mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mambembe

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

    Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje? Kwanini mtu usivae boxer...
  2. Trigonometry

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaamini kuwa mwanaume mwenye gari ndio sahihi?

    Kwanini wanawake wanaamini kwamba mwanaume mwenye gari ndo mume sahihi? Je akili zao ziko miguuni hawa wanawake?
  3. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
Back
Top Bottom