mwanza

  1. Kitchener

    Serikali ipeleke BRT Dodoma & Mwanza etc

    Nimetoa mikoa hiyo miwili kama mfano tu wa mikoa mingine. Mwanza na Dodoma walau ni tambarare na urahisi kidogo wa kujenga barabara unaweza kuwepo. maeneo hayo yanatakiwa yaanze kujengwa miundombinu ya kisasa mapema. vilevile, kwasababu umeme utakuwepo, sio mbaya tukajenga na trams kwenye mikoa...
  2. D

    Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

    Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja! Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana! Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo...
  3. BARD AI

    Mkurugenzi Jiji la Mwanza ashtakiwa TAMISEMI madai ya kuuza viwanja

    Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Adam Malima 'amemshtaki' mkurugenzi wa jiji hilo, Sekiete Yahya kwa Wizara ya Tamisemi ambayo ndio mamlaka yake ya nidhamu, akimtuhumu kuhusika na uuzaji wa viwanja viwili vyenye thamani ya Sh1 bilioni. Wakati barua ya mashtaka ikitua Tamisemi, Malima ameagiza watumishi...
  4. JanguKamaJangu

    RPC Mwanza: Uhalifu ukifanyika mlinzi anakimbia

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza, limedhamiria kuwapa mafunzo ya utayari walinzi wa makampuni binafsi ili kuhakikisha wanatekeleza kwa weledi shughuli zao za ulinzi na kuhakikisha wanajua namna ya kutumia silaha wanazopewa kwa ajili ya shughuli zao. Hayo yamebainishwa katika kikao maalum cha...
  5. JanguKamaJangu

    Serikali yaonesha picha matengenezo ya MV Mwanza yalipofikia leo Januari 11, 2023

    Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imeweka picha hizi za MV Mwanza na kusema kuwa ndivyo hali ilivyo kufikia asubuhi ya Jumatano Januari 11, 2023:
  6. Fbn

    Wanawake wa Mwanza mjini na maisha yao

    Kila mkoa una katabia kake na mambo yake. Mji wa Mwanza naupata vizuri ndio maana kutafuta hakuna mipaka. Hapa naeleza machache labda kwa nilliyo yadaka mimi maana sio mgeni. Wadada wa Mwanza wale pisi kali wanapenda maisha kuanzia J3 mpaka J3 pesa hipo. Kanda ya ziwa kwa jiji la Mwanza kila...
  7. Nyuki Mdogo

    Phone4Sale Mwanza: Oppo A93, ram 8Gb rom 128 Gb inauzwa

    Habari waungwana. Simu tajwa hapo juu inauzwa Ipo mabatinj Mwanza unapewa na risiti * box used for 36 weeks only 290,000 Tu 0744 033 555
  8. Orketeemi

    Toba: Naombeni wana Mwanza mnisamehe

    Kwa kweli msema kweli ni mpenzi wa Mungu . Nikiri wazi kwamba nimekuwa nikishiriki kulifananisha jiji la Mwanza na Jiji la Arusha nikisema kuwa Mwanza na Arusha ni Sawa tu na mara nyingine huwa naenda mbali hadi kusema Arusha ni jiji zuri kuliko Mwanza. Ilifikia kipindi hadi nikawa nasema...
  9. Lycaon pictus

    Watu wa Mwanza hizi rangi mnapaka kwenye nyumba huwa mnawaza nini?

    Huwa napenda kupita mtandao wa Jiji.co.tz kuangalia nyumba na vitu mbalimbali. Nimeshangazwa na rangi ya baadhi ya nyumba za Mwanza. Ukipita humo utaziona. Huwa mnawaza nini watu wa Mwanza?
  10. H

    DOKEZO Clinic ya Marie Stopes Mwanza inatoa huduma za utoaji mimba (abortion)

    Clinic ya Marie Stopes iliyoko jijini Mwanza wanajihusisha na vitendo vya utoaji mimba. Mimba zinatolewa sana hapa, hasa za wanafunzi wa vyuo vikuu maarufu vya hapa Mwanza (sitaki kuvitaja) na wake za watu waliopata mimba za michepuko. Mchezo unaofanyika ni kwamba wanawake wanaohitaji hiyo...
  11. R

