mwanza

  1. JanguKamaJangu

    FT: Ligi Kuu: Geita Gold 0-5 Simba / Uwanja wa CCM Kirumba - Mwanza / 18-12-2022

    Mchezo umemalizika Kibu Denis anaipatia Simba goli la tano akimalizia pasi ya Chama GOOOOOOOOOOOOOOOOO 85' Simba inataka kufanya mabadiliko ya wachezaji watatu kwa mpigo Sakho anapiga shuti la mbali nje ya eneo la 18, anafunga baada ya kipa kutoka eneo lake 75' GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO 74' Geita...
  2. M

    DOKEZO Kero IFM Mwanza Campus, mamlaka husika tusaidie wanafunzi

    Naandika hapa jamiiforums ili kupata msaada baada ya meneja wa campus daktari Ally Zawadi kushindwa kutusaidia. BAADHI YA KERO: 1: UBOVU WA MAZINGIRA YA KUJIFUNZIA Kwa muda sasa, kampasi hii imepoteza mwelekeo. Tupo wanafunzi zaidi ya 1000 hapa Mwanza na tunalipa ada isio pungua milioni moja...
  3. S

    Je, ilikuwa bora kununua ndege badala ya mabehewa na vichwa ili kufanya safari za treni kwenda Mwanza, Kigoma na Moshi?

    Kulikuwa na ubishi humu ndege za Dreamliner na Airbus ziliponunuliwa, kwamba hilo lilikuwa jambo la manufaa kwa wananchi wa Tanzania. Hilo nimelipinga siku zote, kwa sababu unaposema manufaa kwa Watanzania, Watanzania wepi wanaopanda hizo ndege? Na hata ukisema wengine wanafaidika indirectly...
  4. Orketeemi

    Kwa waliopo Mwanza

    Habari ya weekend. Naomba kujua bei ya printa Aina ya EPSON L 3150 Kwa maduka ya Mwanza. Naomba pia kujua NI maeneo gani zinapatikana. Shukrani.
  5. J

    Dagaa nono wa Mwanza

    Dagaa fresh kabisa toka Mwanza kwa mahitaji ya jumla la Reja reja unapana tupo mbezi goba (kwa ndambi) Sado 1 tsh 22,000 Sado 2 tsh 42,000 Ndoo kubwa 85,000 Tunasambaza pia kwenye supamarkets na mabucha ( package na Bei tunanegociate) Pia Kuna size ndogo ya 3,000 na 5,000 Karibu dagaa Nono...
  6. integraltracking

    Jobs: Sales executives and office administrator - Mwanza

    Hello Candidates, We have 2 position at Integral Tracking Limited for fresh from school candidates. -- About us INTEGRAL TRACKING LIMITED was established in 2012 and specialized in the provision of advanced fleet management, Car Tracking, Fuel Monitoring, Video Telematics and Axle load...
  7. Mwizukulu mgikuru

    House4Sale Nyumba nzuri zinauzwa maeneo mbalimbali jijini Mwanza

    Ni nyumba nzuri kwa ajili ya matumizi ya familia ipo jijini Mwanza, bei yake ni shilingi milioni 37 japo maongezi yapo. Wewe njoo na pesa yako tuongee, hiyo bei wala isikutishe, miliki na wewe nyumba yako jijini Mwanza. Kwani wao waweze wana nini na wewe ushinde una nini? 0769344686
  8. Tunzo

    Naomba kujuzwa Basi zuri la Dar mpaka Mwanza msimu huu wa sikukuu 2022

    Ni msimu wa likizo, unaweza kutaja pia la mkoa mwingine Ila kwa mimi naomba kujuzwa la Dar to Mwanza, liwe la luxury safi na la uhakika,
  9. Dr. Wansegamila

    Mwanza: Mama akamatwa kwa kumzika mwanaye akiwa hai ili apate utajiri

    Kutoka mkoani Mwanza Jeshi la Polisi inamshikilia Zawadi Msagaja (20) na wenzake wawili akiwemo mganga wa kienyeji, kwa tuhuma za kumzika mtoto wake mwenye umri wa miezi miwili akiwa hai, kwa lengo la kumtoa kafara ili apate utajiri. Watuhumiwa wengine ni dada yake Zawadi, Elizabeth Kaswa na...
  10. B

    Ushauri kwa jiji la Dodoma kuondoa foleni round about darajani njia ya kwenda Mwanza mida ya jioni

