mwanza

  1. Rais Samia aagiza Barabara Mwanza Mjini ijengwe njia nne

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
  2. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza apewa wiki tatu na Mwenezi Makonda kuhakikisha Hospitali ya Sengerema Inafunguliwa

    📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa...
  3. Jeshi la Polisi Mwanza fanyeni ukaguzi wa magari ya shule ili mabovu muyaondoe barabarani

    Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa. Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani. Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
  4. Q

    NSSF Mwanza punguzeni urasimu mnawasumbua wateja wenu

    Kuna urasimu mkubwa sana kwenye ofisi za NSSF Mwanza ukilinganisha na mikoa mingine, bila kuwa na ndugu au jamaa anayekujua faili lako la mafao linaweza kuzungushwa hata mwaka mzima. Mimi na wafanyakazi wezangu tuliacha kazi siku moja kwenye kampuni binafsi mimi nikiwa branch ya Mwanza...
  5. T

    Kitengo gani kinashughulika na askari polisi tapeli?

    Ni tumaini langu wote hamjambo. Nina shida na namba ya RPC Mwanza. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia, natanguliza shukrani. Au kama kuna mtu anaelewa, ni kitengo gani cha kushughulikia askari polisi tapeli.
  6. Kamari ya Mpito Msikiti wa Ijumaa Mwanza inavyowatapeli wafanyabiashara

    Kamati ya Mpito inayosimamia Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza imekuwa ikiwatapeli mamilioni ya fedha wafanyabiashara wa hapa kwa kuwalipisha pesa na kuwapa mikataba ya kupanga vyumba ambavyo tayari vinao wapangaji. Ajabu unakuta chumba kimoja kimelipishwa watu zaidi ya watano na wote wamepewa...
  7. Mwanza hapajabadilika kwa miaka 13, bado nyumba zinachungulia kutoka milimani

    Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana. Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold...
  8. K

    Tumewakosea nini watu wa Mwanza kuhusu Ukosefu wa Umeme?

    Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi. Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa...
  9. Unpopular opinions kuhusu Samaki: Kutoka Dar es Salaam Kwenda Mwanza na Bukoba"

    Juzi kati nikipata fursa ya kutembelea Kanda ya ziwa Kwa wiki kadhaa. Nikapata uzoefu wa kipekee nilipotembelea Mwanza na Bukoba, maeneo ambayo mimi kama mkazi wa Dar es Salaam niliyozoea maisha yake ya pwani, nilifunzwa mambo mengi hasa kuhusu vyakula hasa hasa Samaki. Nikiwa Dar es Salaam...
  10. Safari yangu kutembelea Mwanza jiji la miamba

    Katika mpango wangu wa kuwahamasisha watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ndani ya nchi yetu, kutembelea mikoa na maeneo ya kihistoria niliamua pia kujaribu kufikia sehemu hizo kama mfano kwa watu wachache wanaofikiwa na ujumbe huu. Habari!! Mwishoni mwa mwezi wa nane tarehe 28 nilianza...
  11. Nauli ya basi la kutoka moshi mpaka mwanza ni kiasi gani

    Habari wakuu , naomba kuuliza...
  12. Picha: Kama umenunua Kiwanja, nyumba au Pagale ndani ya Jiji la Mwanza, ni zaidi ya 98% utakuwa umetapeliwa na huyu mtu

    Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO. Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI. Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi. Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
  13. M

    Wazo la biashara mtaji kwa milioni 5 kwa Mwanza

    Hello wanajamvi Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
  14. Natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato, Mwanza, Shinyanga, Kahama, Simiyu, Geita, au Tabora.

    Wasalaam. Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
  15. Haya semeni haraka nije na Info ya huko Mwanza sasa au Niichunie tu ili Amani itawale na Wasivurugane?

    Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado...
  16. Haya tumeshamalizana na Chato Dhahabu Nyota FC, hivyo Jumamosi 'anakufa' kati ya Goli 4 hadi 6 pale Sukuma City

    Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu...
  17. T

    Msaada: Nahitaji kufika Mwanza saa 7 mchana kesho na ndege zimejaa, kuna option nyingine yoyote?

    Wakuu nimekuja kwenu Kwa msaada, kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo muda huo. Kama Kuna msaada wa option nyingine hata private car niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote. Asanteni.
  18. Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  19. Ufisadi wa viwanja Mwanza: Hongera Waziri Mkuu Majaliwa kwa kuingilia kati

    Wizara ya Ardhi imeoza kwa rushwa. Sina uhakika kama Waziri Jerry Slaa ataziweza mbinu za ufisadi ndani ya Wizara ya Ardhi na Idara za Ardhi katika Halmashauri. Sakata la plots 194 na 195 Rwegasore Mwanza inatufungua macho. Nampongeza sana Waziri Mkuu Majaliwa kwa kulichunguza kwa undani swala...
  20. Jeshi la Polisi Mwanza na LATRA tatueni changamoto hii ya Daladala kukatisha ruti kibabe

    Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka. Kwa hivyo, abiria wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…