Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
📌📌 MAAGIZO 3 YA CCM NDANI YA SENGEREMA - MWENEZI MAKONDA
Katibu wa Halmashauri Kuu , Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda ametoa maagizo matatu ya Chama Chama Mapinduzi mara baada ya kusiliza kero za Wananchi wa Sengerema akiwa njiani kupokelewa katika Jiji la Mwanza ambapo yupo kwa...
Kwa mara kadhaa nimekuwa nikikutana na magari specific kwa ajili ya kubeba wanafunzi jijini Mwanza yakiwa mabovu haswaaa.
Saa nyingine nakuwa najiuliza hivi Trafic barabarani hawayaoni?'. Unakuta gari hata indicator hazifanyi kazi ila lipo barabarani.
Kuna siku gari ya wanafunzi ilikuwa...
Kuna urasimu mkubwa sana kwenye ofisi za NSSF Mwanza ukilinganisha na mikoa mingine, bila kuwa na ndugu au jamaa anayekujua faili lako la mafao linaweza kuzungushwa hata mwaka mzima.
Mimi na wafanyakazi wezangu tuliacha kazi siku moja kwenye kampuni binafsi mimi nikiwa branch ya Mwanza...
Ni tumaini langu wote hamjambo.
Nina shida na namba ya RPC Mwanza. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia, natanguliza shukrani.
Au kama kuna mtu anaelewa, ni kitengo gani cha kushughulikia askari polisi tapeli.
Kamati ya Mpito inayosimamia Msikiti wa Ijumaa Jijini Mwanza imekuwa ikiwatapeli mamilioni ya fedha wafanyabiashara wa hapa kwa kuwalipisha pesa na kuwapa mikataba ya kupanga vyumba ambavyo tayari vinao wapangaji. Ajabu unakuta chumba kimoja kimelipishwa watu zaidi ya watano na wote wamepewa...
Mwaka 2010 nilikaa mwanza kwa mwezi mmoja nikifanya kazi pale TPA. Niliwahi kuja mara kadhaa kwenye mikutano ya siku moja moja hivyo sikuwa nazunguka sana.
Sasa nimeingia jana napita mjini pako vilevile, nyakato, miti mirefu, nyegezi, kirumba, capripoint, airport hamna chochote kipya. Gold...
Mkoa wa Mwanza hasa Jiji la Mwanza kuna upungufu mkubwa wa umeme. Kwa kweli hatuna amani ukifikiria kila siku asubuhi umeme unakatika mpaka jioni na kukatika tena mpaka saa sita usiku hasa maeneo ya Mahina na Mwananchi.
Mkoa mzima wa Mwanza tuna shida kubwa ya umeme ukilinganisha na mikoa...
Juzi kati nikipata fursa ya kutembelea Kanda ya ziwa Kwa wiki kadhaa. Nikapata uzoefu wa kipekee nilipotembelea Mwanza na Bukoba, maeneo ambayo mimi kama mkazi wa Dar es Salaam niliyozoea maisha yake ya pwani, nilifunzwa mambo mengi hasa kuhusu vyakula hasa hasa Samaki.
Nikiwa Dar es Salaam...
Katika mpango wangu wa kuwahamasisha watanzania kutembelea vivutio mbalimbali ndani ya nchi yetu, kutembelea mikoa na maeneo ya kihistoria niliamua pia kujaribu kufikia sehemu hizo kama mfano kwa watu wachache wanaofikiwa na ujumbe huu.
Habari!! Mwishoni mwa mwezi wa nane tarehe 28 nilianza...
Jina lake halisi anaitwa GAHAI WARIOBA MAPENGO.
Ana vitambulisho feki na majina feki na namba nyingi za simu. Baadhi ya majina anayotumia ni HERI SWAI.
Ana timu kubwa ya utapeli kila Kona ya mji, ikiwa na WAZEE, vijana na wanawake na mabibi.
Maeneo yote ya Kisesa Igudija, Nyashishi, Ilemela...
Hello wanajamvi
Mimi nikijana wa miaka 23 nimetokea Songea baada ya kumaliza chuo mwaka huu nikaona bora nijiajiri
Mimi mwenyewe kutokana na saving niliyopata kwenye boom
Natatanguliza shukrani zangu kwa wakazi wa Mwanza. Naomba mnisaidie
Wasalaam.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
Haya Wazee wa Kukopi Taarifa zangu GENTAMYCINE hapa Jamvini JamiiForums akina Ricardo Momo na Edo Kumwembe bila kuusahau Mtandao wa WhatsApp wa hiyo Timu na Wengineo si huwa mnajifanya mna Taarifa? Sasa mbona hii Mbichi kabisa ambayo GENTAMYCINE The King ninayo peke yangu nyie hamna na bado...
Baada ya Kuwaudhi Mashabiki katika Mashamba ya Mpunga na kuachwa rasmi Alama ( Points ) Tatu ( 3 ) na Mabingwa wa NBC Premier League kwa Msimu wa 2023/2024 ili Kurejesha Imani yao Kwetu Kigamboni Wavuvi FC tumeamua Kumalizana (Kuwahonga ) tutakakutana nao Keshokutwa Jumamosi ili siyo tu...
Wakuu nimekuja kwenu Kwa msaada, kama Kuna njia nyengine ya kufika Mwanza kabla ya saa 6 kesho mchana nisaidieni. Nina shughuli muhimu na ninahitajika niwepo muda huo.
Kama Kuna msaada wa option nyingine hata private car niko tayari pia kwenda pamoja na kuchangia chochote.
Asanteni.
Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja.
Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport.
Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka.
Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
Wizara ya Ardhi imeoza kwa rushwa. Sina uhakika kama Waziri Jerry Slaa ataziweza mbinu za ufisadi ndani ya Wizara ya Ardhi na Idara za Ardhi katika Halmashauri.
Sakata la plots 194 na 195 Rwegasore Mwanza inatufungua macho.
Nampongeza sana Waziri Mkuu Majaliwa kwa kulichunguza kwa undani swala...
Kwa sasa Mwanza kuna tabia ya asilimia kubwa ya Daladala kutofika katika ‘ruti’ zao husika walizopangiwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) hasa zile zinazotoka Nyashishi kwenda Kisesa, nyingi zinaishia Igoma na wanasema kabisa wanaishia Igoma kama hutaki shuka.
Kwa hivyo, abiria wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.