CHA YUSUF ATHUMANI MARSHA, PETER MBWIMBO NA JULIUS NYERERE MWANZA 1950s
Tuanze na Peter Mbwimbo.
Peter Mbwimbo ameandika kitabu, ''Peter D. M. Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere.''
Wakati TANU inaundwa na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika zinaanza Peter Mbwimbo alikuwa katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency.
Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika.
Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
Kwa wengi msioifahamu Mwanza jiji ( Mwanza city) au The Rock City , ni jiji la pili Tanzania baada ya jiji la Dar es salaam.
Jiji hili lilipewa hadhi ya kuwa Manispaa mwaka 1978 na mwaka 2002 tarehe 07 mwezi wa 07 likapandishwa hadhi ya kuwa jiji la Mwanza , lenye wilaya mbili za Ilemela na...
Nahitaji kujua wanakopatikana samaki aina ya kibua au samaki wengine wa baharini mkoani Mwanza, daktari amependekeza nitumie mboga hiyo kuimarisha afya.
Tafadhali kama unajua wanakopatikana tusaidiane
Rais Samia amemwambia RC Chalamila kuwa yeye ni mfanyakazi mzuri sana ila ni mtundu mno.
Amesema alimuacha kipindi kilichopita ila anaamini sasa amekua, akili imekua anamuomba aende akakue, amesema asidhani kupata nafasi ndio kamaliza, anamfuatilia kwa karibu sana.
Wadau wa Kilimo na wenyeji wa kanda ya ziwa Mwanza n.k.
Nataka kulima Karanga na muhugo sehemu gani nzuri kwa mazao haya iwe ndani ya mkoa wa Mwanza au jirani na mkoa wa Mwanza.
Pia sehemu ambayo taweza kulima mahindi angalau mara mbili kwa msimu mmoja.
Moja kwa moja kwenye mada,
Site tunatambua kwamba Makao Makuu ya Nchi na Serikali ni Dodoma ambapo ndipo kunapaswa kujengwa Makao Makuu ya taasisi zote za Kiserikali ikiwemo Ikulu.
Kwamba toka Jobo Ndugai ametolewa kwenye kiti Dodoma imekosa msemaji wake au?
Swali nani katoa ruhusa kwa TFS na...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema jitihada zinafanyika ili kurejesha huduma ya maji kwa wakazi wa Jiji la Mwanza wanaoishi katika maeneo ya miinuko baada ya mtambo wa Mabatini kupata hitilafu.
Waziri Aweso ameyasema hayo, Julai 22, 2022 baada ya kutembelea kituo cha uzalishaji maji Mabatini...
Wote tunafahamu jinsi gharama ya mafuta ya dizeli, petroli na ya taa yalivyo ghali.
Njia pekee ya kushusha gharama hizi ni kuanza kutumia gesi asilia kujaza kwenye magari yetu na hivyo tunaiomba DIT ifungue tawi hapo Mwanza ili wananchi wanaopenda kutumia gesi kwenye magari yao wapate huduma...
Miezi minne tangu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel aagize wanawake, vijana na wenye ulemavu waliotokomea na Shilingi bilioni 4.9 za mikopo ya halmashauri kuzirejesha tayari shiingi bilioni 1.45 zimerejeshwa na vikundi hivyo.
Gabriel alitoa agizo hilo Aprili 25 mwaka huu huku akisema Sh4.9...
SERIKALI imevitilia shaka baadhi ya vyuo vikuu ikisema vinatumia vibaya muundo wa wastani wa alama katika ufaulu (GPA) ili vipate wanafunzi wengi.
-
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda alisema hayo kwenye sherehe za siku ya Chuo Kikuu cha Iringa (IUCo) zilizohusisha...
Ulivyo Soma ni sahihi kabisa wala hujakosea. Ndo habari ya mjini, zile nyumba zote zilizopo kwenye mountain inabidi zitoke jamaa wa Brazil aje ajenge na Familia yake.
Habari wakuu,
Nimetembea majiji mbalimbali esp. DSM, Arusha, Mbeya, Tanga na Mwanza ila Mwanza magari aina ya Kluger ni mengi sana na Arusha kidogo halafu wachina pia wanayatumia. Siri ya kutumia magari haya ni ipi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.