Mwanza: Wamiliki wa baa na kumbi za starehe waandamana kuelekea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

Kayugumis

Member
Jun 6, 2022
85
63
Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango.

Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida inaelekea kutokea.

Anashinikiza na kuwaandaa watu waandamane kisaa Hotel yake ni moja ya zilizofungwa kwa kupiga kelele. Alitakiwa aweke vifaa vya kuzuia kelele kuliko kusumbua majirani.

9a6049f7-b0fd-4788-998b-08de83f0543e.jpg

5882617f-9453-45ec-bb51-4dd6c2f1a1fe.jpg

37092201-8093-4843-8c95-6053ed1792e5.jpg
a79c8fed-3a29-44de-94a4-78e4363ed894.jpg

af1920c6-5702-4240-b431-a158246ec4d8.jpg

===================​
Updates...
Wamiliki wa Hoteli na baa zaidi ya mia tatu Mwanza waandamana hadi kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakiendelea kupinga faini na sheria za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) huku wakisema hawatafungua hoteli na baa zao hadi waruhusiwe kupiga muziki.
 
Makalla kila anapokwenda anapeleka matamko yasiotekelezeka kupelekea maandamano.

Nahisi angepumzishwa katika haya mambo ya ukuu wa mkoa aachwe ndani ya chama tu.

Sasa hivi tutasikia soko limeungua huko.
 
Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango.

Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida inaelekea kutokea.

Updates...
Wamiliki wa Hoteli na baa zaidi ya mia tatu Mwanza waandamana hadi kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakiendelea kupinga faini na sheria za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) huku wakisema hawatafungua hoteli na baa zao hadi waruhusiwe kupiga muziki.
Mimi ntanunua K Vant ninywee ndani.
 
Huu utaratibu wa kila mvunja sheria kulazimisha kosa lake likubalike kwa mashinikizo ya maandamano halina mustakbali mzuri. Na viongozi wa kisiasa kutolea matamko kupingana na sheria pia sio sahihi. Vipi kama wale ambao nao wanaona kelele si sahihi wakiandamana? Kuandamana si suluhisho, suluhisho ni kutii sheria bila shuruti.
 
🤣🤣 wahudumu wa baa hao,sijaona mmiliki wa baa hapo,hata mmiliki wa the cask naye yumo hapo?,🤣sidhan

,halafu walisema watafunga baa zao,imekuwaje Sasa,hadi kufanya maandamano?
Amos makala over to you 🤣🤣🤣
Wanaandamana vijana wasio na kazi ..ukitazama Tu Sura hakuna mmiliki WA bar hata mmoja happy..
Wamelipwa kuandamaana...wanataka haki ya kupiga watu kelele
 
Maandamano ya wamiliki wa Baa na Kumbi za starehe wakiandamana kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa - Mwanza baada ya kumbi/ Baa Kuzuiwa kufanya uchafuzi wa Mazingira kwa Kelele zilizozidi viwango.

Inadaiwa kuwa Mbunge Musukuma ndiye ‘mastermind’ wa hii kitu, kama hivyo ndivyo basi kuna shida inaelekea kutokea.

Updates...
Wamiliki wa Hoteli na baa zaidi ya mia tatu Mwanza waandamana hadi kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wakiendelea kupinga faini na sheria za Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) huku wakisema hawatafungua hoteli na baa zao hadi waruhusiwe kupiga muziki.
kwani wamezuiwa kupiga muziki? pumbavu zao, waendelee kufunga tu ili watu walale mapema ktk utulivu
 
Back
Top Bottom