    Baada ya jiji la dodoma kubadilisha route za daladaka zinazotoka saba saba kwenda mipango nkuhungu n.k kumekuwa na msongamano mkali sana mida ya jioni maeneo ya darajani kuelekea hii round about njia ya kuelekea mza kwa sbb malori mabus yote yanayoenda mza burundi kigoma dar n.k hupita hapo...
  11. F

    Shule za msingi kanda ya Ziwa zaibuka kidedea wa udanganyifu wa mitihani. Mwanza na Bukoba waongoza

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya udanganyifu katika mtihani wa kumaliza elimu ya msingi 2022. Vituo hivi vimefungiwa hadi Baraza litakapojiridhisha...
  12. Four-Star General

    Kwa mabehewa haya ya SGR Dar mpaka Mwanza ni masaa mangapi?

    Nimeyaona leo hapo town, mzigo umeanza majaribio. Kwa makadirio yako unahisi Dar mpaka Mwanza itakuwa siku ngapi?
  13. Mtu Asiyejulikana

    RC Mwanza, RPC, Brela, TRA Mwanza. Hawa Matapeli wanapatikana hapa. Wakitumia vielelezo vyenu

    Nimeona bandiko la member mmoja akitahadhalisha kuhusiana na Ponze Scheme moja inajiita Champions Investments ltd. Inadai ipo Mwanza. Nami nimeomba Link ya kuingia kwenye group lao. Hawa jamaa ni matapeli. Ukiangalia Hata members wao wengi ni kutoka nchi flani flani kwa mujibu wa namba zao za...
  14. BARD AI

    Dar, Mwanza, Kilimanjaro na Unguja Kusini yaongoza kwa wanawake wenye vitambi

    Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
  15. GIRITA

    Vyumba vya vinapangishwa Busenga Mwanza

    Nyumba yenye vyumba zaidi ya sita vyenye chumba na sebule vinapangishwa kwa bei ya elfu 80 chumba na sebule.....nyumba ni mpya na ya kisasa huduma zote zipo maji ya bomba pia kisima cha emergency umeme....Hapo bado finishing ya Mikanda ya Tiles na vyoo ni vya nje unaweza kuweka booking kupitia...
  16. mr man city

    King'amuzi kinahitajika Mwanza

    Nashida na king'amuzi cha dstv used.fulk set. Nipe bei yako. Nipo Mwanza,Malimbe maeneo ya chuo cha SAUT
  17. Dr Akili

    Huko Nyakato Mwanza tuliambiwa kuna mitambo ya kuzalisha MW 80 kwa kutumia dizeli. Kwanini sasa isiwashwe kwenye kipindi hiki cha uhaba?

    Nadhani ni kwenye awamu ya nne ya JK, mitambo ya kuzalisha MW 80 ilisimikwa huko Nyakato Mwanza ya kutumia mafuta ya dizeli kwa gharama ya mabilioni mengi ya pesa. Mahitaji ya umeme ya jiji la Mwanza hayazidi MW 3, hivyo MW hizo 80 zinatosha kwa matumizi ya kanda yote ya Ziwa Victoria ie mikoa...
  18. figganigga

    Ndege ya Air Tanzania yashindwa kutua Bukoba, yageuza kwenda kutua Mwanza

    Ndege ya Air Tanzania imeshindwa kutua Bukoba Airport imerudi Mwanza. Stay tuned ====== UPDATES Ndege ya Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) imeshindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Bukoba mkoani Kagera kutokana na hali mbaya ya hewa. Badala yake ndege hiyo imelazimika kutua salama katika...
  19. BARD AI

    Mwanza: Heche achangisha Tsh. Milioni 2.3 kujenga ofisi ya CHADEMA

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, John Heche ameahidi kuchangia shilingi milioni 2.3 kusaidia ujenzi wa ofisi ya chama hicho Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza. Heche ametoa ahadi hiyo mjini Sengerema leo Jumatatu Novemba 14, baada ya kupokea taarifa ya Katibu wa Chadema jimbo la Sengerema...
  20. Dr Akili

    Je, sababu ya uhaba wa maji kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo jijini Mwanza, nayo ni ukame wa ziwa Victoria?

    Kwa zaidi ya miezi mitatu mfululizo, jiji la Mwanza limekuwa na uhaba mkubwa wa maji unao ongezaka kila kukicha. Chanzo chake cha maji ni Ziwa Victoria. Sababu zinazotolewa ni pamoja na ukame ulioikumba nchi nzima kuanzia kipindi cha kiangazi. Ni kweli kwamba Ziwa Victoria nalo zamu hii...
Back
Top Bottom