mwanza

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Siku tatu kabla ya Mkutano Mkubwa wa hadhara wa CHADEMA, Mwanza yote inazizima

    Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, huko Mwanza tayari "HOMA YA JIJI" imekwisha ingia, Hivi ninavyoandika hapa Jiji zima la Mwanza ni shangwe tupu lililojaa matumaini kutokana na kishindo kizito cha CHADEMA na uzinduzi kabambe wa Mikutano ya hadhara, iliyozuiliwa kidikteta kutokana na uoga wa...
  2. voicer

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu za CHADEMA kuanzia mikutano yake Mwanza

    Mwanza ni karibu na Mikoa ya Geita, Mara, Kagera, Kigoma, Simiyu, Tabora na Shinyanga kijiografia. Ni Rahisi kusafirisha wafuasi kiduchu, kutoka mikoa hiyo na wilaya zake na hatimae kuwajaza Mwanza. Pia Mwanza Chadema inawategemea wafuasi wa Ezekiah Wenje,ambao kwa ujumla hawafuati sera bali...
  3. Somaiyo

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tubuni dhambi ya kushangilia kifo cha Magufuli ndiyo mje Mwanza

    Tumewasikia na tumewaona mkitamba kwamba mnakuja Mwanza na mnaomba wa Mwanza na wana kanda ya ziwa wawapokee, hivi mnatuonaje wana Mwanza? Kweli mnaamini kwamba wana Mwanza wana vichwa vya panzi kama nyie kiasi kwamba wamesahau kwamba Chadema mkiongozwa na makamu mwenyekiti wenu Tundu Lissu na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

    Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa. Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa. Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za...
  6. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tulishapoteza mvuto na nguvu Mwanza na Kanda ya Ziwa. Kuzindua mikutano Kanda ya Mwanza haisaidii

    Nguvu tuliyokuwa tumewekeza kanda ya ziwa hasa maeneo ya Mwanza, Tarime, Geita na Chato ilishamalizika. Tulioshaonekana ni wasaliti na waganga njaa. Hatuwezi kurudisha ushawishi tena. Kunzisha mikutano ya hadhara tar 21 tukianzia Mwanza sio suruhu.
  7. chiembe

    JamiiForums Tanzania CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  8. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Serikali ipeleke BRT Dodoma & Mwanza etc

    Nimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa...
  9. D

    JamiiForums Tanzania Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania RPC Mwanza: Uhalifu ukifanyika mlinzi anakimbia

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, limedhamiria kuwapa mafunzo ya utayari walinzi wa makampuni binafsi ili kuhakikisha wanatekeleza kwa weledi shughuli zao za ulinzi na kuhakikisha wanajua namna ya kutumia silaha wanazopewa kwa ajili ya shughuli zao. Hayo yamebainishwa katika kikao maalum cha...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeweka picha hizi za MV Mwanza na kusema kuwa ndivyo hali ilivyo kufikia asubuhi ya Jumatano Januari 11, 2023:
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

    Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka. Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni. Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo. Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Mwanza: Oppo A93, ram 8Gb rom 128 Gb inauzwa

    Habari waungwana. Simu tajwa hapo juu inauzwa Ipo mabatinj Mwanza unapewa na risiti * box used for 36 weeks only 290,000 Tu 0744 033 555
  15. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  16. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  17. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  19. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

    Mji wa Mwanza umejaa washamba na malimbukeni.
  20. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Mwanza one time for new year

    Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023. Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha. Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥. This time around nitatamani kuona vivutio...
Back
Top Bottom