Hivi mwanaume unaweza kupata mapenzi ya kweli endapo umemzidi mwanamke miaka 13?

Balqior

Senior Member
Jun 8, 2021
194
1,000
Assume mimi ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, halafu namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mimi? Huyo binti hatonichukulia mimi kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?

Nitaweza kushindana na vijana wa kiume wa rika lake wenye umri wa miaka 23? 24?

Naelewa mwanaume hata in your 30's unaeza pata binti Mwenye miaka 20 kwa ajili ya mahusiano, nnachouliza mimi ni kuwa binti wa miaka 20 anaweza mpenda mwanaume mwenye miaka 30 toka moyoni? Bila kumpendea hela huyo mwanaume?

Wadada na wakaka wenye uzoefu wa haya mambo naomba mnijibu..
 

Mbekenga

JF-Expert Member
Jun 14, 2010
1,780
2,000
Ukiwa 40s yeye atakuwa 30. Mwanamke kwenye 30 anakuwa kwenye peak ya hamu wakati wewe kama unakula chips graph inakuwa inaanza kushuka ila kitakachokuokoa ni mahusiano yako ya tangu awali. Hii ina maana kama ya mchangiaji hapo juu kwamba Biblia imesema umpende na yeye akuheshimu. Ukimpelekesha atakuwa na nidhamu ya woga tu.
 

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Dec 15, 2019
1,664
2,000
Mimi nina mke mdogo ambaye tumepishana miaka 10 aisee ni boadi sana kuwa na mwanamke ambae umemzidi umri miaka mingi unakua km unaishi na mdogo wake au mwanao hana changamoto yoyote yaani yeye ni kumuamrisha tu
Unamaanisha changamoto gani mzee??
 

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
3,731
2,000
Assume mm ni mwanaume, niko fresh kimuonekano, nina kazi, sijaoa, sina mtoto, nina miaka 33, hlf namtaka binti mwenye miaka 20, huyo binti anaweza ku-fall kimapenzi na mm? Huyo binti hatonichukulia mm kama babu yake au mtu mzima sana kwake? Hivyo kuwekwa kwenye category ya sponsor?

Nitaweza kushindana na vijana wa kiume wa rika lake wenye umri wa miaka 23? 24?

Naelewa mwanaume hata in your 30's unaeza pata binti Mwenye miaka 20 kwa ajili ya mahusiano, nnachouliza mm ni kuwa binti wa miaka 20 anaweza mpenda mwanaume mwenye miaka 30 toka moyoni? Bila kumpendea hela huyo mwanaume?

Wadada na wakaka wenye uzoefu wa haya mambo naomba
Tafuta shekel bwashee, acha nyimbo za kizamani, mapenzi ya kweli ndio nini? Kwani huyo mama yako au dada yako,
Pesa, pesa, pesa ndio jibu,tafuta hela, hakuna mwanamke wa kukupenda kama hauna kitu, akikuambia hivyo, Jua kwamba atakuwa anagongwa kitaa sana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom