Mwanamke wa namna hii hafai kwa mwanaume yeyote

Kajeba

JF-Expert Member
Oct 15, 2020
820
1,961
JF Napenda kuwakumbusha wanaume wenzangu kama mimi, hakuna kitu kinakaba koo kama mwanamke wako kugongwa na wanaume wengine.

Ukiona mwanamke anamiongoni mwa tabia hizi huyo ni cha wote, wachana nae kabisa.

* Mwanake mlevi anayejipeleka baa na viwanja mbali mbali kwaajili ya ulevi, huyo ni chawote.

*Mwanamke anayevaa kikuu,,, hapa mjini waogope hao wavaa vikukuu maana huenda mbali zaidi sio tu kugongwa na wengi bali kutoa hata jicho hawa hutoa.

*Mwanamke aliye tobo puani (kipini) mkuu wa hapa JF huyo kaa nae mbali kabisa.

* Mwanamke yeyote aliyejichora tatoo licha tu ya kumkwepa ikitokea umezika kwa mchora tatoo tumia kondom kwa umakini.

*Mbali na ulevi, ukikutana na mwanamke anakunywa pombe kali kama konyagi, kvant huyo ndio hafai kabisa.

*Mwanamke mvuta sigara, huyu utagongewa na machoko wa vijiweni mpaka ukome.
 
Kwa mtindo huo utagongewa sana ukifuata hao wenye hijabu na kutokunywa pombe.
Kugongwa kwa mwanamke ni tabia yake mwenyewe. Haijalishi ana kipini au bangili. Tena ogopa sana wanaojifanya walokole na waswalihiana maana hao ndio wanagongwa mpaka basi. Acha kuishi kwa kukariri.
 
Mkuu we jichanganye na hao viumbe
Utajua hujui
Kwa mtindo huo utagongewa sana ukifuata hao wenye hijabu na kutokunywa pombe.
Kugongwa kwa mwanamke ni tabia yake mwenyewe. Haijalishi ana kipini au bangili. Tena ogopa sana wanaojifanya walokole na waswalihiana maana hao ndio wanagongwa mpaka basi. Acha kuishi kwa kukariri.
 
Kutoboa Pua.... Hiii inategemea na Tamaduni za eneo

Wanawake wa uKanda wa Pwani hawa kutoa pua ni jadi yaan nikama wanawake wale wanaokeketwa

Kuvaa kikukuu, hii ipia ina sura mbili...kwa ukanda wa Pwani wote, inaweza kua ni sehem ya urembo . Au pia huo huo upwani wao ikaamanisha kingine.

Bob mwanamke
Mvuta sigara huyu atakuzalia watoto sura mbovu mpaka Unahisi sio wako
Anayejipeleka Bar

Mnywa pombe kali ,huyu naye ...bana eeehh Walevi shida yao ni Wagonvi sanaa, yaan mlevi anataka mafujo muda wote..kwahiyo hawa nao ni wakuangaliaaa...( kuna wale ambao wamekulia kwenye familia hizo, mfano Wachaga, hawa kuwatenganisha napombe ni Polisi na Mzimu wa Hamza.).......

Eeehh basi Kunywa ndani. Au wanawake wenzio kiasi ila usipoteze ufaham...... Ila KIIMANI, My Dear you are not Mke mwema kwa mujibu wa kitabu cha "Wimbo uliobora
Mchora michoro mwilin.

Kwa ufupi, Mwanamke asiyemcha Mungu..... Una dem et mara ya mwisho kwenda kanisan ni Siku anapokea kipaimara

Bro una date au uko na kakuni katakako kuchochea moto siku ya kihama???.
 
Kuna bidada mmoja ni barmed wa bar flani huku Mafinga..ana huo urembo kama wote..katoboa kwenye sikio matundu matatu kaingiza kama vibangili vidogo..puani ametoboa kaweka vipini viwili viwili..kaweka breach moja matata...miguuni kavaa mabangili flani..sasa mimi sina uzoefu sana..sijui ndio urembo au kuna kitu anamaanisha!!
 
Wenye breach nao ni tatizo

Yuko bar gani niende sasa hivi ni calabash,tips au summer night
 
!
255655518116_status_58d622149498479f865b6ca02021d731.jpg
 
Kutoboa Pua.... Hiii inategemea na Tamaduni za eneo

Wanawake wa uKanda wa Pwani hawa kutoa pua ni jadi yaan nikama wanawake wale wanaokeketwa
Mimi kama mimi nimejiwekea "standards" zangu linapokuja swala la wanawake. Haijalishi kwamba hizo ni tamaduni, mila au nini mimi kwangu mwanamke mwenye kipini, kikuku, tatuu, anaevaa nusu uchi, anaevuta sigara, mlevi, anaeongea kama chiriku, mwenye tumbo kubwa... kwangu ni NO!. Aftaroo wanawake wapo wengi sana, mimi nimeamua ku deal na wale ambao hawana sifa tajwa.
 
Back
Top Bottom