Car4Sale Toyota Brevis Used Inauzwa Mwanza

N sound tu mzee hakuna gar inayotumia mtori zote znatumia mafuta brevis ndio kizaz cha kina crown kama unajilpua unalimilki tu bila shida
Ahaa kumbe hadi kujilipua?
Ahsante.
Nilitamani kama inawezekana uweke average ya hyo gariunayouza specifically inatembea km ngapi kwa lita ili at least mtu unakua unajua unaenda kukutana na nini.
Na pia kama inatumia mtori uweke ni mtori wa ng'ombe au mbuzi na ni kias gan cha ndizi na nyama.
 
Kwakua ishatumika sana pigia tu 7km per liter
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom