Kamari ya Mpito Msikiti wa Ijumaa Mwanza inavyowatapeli wafanyabiashara

Mar 5, 2009
95
32
Kamati ya Mpito inayosimamia Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza imekuwa ikiwatapeli mamilioni ya fedha wafanyabiashara wa hapa kwa kuwalipisha pesa na kuwapa mikataba ya kupanga vyumba ambavyo tayari vinao wapangaji. Ajabu unakuta chumba kimoja kimelipishwa watu zaidi ya watano na wote wamepewa risiti na mikataba halali. Mhasibu Bwana Mansoor Maruzuku ndiye anapokea hizi pesa. Wafanyabiashara wamemdai pesa anajibu kwa jeuri kwamba hakuna wa kumfanya lolote nchi hii na ajabu bado anaendelea kutapeli watu wengine kwa kuwapangisha vyumba hi to hivyo hewa.
Wafanyabiashara wamejaribu kushtaki kwenye vyombo husika ikiwa pamoja na kuambatanisha vidhibiti vyote lakini hakuna linalofanyiwa kazi. Pamoja na kupeleka malalamiko RITA ambao ndio wasimamizi wao lakini nao wameamua kukaa kimya wakiacha hali hii iendelee.
Je hawa jamaa wako nyuma ya nani anayewafanya wafanye huu wizi waziwazi bila woga wala aibu yoyote?
Je wataendelea kuwaibia watu pesa zao mpaka lini
Tafadhali vyombo husika mulikeni hawa jamaa.
Taarifa na nyaraka zote ziko kwenye vyombo husika na ziko wazi.
Angalizo: Hii haihusiani na migogoro inayoendelea ndani ya msikiti huo.
 
Jina lake ndo linamdhuru si anaitwa Maruzuku umesema???Sasa hayo ndo Maruzuku yenyewe.
 
Mansoor Maruzuku namjua sana huyu jamaa mmanyema. Dada angu alisoma Dada ake ( Asina )Kifungilo girls Tanga and then nikaja kufahamiana nae kupitia dada ake/dada angu jamaa akiwa anasoma pale IFM miaka ya 2007/2008.

Jamaa inasemekana anatoka familia bora. Dingi yake Mzee Maruzuku Magongo ni kiongozi wa shule inaitwa Thaqaafa ( sio ya Temeke) ya Mwanza ( they say he is a very smart guy)

Baba ake mkubwa( mdogo?) anajulikana kama Advocate Magongo nasikia ni maarufu sana hapo Mwanza (ndio ma Advocate wa mwanzo mwanzo toka tupate uhuru).

Mansoor Maruzuku is a very smart and humble guy( ana hofu sana ya Mungu), personally sidhani kama anaweza kufanya kitu kama hicho unacho dai mtoa mada. Naona ni kama njama za kumchafua Mansoor
 
Ndugu wewe unaongelea history ya family na kwa vigezo hivyo unavyovitaja ndiyo silaha wanayoitumia kwani watu wanajaribu kuwaamini kwa kutumia cv unayosema.
Sibahatishi wala sibabaishi Juu ya hili ninazo concrete evidence za kuthibitisha hili na muda ukifika nitaanika nyaraka za watu wote aliowatapeli hapa jamvini. Hatuwezi kukubali wizi wa namna hii uendelee.
 
Back
Top Bottom