Je, ni sawa kwa mwanaume kumtafutia mke wake 'Bull' wa kumridhisha kama yeye hawezi?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala.

Mwanaume anajiona kabisa kwenye sekta ya mkazo ana F, anaona kabisa kuchapiwa hakuepukiki na kuna uwezekano mkubwa wa kumfumania mke wake, anachofanya ni kujiongeza mwenyewe kumtafutia mke wake Bull, hawa ma Bull kazi yao huwa ni kuwapunguzia ashki wake zao.

Kutafuta Bull inaweza kuwa kwasababu:
  • Jogoo hapandi mtungi.
  • Kuwahi kumaliza.
  • kupata majeraha sehemu za kati n.k.
Kwa wale waliyoangalia 'Prison Break', waliona kipande fulani kuna tajiri alikuwa na pisi kali ila alikuwa na matatizo ya mashine, ilibidi awe anatafuta Bull kwajili ya mke.

Sasa je, kimantiki hii kitu ipo sawa?
 
Hizo Ni fantasy porn,Zinaitwa cuckhold sex.
Hizo Wanafanya wanawake wakizungu kwa wale wanaume waliolishwa limbwata.

Kiuhalisia,
kimahusiano (hasa kiafrica) kwa mwanaume timamu,wallahi hizo pigo hazipo.

Litakufa jitu hapo
Haya mambo yapo sana tu kiuhalisia. Kuna magroup yao kabisa..

haya mambo yashafika hadi india
 
Hizo Ni fantasy porn,Zinaitwa cuckhold sex.
Hizo Wanafanya wanawake wakizungu kwa wale wanaume waliolishwa limbwata.

Kiuhalisia,
kimahusiano (hasa kiafrica) kwa mwanaume timamu,wallahi hizo pigo hazipo.

Litakufa jitu hapo
Macuckhold hawajaishia hapo tu,hata wale wanao lea watoto wa Mwanaume mwingine nao wamejuishwa humo humo
 
Hizo Ni fantasy porn,Zinaitwa cuckhold sex.
Hizo Wanafanya wanawake wakizungu kwa wale wanaume waliolishwa limbwata.

Kiuhalisia,
kimahusiano (hasa kiafrica) kwa mwanaume timamu,wallahi hizo pigo hazipo.

Litakufa jitu hapo
Halafu tuje kuambiwa limejiua
 
Labda kama una matatizo ya kusimamisha kabisa ! Chombo hata umwone Manzi live uchi haishtuki !! Au una changamoto kama ajali umeumia Ila kama inasimama hata kama tako mbili unamwaga 😃😃 solution zipo za kutosha ili umaintain muda mrefu kidogo !! Ongea na wazee vizuri

Kuna watu wanasemaga kuna njia nyingi za kumfikisha mwanamke ! Ila hata ufanye zote afike ! Usipotia hicho kipande cha nyama humo kwenye hichi kipochi bado umezingua !!
 
Na mwanaume kukojoa bila kuingiza mkuyenge kunako ni sawa na kupiga puli tu.
 
Kibongo bongo ni ishu mwanangu kama hiyo "bull" ina maana kama ninavyofikiria kua mwamba anamtafuta kidume mwenye uwezo asaidiwe mgegedo.

Sasa upendo bila mgegedo si ni batili huo.
 
Hii dunia ina mazito sana! Lakini bado hatujafikia dhambi za akina sodoma na gomora sijui walikua wanafanya dhambi gani kama hizi sasa zenyewe zinatisha
 
Westernization in Africa particularily Tanzania. Ila tujue kuwa kadri tunavyoyajadiri mambo mageni kwenye tamaduni zetu ndivyo yanavyopata nafasi na kuzoeleka mioyoni mwetu.
 
Haina haja yakutafuta ma bull,mkeo akiona humkojoz atajiongeza mwenyewe
 
Back
Top Bottom