mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. frenderPH

    JamiiForums Tanzania Tabia za mwanaume mwembamba

    TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA: 1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu) 2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi 3. Ana nguvu kubwa katika biashara tena hupata mafanikio makubwa kutokana na juhud zake 4. Ni mwenye mawazo mengi...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukisikia mkeo anachepuka basi jua huyu ndio mtu anayechepuka na mkeo

    Ex boyfriend. Mademu wengi nilio wahi kupita nao halafu baadae wakaenda kuolewa walinitafuta baada ya miezi kadhaa na kuendelea kunipa tunda kama kawaida huku wakiwaponda sana waume zao na maisha ya ndoa kwa ujumla. Wastani wa mwanamke kuanza kuchepuka na ex boyfriend wake baada ya kuolewa...
  3. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kama huna hela huwezi dumu na mwanamke

    Yaani sio nawadharau ila niukweli. Mtakuwa mnasaidia wenzenu mademu zao wanawake zao. Namtabaki tu na stress na kufikia kunywa sumu. Why mwanamke wanawake watakuwa wanakutema wanakufuata tu pale nilazima apewe tu kitu fulani ila mumewe akimuuliza kati yangu na huyo lofa unamtaka nani kwa...
  4. ANKO JEI

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ukimhudumia mwanamke mapenzi yanakuwa matamu sana

    Habari wakuu, Msinielewe vibaya na hiyo heading,nimekaa nimefikiria sana kuhusu kuboresha maenzi na hawa wanawake,kwa uzoefu wangu mdogo nilionao nimegundua kuna vitu vinapuuzwa ila vikifanywa,mwanamke anafurahi kwakua inakua very romantic,nakupa mfano,binafsi nilikua napenda sana misosi mitamu...
  5. functional

    JamiiForums Tanzania Kegel exercise kwa mwanaume

    Habari zenu wadau: let me go straight to the point,,, kumekuwa na malalamiko kuhusiana na nguvu za kiume, bahati mbaya watu hawaelewi tatizo hili linasababishwa na nini, kiukweli tatizo linaweza kuwa la ki psychology au physically factors, sasa leo nataka niwape mbinu ambayo itaenda kubadilisha...
  6. MILL8

    JamiiForums Tanzania Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

    Hebu imagine ndo wewe sasa mda wote huo hujawahi fanya mapenzi, ungejisikiaje? Leo mwana JF mwenzenu natimiza miaka tisa bila zinaa, mwaka wa 2009 ndo ulikuwa mwaka wangu wa mwisho kufanya mapenz... Ni miaka mingi sana kwa mwanadamu kutofanya mapenzi wengi wenu mtanibeza wakati wengine hata...
  7. Mambembe

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mwanaume unavaa bukta ya kuchezea mpira ndani ya suruali badala ya boxer?

    Jamani katika kitu kinachoniuzi ni kumuona mwanaume kavaa li bukta la kuchezea mpira ndani ya suruali yaani nakereka kuliko maelezo embu fikiria unakutana na mkaka kavaa kapendeza yaani yuko smart kuliko maelezo alafu kavaa libukta la mpira hivi wenzangu mnajisikiaje? Kwanini mtu usivae boxer...
  8. Trigonometry

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wanaamini kuwa mwanaume mwenye gari ndio sahihi?

    Kwanini wanawake wanaamini kwamba mwanaume mwenye gari ndo mume sahihi? Je akili zao ziko miguuni hawa wanawake?
  9. huku kwetu

    JamiiForums Tanzania Nimeachwa, najikuta natamani kila mwanaume

    Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka nilipokuja kugundua ikabidi tubroke na mimi. Kwa hiyo kutokana na hali hiyo nimekuwa single kwa muda...
Back
Top Bottom