mwanza

  1. Nyuki Mdogo

    Mwanza: Nauza PS4

    PS 4 fat gb 500 zipo Gem 7. FIFA 2022 WRC7 Pes2021 Mortal 11 combart God of wall Need for speed heat Gta5 Pad 2 hazina kipengere Fika anza kucheza kabla hujalipia Price Tag read: 590,000 net ziite: 0713096076
  2. Kalebejo

    Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu Kivuko cha Kamanga

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Natumaini u buheri wa afya.Kwanza nakupongeza sana Rais wangu Mhe.Samia Suluhu Hassan kwa jitihada unazozifanya katika kuwaletea wananchi maendeleo,kwa kutafuta pesa nje na ndani ya nchi yetu Hongera sanaa kwa hatua hii nchi yetu inaendelea kupiga hatua za...
  3. Roving Journalist

    Mwanza: Mwenyekiti wa CCM, Diwani, Afisa Mtendaji washikiliwa kwa tuhuma za mauaji kisa wizi wa mihogo

    David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo...
  4. aka2030

    Arusha na Mwanza watu wana hela ila hakuna tajiri

    Japo na kujitapa sana hii mikoa watu wanahela ila matajiri hamna Uhakika ukisema orodha ya matajiri kuanzia namba 1 mpaka 50 wote watatoka DSM
  5. JanguKamaJangu

    Geita: Wanawake wadai kubakwa na mwanaume usiku kishirikina

    Wananchi wa Kijiji cha Bugando, Kata ya Nzera, wilayani Geita mkoani humo, wameiomba serikali ichunguze na kumtafuta mtu anayewaingilia usiku wananchi kwenye nyumba zao na kuwabaka hali inayopelekea kuishi kwa mashaka na kuhataraisha afya zao. Waathirika wa tukio hilo wanasema mtu huyo amekuwa...
  6. Shadow7

    Mvua inayoendelea kunyesha huko Mwanza ni hatari

    Mvua kubwa inayoendelea kunyesha hapo ni hatari kwa mazao na mazingira kiujumla
  7. Z

    Mwalimu wa PCB pre form one anatafutwa. Mwanza mkolani

    Uwe na uwezo wa kufundishaa yote matatu pre form one. Npigie kweny number 0683669735
  8. Mkongwe Mzoefu

    CCM Mwanza na Mkakati wa Kumpa Makonda Uenyekiti (M) ni Aibu ya Karne

    Hii ni aibu kubwa. Eti CCM mkoa Mwanza kuna mkakati unafanywa wakisaidiwa na wapambe toka HQ kuhakikisha uchaguzi wa mwenyekiti wa mkoa anakuwa Makonda iwe isiwe kwani eti yuko karibu na mama jambo ambalo sio kweli na mama mwenyekiti taifa hawezi kuagiza mtu kama Makonda mwenye kashfa kibao kama...
  9. BARD AI

    Mwanza: Wanafunzi 70 kati 130 wakwama kumaliza kidato cha 4 kisa mimba za utotoni

    Wanafunzi hao ni kati ya 130 walioanza kidato cha kwanza mwaka 2019 kutoka Shule ya Sekondari Kishinda wilayani Sengerema ambao wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu hizo. Baada ya kupokea taarifa ya shule wakati wa Mahafali, Diwani wa Kishinda, Shokolo Vicent ametoa maagizo kwa...
  10. Nyanswe Nsame

    DOKEZO Walimu Walala ofisi ya Mkurugenzi Buchosa Mwanza, wakishinikiza malipo

    Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili. Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara walimu. Hao katika video ni walimu wa shule za sekondari halmashauri ya Buchosa mkoani Mwanza...
  11. Z

    Mwalimu wa English pre form one anatafutwa. Mwanza mkolani

    Mwalimu wa English pre form one anatafutwa. Piga namba 0683669735
  12. X

    Bingo Natafuta kazi yoyote halali, Ndani Ya mkoa wa Mwanza

    Habari wana jamii forum, Mimi Binti, Elimu yangu ni kidato cha 4. Natafuta kazi yoyote halali ndani Ya mkoa wa Mwanza . Nipo tayari kufanya kazi pia katika (kazi za ndani, viwandani na kuuza duka, na stationary ). Naombeni msaada kwenu tafadhari. Mwenye connection yoyote aje DM.
  13. MSAGA SUMU

    Watu wengi wa Dar huwa wanajua huku Mwanza ukiwa na buku unapata ndoo ya samaki

    Watu wengi hapo mjini Dar huwa wanadhani huku Mwanza samaki ni bei rahisi, yaani wanafikiri ukiwa na buku unabeba mzigo wa kutosha kumbe wapi. Mtu akisikia unaenda Dar ukitokea Mwanza kila mtu utasikia anasema niletee samaki. Jitahidini kabla ya kuagiza kuletewa samaki mtume na hela ya...
  14. aka2030

    Tulioishi Mwanza miaka ya 1990 mpaka 2000 tukutane hapa tujikumbushe

    Miaka ile Mwanza ilikuwa na raha zake Beach lazima uende tunza beach ndio ya kishua. Club zilikuwa deluxe na capricabana ndio za kishua hasa ambapo unakutana na kina dj cutter kidboy huku watoto wa kiswazi wakikutana pale magnum. Tape music za nje tulikuwa tunanunua pale boom explosion...
  15. TUJITEGEMEE

    MC wa Mwanza mpo?

    Hongereni na kongoleni MC wote wa Mwanza na vitongoji vyake vya jirani, mfano Kisesa, Magu na kwingineko kwa kazi kubwa mnayoifanya. Kwakweli kazi iendelee bila kusita. Hata hivyo, mnakumbushwa kumueleza mwalimu wenu aliyewafundisha topic ya "Kusherehesha wakati wa kutoa zawadi" kuwa...
  16. idoyo

    Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    .
  17. otembei

    Wizara ya ujenzi na uchukuzi, RC Mwanza na mamlaka ya bandari TPA wadai kutiwa mfukoni

    Kwa hiki kinachoendelea katika kupisha mradi wa Reli ya kisasa SGR kufika Bandarini ya Mwanza kinasikitisha sana Mmiliki wa Kivuko cha Kamanga Ferry kujinasibu kuwa serikali imewekwa mfukoni mwake na hatapisha mradi bali Mradi wa Reli Umpishe yeye Swali sisi wananchi tuliondolewa ,Shule...
  18. otembei

    Serikali tupieni macho usafiri wa Kamanga Ferry Mwanza

    Wizara inayoshughulikia vivuko ndani ya ziwa victoria na Serikali mkoani Mwanza tunaomba mtupie macho wananchi tutakufa. Hali ya bandari siyo rafiki kwa usafirishaji. Kwa wasafiri wa kivuko cha KAMANAGA FERRY kutoka Mwanza Kamanga na Sengerema tunatabika sana hiloeneo ni barabarani watoto...
  19. BARD AI

    Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  20. Zombie S2KIZZY

    Nauli ya treni kutoka Dar kwenda mwanza

    Wakuu habari za usiku ,naombeni mnisaidie bei ya nauli kutoka dsm mpaka mwanza n bei gani na nitatumia siku ngapi njiani
Back
Top Bottom