    Baba atupa maiti ya kichanga jalalani

    Baba mmoja asiyefahamika ameripotiwa kutupa mwili wa mtoto mchanga jalalani kando ya Uwanja wa CCM kalangalala mjini Geita, muda mfupi baada ya kukabidhiwa kwa ajili ya mazishi. Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Geita, Inspekta Edward Lukuba amethibitisha kupokea taarifa...
  12. Mwizukulu mgikuru

    Jiji la mwanza limejaa washamba na malimbukeni

    Mji wa Mwanza umejaa washamba na malimbukeni.
  13. Nakadori

    Mwanza one time for new year

    Wakuu poleni na hongereni kwa heka heka za xmass. Pia heri ya mwaka mpya 2023. Niko njiani naelekea mwanza kwa mapumziko ya week moja then ntarudi dar es salaam kupambana na maisha. Kwakweli Mwanza imekuwa nyumba yangu ya pili....mwanza is my bae ♥. This time around nitatamani kuona vivutio...
  14. JanguKamaJangu

    Mtoto wa miaka mitatu aliwa na fisi Mwanza wakati akienda kuoga kwenye dimbwi

    Mtoto Emanuel Marco Nyagela mwenye umri wa miaka mitatu mkazi wa Kijiji cha Mwangika kata ya Mwabomba wilayani Kwimba mkoani Mwanza amefariki dunia baada ya kuliwa na fisi wakati akienda kuoga kwenye dimbwi akiwa na wenzake. Tukio hilo jana Desemba 27 saa 12 jioni kijijini hapo baada ya mtoto...
  15. Ndengaso

    Tetesi: TARURA MWANZA: Huu ni wizi, mkaliangalie hili haraka sana

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri, Kwanza kabisa mimi na raia mwema na sina nia ya kukwepa ushuru wa tarura tena ukizangitia fees zao ni ndogo sana kwa sasa (reasonable). Niendelee, leo nimeangalia ushuru wa maegesho kwenye website ya TARURA nakukuta nadaiwa nilipoangalia maelezo ya Tiketi...
  16. Jidu La Mabambasi

    Awamu ya Tano na ujenzi wa Airport Terminal Mwanza, Mkuu wa Mkoa afadhaishwa

    Kwa mtindo wa Force Account uliofanyika mahali pengi nchini, sasa upigaji mkubwa unadhihirika kwa hata viongozi wa Mikoakuchoshwa. Siyo rahisi kuyaficha hayo madudu yanayoanza kufichuka kutokana na eti "Kamati za Miradi". Airport ya Mwanza imejengwa kiholela chini ya ofisi ya Mkuu wa Mkoa, na...
  17. Nyuki Mdogo

    Mwanza: kiwanja kwa laki 4 tu

    Kiwanja hicho kiko kishili fumagila, Mwanza (kiwanja cha pili kutoka usawa wa barabara kuu ya Kishili-fumagila-bujingwa-mpaka lami ya Usagara) Fumagila ipo kishili, unafika kwa Tsh elfu 2 tu kwa pikipiki Miguu kumi kwa kumi tu Bei laki 4. Dalali nipe 50k umeme upo tayari barabara kuu ipo...
  18. chiembe

    Ufisadi awamu ya JPM: Uwanja wa ndege Mwanza ulijengwa kwa bajeti ambayo haikupita Bungeni, mabilioni yachotwa

    Huyu JPM ndiye mtu ambaye alijinasibisha na usafi,kupinga ufisadi, wakati akiwa anaila nchi bila kunawa. Ni vile tu awamu hii Wana kifua Cha kukaa kimya, msikilize Malima, RC Mwanza
  19. thetallest

    Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Ukweli lazima usemwe, kuna tatizo gani kutambua juhudi za hayati Magufuli kwenye mradi huu wa umeme (JNHP), hasa kwenye hotuba zenu? Wazo lilikuwa la Mwalimu Nyerere akashindwa, awamu zilizofuata kuanzia ya pili mpaka ya NNE, hawakuwa na habari na mradi huo, waliupa kisogo. Hayati Magufuli kwa...
  20. M

    Mwendelezo vituko IFM Mwanza Campus, TV yawashwa chumba cha mtihani

    Hii kampasi majanga yanazidi kuongezeka na wahusika msipo chukua hatua hamtutendei haki wanafunzi. Leo jumapili sisi wanafunzi wa BIRM 3 tukiwa tunafanya mtihani wa strategic management lecture 7, tukiwa dakika za mwishoni ghafla aliingia mfanyakazi wa computer lab Mr Swai huku kashika remote...
Back
Top Bottom