chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 7,581
- 15,722
Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka.
Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni.
Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo.
Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila aliyepata mafanikio kwenye biashara, ujambazi, madini, uvuvi na n.k ndoto yake kuishi mwanza tena kwa vijana wenye uchu kufanikiwa maisha.
Vijana na wazee wanapenda kumiliki toto za mwanza ila cha kuchekesha hawa wadada wa mwanza akili zao unaweza kusema msimamo wa bando na waziri.
Kila dada wa Mwanza ukimuuliza biashara gani ufanye basi asilimia 90 yote inawaza duka la nguo na iliyobaki ni vipodozi.