mwanza

  1. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Battle: Mwanza VS Dodoma

    Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mza wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao...
  2. Bemendazole

    JamiiForums Tanzania Battle Mwanza VS Kigali

    Kulingana na baadhi ya Wanyaruanda kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kigali kipo hakipo Mwanza na kipo Mwanza hakipo Kigali. Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mza wale wa Kigali wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mkandarasi Mshauri Mwanza Airport

    Naomba kumjua mkandarasi mshauri kwenye uboreshaji wa miundo mbinu uwanja wa ndege wa kimataifa Mwanza, ni nani hasa ili tujua uwezo wake.
  4. Mbahili

    JamiiForums Tanzania Nilipotimka nyumbani kwenda jiji la Miamba

    Hapo zamani za kale, katika jiji lenye kupendeza la Arusha, nilijikuta nikitamani mabadiliko ya mandhari. Nikiwa na roho ya kutokuwa na utulivu na hamu ya kujifurahisha, nilifanya uamuzi wa kufunga virago vyangu na kuanza safari kwenda Mwanza, jiji lililofahamika kwa maoni yake ya kuvutia ya...
  5. Damaso

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA acheni kutumia mo Mirongo kupeleka maji machafu Ziwani.

    Licha ya umuhimu wa mto huo uliopo ndani ya Jiji la Mwanza, lakini ni kituko cha kila siku kuona uko hatari kwa uchafu wa mazingira na kusababisha madhara ya kiafya na kimazingira kwa watu wanaoutumia kwa shughuli mbalimbali. Hali hiyo imesababishwa na kuongezeka kwa shughuli za binadamu ikiwemo...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji frame ndogo mjini mwanza

    Kama Una frame ndogo mjini sehemu iliyochangamka nicheki pm
  7. T

    JamiiForums Tanzania Kampuni iliyoingia mkataba wa kujenga jengo la abiria Mwanza Airport kulikoni mbona kimya?

    Mkataba umesainiwa kwa vishindo na vigelegele ili uwanja wa ndege wa Mwanza uanze kujenga kwa kile kilichosemwa na Mkurugenzi wa TAA kwa dharura iliyopo hapo uwanjani kuboresha huduma. Magreda yakasombwa site, Msukuma akasifu, Hamis Tabasamu akatabasamu na kusifu na wananchi waliokusanywa...
  8. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Natafuta mbwa wa kufuga Mwanza (wakienyeji)

    Nipo mwanza mjini natafuta mbwa Bei iwe kitonga aisee sitaki mbwa wa kizungu. Rangi: Nyeusi itapendeza zaidi Tabia: Mkali sana Bei: Isizidi elf 20
  9. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Pacome ameanza mazoezi Yanga na atajumuishwa kwenye msafara wa Mwanza

    Habari nilizonazo mpaka sasa afya ya Pacome imeimarika na atasafiri na kikosi kuelekea Mwanza. Lolote linaweza kutokea haswa mechi ya derby. Yao Kwasi bado kuna uwezekano akaikosa mechi tatu zinazokuja.
  10. Technophilic Pool

    JamiiForums Tanzania Mwanza ni sehemu gani wanachoma kitimoto Murua?

    Niko Mwanza kitaliii…. wapi napata kitimoto nzuri ya kuchoma
  11. Informer

    JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

    Sitaki niongee mengi nishasema watanzania wengi hasa kwenye kada ya uandishi wa habari miaka ya 2000+ ni hopeless na vilaza wa kutupwa sijui journalism gani hawajui hata Geography ya Primary na O level. Kama mnauzinduzi wa MV Mwanza basi vilaza wenu washaropokwa huko. Endeleeni na vilaza...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Michango ya wana JF kuhusu Q-Net imeniokoa nisitapeliwe Mwanza

    Za siku nyingi wana JamiiForums, natumaini mu wazima. Naomba nitoe shukrani zangu kwa JF kwa maada mbalimbali zimekuwa zinasaidia sana, mimi si mtoa maada sana ila msomaji mzuri. Niende kwenye point. Siku ya leo, nilipigiwa simu na ndugu yangu kwenye ukoo huku Mwanza kuwa ana mchongo kwa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwanza utabeba Abiria wa Kigeni 200

    Nimefuatilia kwa umakini hafla ya kusaini mkataba wa ujenzi wa jengo la abiria Mwanza linalokusudia kuifanya Mwanza Airport kuwa International ifikapo desemba 2024 by ICAO standards. Kwenye maelezo ya Bw Mbura DG jengo hili litabeba watu 200 kutoka nje ya nchi(international pax)kwa mkupuo...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Nimeiona Meli Mpya ya Karne ya Mwaka 2024 -Mwanza, Jaribu kulinganisha na MV Victoria ya Miaka ya 1974 na utoe maoni yako

    Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani. Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje...
  16. Mbabaishaji

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa uwanja wa mpira Arusha uhamishiwe Mwanza

    UBUNTU BOTHO Sababu kumi (10) ambazo zaipasa serikali kuhamisha ujenzi wa uwanja wa mpira jijini Arusha kwenda jiji Mwanza . 1)Fidia za eneo au viwanja, gharama za eneo au kiwanja Arusha ni kubwa sana ukilinganisha na Mwanza. Huenda ndio sababu mmoja wapo wa uwanja huo kuwa ghari. 2)Uchache...
  17. Gulio Blog

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata dagaa wa mwanza wa mafuta

    Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
  18. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Hayati Magufuli kuombewa Chato, Mwanza nao wanaandaa maombi, binafsi naona haya yanayofanyika baada ya Chato yako kimkakati

    Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti. Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi. Busara ya kawaida tu...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ujenzi wa uwanja wa ndege Mwanza nini hasa, tuelezeni

    Sisi wazalendo tunakerwa sana na uzembe wa TAA kuanza ujenzi wa jengo la uwanja wa ndege wa Mwanza, wameahidi mara kadhaa kwa Mkuu wa Mkoa, kuwa pesa imetolewa na Rais bilioni 30 sasa. Kinachochelewesha ni nini? Songwe imeishakamilika, Tabora, Iringa, Tanga, Msalato, Arusha, Moshi vinajengwa...
  20. Mapunu jr

    JamiiForums Tanzania Kati ya Ukerewe Mwanza na Kigoma wapi panaongoza kwa uchawi?

    Habari za jioni wakuu . Twende moja kwa moja kwenye point wakuu kumekuwa na usemi kwamba ukerewe Mwanza na kigoma kuna uchawi mwingi sana,. Swali je kati ya kigoma na ukerewe mwanza wapi panaongoza?? Wenyeji wa maeneo ayo mkuje apa mutueleze.
Back
Top Bottom