Anyway leo nipo timamu nimeamua kutoa maoni au ushauri
Sifa ya mwanaume ni ujasiri hata kama unajua hapo hutoshi
Naongea na wale wa mbagala, temeke, tabata, mbezi au sehemu yeyote mnayosema kuna vibaka
OK ponti ni mwanaume unakabwa na wahuni tuwili unalegeza sauti (kama amina au aisha) na...
Kuna Jambo ambalo natamani tukumbushane leo, na Jambo lenyewe linaitwa MWANAMUME. Ikiwa ni mwanaume ama ni mzazi wa mtoto wa kiume si vema kupita bila kusoma huenda ukapata kitu, Karibu.
Nianze kwa kusema mwanaume ameumbwa tofauti sana na mwanamke, mwanaume ndiyo asili ya mwanamke na uzao...
Kifo cha Norah Vicent kiliibua hisia kwa jamii kutokana na namna utafiti alioufanya ulivyommaliza yeye mwenyewe. Norah alitaka kujua maisha ya mwanaume yakoje..ni changamoto zipi anapitia? Mwaka 2003, bila kubadili jinsia yake, akaamua ajifanye kuwa mwanaume; akaajiri mtu wa make up,mtaalamu wa...
Hivi hawa wanaume wanaohamasishana eti kataa ndoa ni wanaume kweli?
Hivi mwanaume rijali kabisa anaweza kuogopa kuowa?
Ukiwasikiliza sababu zao eti wanaogopa kuchapiwa.
Poleni sana dada zangu mna changamoto kubwa sana kwa aina ya wanaume wa sasa.
Kazi yangu Kubwa leo katika Uzi huu ni Kusoma tu Comments zenu ili nizichakate na nikizielewa na kuziamini Mwanadamu wa Kike ambaye niko nae akirejea Kesho Asubuhi apande Basi la Kimbinyiko arejee mazima Kwao.
Makazi na mashamba tunatoa umilki kwake, ila kwake sisI hatutakiwi kugusa!
Umeme unashusha bei mpaka kiwango cha maumivu kwa watoto wetu' lakini aah wapi!
Tukasema hiyo isiwe noma! Basi tukafanya hivii, tukienda kukopa, tutagawana naye pasu ingawa nyumbani kwetu inawatoto wengi, hatukujali...
Mwanamke zake tambo ni miaka 20 mpk 40 tu, baada ya hapo kwisha habari yako!
Ikiwa mwanamke hajaolewa katika umri huo imetoka, na akiwa hana mtoto ndiyo nitolee hiyo.
Lkn midume inaendelea kula mzigo na kuoa kama kawaida mpka siku atakayokwenda peponi.
Kula mlo wenye afya na kufanya mazoezi ya kutosha kunasaidia kuweka mbegu za kiume katika hali nzuri. Kwa hiyo ikiwa mnajaribu kupata ujauzito, sasa ni wakati mzuri wa kufikiria kufanya mabadiliko mazuri ya maisha.
Ni mlo gani wa afya unahitajika kwa baba mtarajiwa?
Chakula cha baba mtarajiwa...
Habarini wana Jamii Forums!
Kwa wanao fahamu maisha ya Dar ... kumkutaa mwanamke mwenye mtoto stendi pamoja na mabegi yake na hana pa kwenda ni jambo la kawaida!
Kuna mwamba hapa alitokea zake kwenye mizunguko akafika rangi tatu pale ( mbagala zakiem ) kutokana na uhaba wa usafiri hasa kwa...
Mwanaume uliyekamilika unatakiwa ama Kusikiliza BBC Dira ya Dunia au DW au Kutizama / Kusikiliza Habari, Kuangalia Mpira ( Fabo ), Kutongoza sana Mademu ( Migoma ), kujua zilipo Gesti na Loji Mpya, Kubishana Mambo ya Siasa, Mpira au Madili, kuwazia Kuzamia kwa Ramaphosa au kwa Biden au kwa...
Nimekuwa na mahusiano na wanawake tofauti tofauti walevi, wavutaji na wengine hawavuti sigara ila wengi wao wanasema wanapenda harufu ya sigara nikivuta but hawapendi nivute sigara!
Hivi hii inakuwaje wadau?
Nipo Tandika hapa , nawaona wadada wale wa kutoka mkoa x wakiwa wamekaa kwa vigoda huku wakiwasubiria wateja .
Je wanaume wanaingiaje katika mazingira machafu na harufu kali .
Nilichogundua sisi watawa tupo sahihi kukaa mbali na Uzinzi (ngono) maana ni zaidi Uchafu wenyewe
Kiukweli huo ni ujinga unajiitaje mwanaume au gentlemen halafu unaishi nyumba ya kupanga hio si aibu? Yaani kabisa unajiita gentlemen halafu unaishi ya kupanga mpaka leo kiukweli huo ni umama
Inashangaza kabisa nyumba zilivyokuwa rahisi halafu utamkuta mburula mmoja anaishi kwenye nyumba za...
1.Anajitambua kuwa yeye ni mwanaume, hivyo anakuwa hana sifa za:
a. Ushoga
b. Vijembe
c. Umbea
d. Kususa
e. Kusuta
f. Kupoteza muda kwa visivyomhusu
g. Umario
h. Kusimanga mwanamke ingali alizaliwa na mwanamke
I. Kumdharau single mother ingali anajua nae kakataa mimba ya mtoto wa MTU, kakataa...
DIRA2023 KWA MABINTI NA WANAWAKE; JIPE THAMANI; THAMANI YAKO HAITOKANI NA MWANAUME.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani!
Na huu ndio ujumbe wenu, enyi mabinti na Wanawake. Hii iwe ndio dira yenu. Jipe THAMANI! Na katika thamani hiyo elewa kuwa sio lazima itokane na Sisi wanaume.
Ninyi ni Wake...
Yaani kujitutumua kote kwamba naweza kuishi bila mwanaume lakini nimegundua nikikaa beside mwanaume (mpenzi) I feel safe.
Aisee, tupendane tu maana hakuna namna. Yaani hata kama ni single mom kama Mimi watoto wana nafasi yao na mume ana nafasi yake. Ninachoamini hatukuumbiwa upweke, trust me...
Wasalamu, mwanaume kama huna pesa huna tofauti na gari isiyo na mafuta. Mwanaume ndie ATM ya familia.
Yaani ukiona tu message yeyeto tu imeingia kwenye simu kabla ya kufungua tu simu uisome mawazo elf 10 yashakujaa kichwani, unawaza uenda ni message ya mwenye duka,marejesho ya mkopo,kodi...
Tunapoelekea mwisho wa mwaka, nikaona nijaribu kuleta kwenu hii hoja ambayo imekua ikiibuka Mara nyingi hasa Kwa wanandoa wanaume.
Hapa naongelea Mme ameoa, anaamua kuchepuka anasema hawezifanya hicho kitendo na mwanamke mwingine kwenye Kitanda anacholalia na Mke wake.
Sasa kama unamheshimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.